Willy Profile
Willy

@Wilbright_jr

Followers
67K
Following
122K
Statuses
173K

Commissioner for Oaths/ Notary Public/ Corporate/Conveyancing/Wildlife Lawyer/ManU Fan/Young African Fan/ Father /Entrepreneur

Arusha
Joined July 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Wilbright_jr
Willy
3 years
26/10/2021 saa Tisa kamili ilikuwa mbaya sana kwangu na isiyosahaulika maishani mwangu. Siku niliyopata taarifa kuwa mama ametutoka katika maisha haya. Mama apumzike kwa amani 😭😭😭😒😒😒😩😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
195
66
840
@Wilbright_jr
Willy
1 hour
@Fahimcalleb @EngMapundajr Ushachelewa sasa hivi washaenda umri
0
0
1
@Wilbright_jr
Willy
2 hours
@Fahimcalleb @EngMapundajr Ndo maana huwajui hawa
1
0
1
@Wilbright_jr
Willy
2 hours
@Fahimcalleb @EngMapundajr Wewe wa afu mbili nini kaka
1
0
1
@Wilbright_jr
Willy
1 day
@Aloycemsaki Sasa mbona unatusema mchana kweupe wakati hatuna hata baiskeli wala kiwanja
0
0
0
@Wilbright_jr
Willy
1 day
RT @BarakaMaviatu: #Mtumba CONTACTS: WhatsAppπŸ“ž Signal, Telegram πŸ“§,Calls☎️, TxTβœ‰οΈ #tunafanyadelivery πŸ›΅πŸ“¦ #mikoanit…
0
10
0
@Wilbright_jr
Willy
1 day
@Pdizaina05 Nimecheka kama mazuri vile
1
0
0
@Wilbright_jr
Willy
1 day
@rollymsouth happy birthday brother
0
1
2
@Wilbright_jr
Willy
2 days
@EngMapundajr Maandalizi ya tarehe 14 haya hakuna mbaya boss
1
0
1
@Wilbright_jr
Willy
2 days
@just_toksik Unatafuta vawulensi wewe
1
0
0
@Wilbright_jr
Willy
3 days
@jaliluzaid Hii haihusiani kabisa na kuku kama kuku tupate ufafanuzi
0
0
1
@Wilbright_jr
Willy
3 days
@EngMapundajr @Big_Nicky01 @Aloycemsaki Wale wale tuu wa afu mbili hawa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
0
0
0
@Wilbright_jr
Willy
4 days
@Makaveli_255 Kwani kwa sasa nywele zimeenda wapi kaka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
0
0
0
@Wilbright_jr
Willy
4 days
@mvuhakwetu @Hon_KibayasiF @jaliluzaid Jalilu hajasema hayo
0
0
2
@Wilbright_jr
Willy
4 days
@Hon_KibayasiF @jaliluzaid Tuachie hapo hapo tusiendelee zaidi
0
0
1
@Wilbright_jr
Willy
4 days
@Hon_KibayasiF @jaliluzaid Hapana kaka utaharibu
1
0
1
@Wilbright_jr
Willy
4 days
@Hon_KibayasiF @jaliluzaid Bulaza kwani hapa anazungjmzia gari kama gari au gari kama gari
2
0
3