ZolyMwalongo
@ZolyMtabe
Followers
480
Following
20K
Statuses
4K
learning
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2022
@fekileo @funnybattles @ItsKamala Kwani aliangamiza kila siku? Ata wakati huo? Si kizazi fulani kitapita tena kinakuja kizazi fulani Kwani nuhu na issue ya sodoma ilikua ni siku moja?
1
0
3
@fekileo @funnybattles @ItsKamala Kuona me nilikuepo? Yesu kaangamiza kwasababu gani kama jibu sio evil sawaπ
1
0
1
@funnybattles @fekileo @ItsKamala Vijana wengi vicha maji Alieumba dunia kwenye vitabu vyake vinaelza alishawai adhibu azabu kali kabisa kwa sodoma, Nuhu, farao, n.k na amesema kaweka na jehanamu kwaajili ya evils, sasa huyu anashauri kigeni kipi? π
2
0
2
@fekileo @ItsKamala Kwanini Mungu aliwatia moto sodoma na gomola, na kuwatia baharini enzi za Nuhu?
1
0
0