![Mpãtë Bízzy☆ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1888608953904291840/4Vme6rGu_x96.jpg)
Mpãtë Bízzy☆
@Yusuph_Mpate
Followers
1K
Following
11K
Statuses
8K
Nothing shakes the smiling heart✨
Tanzania
Joined August 2021
@ALHelmsman_14 @IshaAlley @HelsM @Alvingtonhk Tulia tukufundishe kulea😂😂... Nataka nimpe mshahara wangu wote wa February😂😂
0
0
2
@IshaAlley @ALHelmsman_14 @HelsM @Alvingtonhk Kwa hali hii ndoa yenu na @Church_Boy100 ingekua ngumu sana, kwenye harusi tungeshiba kweli?😂😂
0
0
1
@IshaAlley @ALHelmsman_14 @HelsM @Alvingtonhk Ngoja nimalze kubeba zege nifungue yangu, nikuelezee vile nawakubali wapare🥱
2
0
2
@IshaAlley @ALHelmsman_14 @HelsM Uyu ndo ulikosea jina lake? Bora ungekosea ata la @Alvingtonhk angekuhonga mchele😂😂.... Tumwambie akope tena songesha afungue space ya mchango sasa😂😂
2
0
2
@IshaAlley @ALHelmsman_14 Sasa @HelsM anafunguaje space na bando la tuzo point lkn, space imekaa dakika 5??😂😂
2
0
2
@DullahTheking2 Tunalia kidg apa, tukitaka kujipoza tunaenda kusklza 🎶Makofi kidogoo, nipe mawilii👏👏🎶.... 😂😂
1
0
5
@pprosperous2021 @TweveDevota Toka umeajiriwa pale mashineni, basi unaona kila mtu hana ela kudadeq zako😂😂
1
0
1