_kijanampole Profile Banner
Kijana Mpole Profile
Kijana Mpole

@_kijanampole

Followers
2K
Following
19K
Statuses
9K

Niite mangi ✌🏽.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@_kijanampole
Kijana Mpole
3 years
Usichague kazi ya kufanya, hao unao waonea aibu hawatokuletea ugali nyumbani kwako.
23
66
381
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 hour
@gabyconscious Akifika kwenye ulabu sisi wachagga tutampa beer mbili akae kiaskar mana hashindwi kusema ulabu una affect ya nguvu za kiume 😂😂🫵🏿
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 hour
RT @_kijanampole: • Blue Tick • Grey Tick • Jana simu ilizima charge • Niliweka simu silent so sikuskia • Utapita kuchungulia last seen 😂…
0
1
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 hour
• Blue Tick • Grey Tick • Jana simu ilizima charge • Niliweka simu silent so sikuskia • Utapita kuchungulia last seen 😂 • Sasa beb si kesho ntaenda kwa Uncle • Jana nliskia usingizi mapema nikalala
0
1
2
@_kijanampole
Kijana Mpole
14 hours
@EsirEid Kuna watu husema kabla pesa haijaja basi jua kwanza hiyi hela utaipeleka wapi. Jipe muda wa kuijua pesa, jua pesa inataka nini Kijana akikurupuka akishika mzigo mrefu hiyo hela huisha kama hakuna hela aliwahi ipata
0
0
2
@_kijanampole
Kijana Mpole
14 hours
@POUCHOFO @gabyconscious Nongo inapigwa na email zinatumwa heri afe masai mzigo ufike 😂😂
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
18 hours
@gabyconscious hakuna surgery ya KIPANDA USO 😂😂🫵🏿
Tweet media one
1
0
1
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
@Captainpilo7 #istumach bro ukiweza kulia kama Jeff utakuwa umetisha sana mangi
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
@ZolyMtabe @adamlutta We mzee unaskiza hizi shuhuda lini 😂😂
0
0
1
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
RT @iamkhoisani: Yapi Maoni Yako, Kuhusu Hili? Mshahara wa 200K kwa Mwezi Nchini Mwako Au Uende kufanya kazi Abroad Ambapo Unalipwa 90…
0
34
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
@adamlutta Haka ukikakimbiza sana kanaanza kupiga nduru
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
@MikeC_tz @Sirjeff_D Kisa utelezi karibu alale lockup ughaibuni 😂😂
1
0
1
@_kijanampole
Kijana Mpole
22 hours
@anon_codex Kumbe udalali unalipa haya niweke hii mikeka ndani nikawe dalali 😂🫵🏿
1
0
1
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 day
@Sirjeff_D Apia huta lia tena space mkuu 😂
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 day
@spana_Konki Soya kasahau hadi aliandika nini pinned post 😂😂
0
0
4
@_kijanampole
Kijana Mpole
1 day
@raphyrodrick Wasimbe na wasichana wanao adopt ufeminist ndio wamejaa
0
0
1
@_kijanampole
Kijana Mpole
2 days
@Buberwa_ Ingia page ya jeff uone
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
2 days
@LilianLevelian Wakishakuwa wasimbe ndio wanajua hii
0
0
0
@_kijanampole
Kijana Mpole
2 days
@Calvjuls13 @Labella_Mafia95 Bila hapa hakuna kitu mangi 😂
1
0
0