![Women Fund Tanzania Trust Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1244927691486265350/5VT9gj9d_x96.jpg)
Women Fund Tanzania Trust
@WomenFund_TZ
Followers
3K
Following
2K
Statuses
2K
A Feminist Fund committed to creating a society where women realize their potential and engage in transformation for empowerment and social justice.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2013
RT @winharder_: Ndoa za utotoni ni ukatili wa kijinsia unaomnyima mtoto wa kike haki yake ya elimu, afya, na maisha bora. Kila mtoto anasta…
0
12
0
RT @TweveDevota: #UsawaNdioNguzo ya kuondoa ukandamizaji wa kijinsia katika jamii. #UsawaNiMaendeleo
0
11
0
RT @VwalaViola: Usawa kwa wote , Usawa bila kukandamiza jinsi moja . Kweli #UsawaNdioNguzo
#UsawaNiMaendeleo
0
5
0
RT @TweveDevota: Tusikae kimya kupigia kelele ukandamizaji wa mtoto wa kike kupitia ndoa za utotoni. #UsawaNdioNguzo #UsawaNiMaendeleo http…
0
7
0
Mtandao wa @srhr_coalition unaoongozwa na @dorismollel na @TugheTanzania wakizungumza na wanahabari,kuipongeza serikali na @BungeTanzania kwa kupitisha Marekebisho ya Sheria za Kazi (Na 13, 2024), yaliyoruhusu ongezeko la likizo ya uzazi kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti
0
1
1
RT @TweveDevota: Tuungane kutokomeza ndoa za utotoni pamoja na kudai mabadiliko ya sheria ya ndoa inayochochea kuongezeka kwa ndoa za utoto…
0
11
0
RT @VwalaViola: Ndoa za utotoni bado ni janga kubwa kwa nchi yetu na hupelekea mtoto wa kike kukosa haki zake za msingi . Je tuchukue hatua…
0
6
0
RT @winharder_: Tukiwalea watoto kwa misingi ya usawa, tunajenga kizazi kinachotambua kuwa haki na fursa sawa si upendeleo bali ni nguzo ya…
0
9
0
"Uongozi wa wanawake si tu daraja, bali ni nguzo imara ya maendeleo na usawa". #UsawaNdioNguzo
#UsawaNiMaendeleo
2
3
5
RT @winharder_: Tunapowapa nafasi wanawake tunajenga jamii yenye haki, matumaini, na ushirikishwaji kwa wote. #UsawaNdioNguzo #UsawaNiMaend…
0
14
0
Wanawake ni chachu ya kufikia dunia yenye usawa na maendeleo- #usawaNdioNguzo
#UsawaNiMaendeleo
0
3
4
Mtandao wa #AfyayaUzazi, unaojumuisha mashirika zaidi ya 100 unatoa shukrani na pongezi za dhati kwa @ @bunge_tz kwa kupitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho Ya Sheria Ya Kazi wa Mwaka 2024 Kipengele Cha 33, kinachogusa Likizo Ya Uzazi Kwa Wazazi Wenye Watoto Njiti.
0
1
1
@MwananchiNews : Sasa rasmi wanaojifungua watoto njiti waongezewa likizo ya uzazi. #likizoyauzaziimetiki
#srhrcoalition
#fundingwomensrights
0
0
0
@Mwanahalisitz "Likizo wiki 40 kwa atakayejifungua mtoto njiti" #likizoyauzaziimetiki
#srhrcoalition
#fundingwomensrights
0
0
0
@azamtvtz Bunge laridhia marekebisho ya sheria ya kazi #likizoyauzaziimetiki
#srhrcoalition
#fundingwomensrights
0
0
0
Extension of maternity leave from @TheCitizenTz
#likizoyauzaziimetiki
#srhrcoalition
#FundingWomensRights
0
0
0
from @wasafifm - Likizo ya wanaojifungua watoto njiti yaongezwa. #likizoyauzaziimetiki
#srhrcoalition
0
0
0