Muskviewer
About Us
Privacy Policy
Removal Request
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
Followers
813
Following
24
Statuses
1K
Jumanne
Joined August 2022
Don't wanna be here?
Send us removal request
.
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
5 days
Ushawahi kutana na hii hali je? ulitumia njia gani kukabiliana na changamoto hii
10
2
26
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
11 days
Mshauri apige dawa ya ukungu inaitwa DK MINO achanganye na sumu inaitwa muper force
Dennis Mastaajabu
@DennisMastaaja1
11 days
AFANYE NINI ? KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII KWENYE NYANYA?
1
0
1
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
11 days
Mungu mwema hii ni hatua muhimu sana baada ya siku 45 toka kupanda ss leo tumeweka mbolea ya kuzalishia matunnda +255766506080/+255774608066
3
1
18
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
12 days
@RahmaMwita
Pole maadam
0
0
0
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
12 days
Kilimo ni uwekezaji hakuna bahati kwenye kilimo weka bajeti yako vzr karibu shambani +255774608066/+255766506080
0
0
1
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
12 days
Tupo saiti kilimo MAISHA YETU +255774608066/+255766506080
0
0
0
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
13 days
Tuache mazoea tulime kisasa kwa njia ya umwagiliaji
0
1
5
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
13 days
@JasminMaua
Dodoma mkuu
1
1
0
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
@Ahmeto81
Mto mkuu
0
1
0
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
@EAxwesso47231
@OMsodoki
@LulengoH
Dodoma mkuu
0
0
0
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
@OMsodoki
@LulengoH
Faida ya kutanguliza maji ni kupanda mpk kwenye matuta yote na ukumbuke kwenye matuta ndo kuna kitunguu kizuri kuliko cha kati
0
1
1
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
@OMsodoki
Ndio unapanda bila maji tena kwa mstari kisha ndo maji yanafata nyuma
1
0
0
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
Nambie
0
0
1
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
Hakuna miujiza kwenye kilimo Mbegu Bora, Dawa kwa wakati, mbolea kwa wakati, matokeo mazuri +255774608066/+255766506080
2
4
25
Download
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
15 days
Mbali na kuwekeza muhimu pia kufaatilia kazi kwa karibu ili kutatua changamoto angali mapema +255774608066
0
0
5
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)
@JumanneMkilya
16 days
@OMsodoki
Dodoma
1
0
0