beka_mtanzania Profile Banner
Beka Tza Profile
Beka Tza

@beka_mtanzania

Followers
2K
Following
4K
Statuses
7K

Journalism & Mass communications. #MediaExpert #VoiceoverArtist

tanzania
Joined January 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@beka_mtanzania
Beka Tza
26 days
@Hunterjay12345 Wapoteze muda tu
0
0
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
26 days
@Eddo142 We ana mbio huyo hatar
0
0
1
@beka_mtanzania
Beka Tza
26 days
@YoungAfricansEN Hii mechi wallah hatutoboi
0
0
1
@beka_mtanzania
Beka Tza
27 days
RT @helpfulai: A Salary can never make you RICH! 14 AI Websites that pays you everyday from home 🔖
Tweet media one
0
19
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
27 days
RT @farah_tech_AI: ChatGPT is just the tip of the iceberg. Here are 10 AI websites that will save you hundreds of hour:
0
80
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
27 days
@Eric__Bernard @salim_alkhasas Kaka na mimi ambaye situmii kileo nakunywa maji kama rejeta naruhusiwa kuja ?
0
0
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
27 days
@CornMusa91940 @salim_alkhasas Oya nipo moza ya kwanza kushoto ukiingia
1
0
1
@beka_mtanzania
Beka Tza
1 month
@gemini6315 7 is my best spot
0
0
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
1 month
@FKihamu Kwasisi tunaomjua Hassan,tunajua hana majivuno hayo ambayo watu wanamsemanyo,mwana ni mtu na nusu . Ana maono na mwenye kusimamia juu ya anachokiamini,shida yake ni moja ni kwamba hawezi kujinyenyekeza kama ambavyo vijana wa sasa wanafanya hivyo. Ndio maana wanamchukia.
0
0
20
@beka_mtanzania
Beka Tza
1 month
0
0
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
1 month
0
0
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
2 months
Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko. M/MUNGU akupe umri zaidi Mheshimiwa. @DBiteko
Tweet media one
0
0
1
@beka_mtanzania
Beka Tza
2 months
RT @beka_mtanzania: @YoungAfricansSC Je Nani atafunga Goli la Kwanza Leo?
0
1
0
@beka_mtanzania
Beka Tza
2 months
@YoungAfricansSC Je Nani atafunga Goli la Kwanza Leo?
0
1
2
@beka_mtanzania
Beka Tza
2 months
@beka_mtanzania
Beka Tza
2 months
Leo KMC joto litazidi ,habari zinasema @fountaingatefc wanautakamchezo kwa udi na uvumba wakati @YoungAfricansSC nao wakitaka kuonesha ukubwa wao. Sijui itakuwaje!!
Tweet media one
0
0
1