BarakaMaviatu Profile Banner
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’ Profile
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’

@BarakaMaviatu

Followers
150K
Following
317K
Statuses
401K

#Entrepreneur SPECIAL & SECOND HAND/MTUMBA shoes dealer πŸ‘ŸπŸ‘žπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’ https://t.co/D0rNCR53HS |Ndugu wa CHAPO, CHAFOSA na MKWAWA WILLY BRIGHT & JOHNIEBEST

SOMEWHERE ON EARTH 🌍
Joined March 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
23 days
#Mtumba CONTACTS: +255718007463 WhatsAppπŸ“ž,Calls☎️, TxTβœ‰οΈ #TUNAFANYADELIVERYπŸ›΅πŸ“¦ #MIKOANITUNATUMA πŸš›πŸ“¦ #return 2 days after #delivery
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
22
24
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
1 hour
@ambwene_ Bilioni 1.8, si ni sawa na milioni @ kwa watu 1800 mbona ni hesabu mbuzi sanaa? Ni nyingi kama ingegawiwa kwa watu wachache labda 100. Vijana wangapi walipewa hiyo hela?
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
RT @spana_Konki: Air Jordan 4 RM πŸ‘Ÿ Size: 40-44 Bei: 95,000/= badala 110,000/= πŸ“ž: 0693688961 WhatsApp: 0743931620 DM @Dream_online_Tz https:…
0
31
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@IamEssyA @lifeofdr3 @jwise017 Hiko suala la kidoti ni picha inauzwa hata hiyo inaweza geuzwa umegeukia kukia ikawa kushoto. Mke wake alimuacha sababu alichepuka. Mandela ametoka mzee ndio maana hata kuongoza hakuweza kaa muda mrefu. Yeye kuwakumbatia wazungu ndio kulileta hayo, inaitwa Mandela effect.
0
0
1
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@lifeofdr3 @jwise017 πŸ‘πŸΎ
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@Mbwana_1 @MigunaMiguna @elonmusk @netanyahu @IntlCrimCourt @Julius_S_Malema Ni watu weusi tuu utwasikia wanahubiri amani vitani.
1
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
RT @INFLUENCERjr: Mtoko wa Valentine usihangaike kutoka na cash au kadi maana ukikuta Lipa Hapa unamaliza kila kitu Lipa Hapa ipo Mtaani k…
0
15
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@IamEssyA @lifeofdr3 @jwise017 Watu wake walipaniki tuu kutokana na alivyotoka kabadilika. Mtu kafungwa miaka 27 unategemea atatoka yuleyule? Kama ni akili walimchezea vya kutosha, ni sisi huku ndio hatuwazi ila wenzetu walikofika wakikaa na wewe siku kadhaa ukirudi sio wewe tena.
1
0
1
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@automatiki @GlobeEyeNews Hii Dunia sio ya qatu dhaifu.
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@automatiki @inframe_tz @jwise017 If you're not on the table you're on the Menu. Hii ni kauli wanaipenda wenyewe. Kazi kwetu kuamua.
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@YusuphMwafrica Hii kwenye speed imewaacha wote wawili. Maelezo yanatokea kama picha haijiulizi sanaa.
1
0
1
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
@formerchild19 Halafu hii iko faster mbaya sekunde tuu paaa jibu lote linakuja kama picha.
1
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
2 hours
RT @Dream_online_Tz: Genuine leather Timberland πŸ₯Ύ zimebaki chache sana πŸ’” . Size 40-45: Bei: 95,000/= . Njoo Whatsapp Chap πŸ–‡οΈ: https://t.co…
0
5
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
11 hours
@maxannania πŸ˜‚
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
11 hours
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
11 hours
@RasLule Jua kali unachomeka.
1
0
1
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
12 hours
@_ThisIsAntony Unaingia gharama kuwafurahisha masikini wenzio. πŸ˜‚ Ndio haya masikini anavaa Guchi ili masikini wenzie waone ana hela. πŸ˜‚
1
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
12 hours
@RasLule πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1
0
1
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
12 hours
@AlfredCbm51 Moto wanapelekewa sio wa kawaida.
0
0
0
@BarakaMaviatu
Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’
12 hours
@automatiki @inframe_tz @jwise017 Unfortunately we can't. Huwezi kuhubiri amani huku mwenzio kashika upanga, tusipojifunza tutaendelea kulalamika wao hua hawajali hilo. Kazi kwetu kuamua kuendelea kua victims au kukaza.
1
0
0