Francis ❖888❖ Profile Banner
Francis ❖888❖ Profile
Francis ❖888❖

@inframe_tz

Followers
17,111
Following
3,223
Media
2,851
Statuses
38,636

Photographer → Storyteller → Teaching You Become A Better Photographer. "Let's Learn And Create" ❖Coffee Lover❖

Tanzania
Joined February 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Hakuna Feeling Nzuri kama hii, Yaani, EMOTION zangu leo, zimeguza kwenye Selling Board ya moyo wangu! iKikupendeza Respot: Ahsante! Press Play👇🏾
68
205
603
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nina uhakika wauza iPhone wengi watanichukia baada ya kutoboa siri hii, Kama una mpango wa kununua iPhone Mwaka huu, Hivi ndivyo utakavyo uziwa iPhone iliyotumika bila wewe kujua... 🧵👇🏾
Tweet media one
317
1K
3K
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Msikilize Fundi simu mwenye takribani uzoefu wa miaka 7 akiwa anatengeneza simu za wananchi kariakoo… Kama wewe unamiliki iPhone au Android This is Must Watch! Part 01... Press Play👇🏾
92
605
2K
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kuna siri nyingi zimefichwa kwenye soko la biashara ya simu na Laptop... Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa, Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua laptop, ili usije ukaingia Chaka ukajuta,.. Kama mimi yalivyonikuta miaka kadhaa iliyopita... 🧵👇🏾
Tweet media one
84
470
1K
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Huyu Dogo, anajua mnoooo, naweza sema ni Master in "Story Telling" Nyimbo zake nyingi ni kama Movie, The Lyrics sasa! Aisee! Kama Eminem anakuja anakataa🫡😂
Tweet media one
163
120
1K
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Aliyeelewa Jibu la Elon, accoment hapo Chini.. Alafu nitoe ufafanuzi…
Tweet media one
94
50
1K
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
85 percent ya Wauza iPhone Hawawezi kukwambia SIRI hii Kwanini? Subiri nikupe Story, Nina Ndungu yangu Mmoja Jinsia (ke) Kila ikitoka iPhone, New Model, Lazima Aidake! Na anaidaka ikiwa, Bado haijapoaa! My Guess Mwisho, Wa mwezi huu kabla Haujaisha... Lazima Anipigie
Tweet media one
217
169
959
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Niko tayari kumwaga SIRI zote unazofichwa kuhusu kutengeneza Pesa Online! FOR FREE! ndio Bure! Unachotakiwa kufanya LIKE post hii TU! usifanye chochote kingine, Nitaanza na kutoa siri ya kwanza Leo saa 11AM (Asubuhi) hii!
7
53
956
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Na hii ndio sehemu ya pili ya Video ya Fundi Akizungumzia namna gani Screen Protector inavyoweza sababisha majanga kwenye sim yako n.k, Msikilize kwa makini... Press play👇🏾
69
277
934
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kuanzia LEO mtaanza kuona account nyingi kubwa na ndogo zina BlueTick...
37
24
810
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nina Furaha sana, Fundi Simu amekubali Video iende hewani, Ninachokuomba nikiiachia hii video, Utege sikio lako kwa makini kumsikiliza, Kama una ndugu yako ambaye labda hayupo TL, unaruhusiwa ku Copy link ukamtumia. au Ukaidownload ukaituma! Kaa tayari...
18
39
809
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
X101: "Unlocking the Secrets to Attracting Money" Ukijua SIRI hii umasikini utausikia kwa jirani… Na Kwa kutokujua SIRI hii, kumewafanya wengi kwenda kwenye njia ya umasikini badala ya utajiri! Iko Hivi ... 👇🏾🪡
Tweet media one
98
261
788
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Na hiki ndicho kilichotokea kwenye Account yangu, Mpaka BlueTick Kundolewa... Kwanza Niwaondoe Shaka watu ambao wame-subscribe -TWITTER BLUE- BlueTick zenu ni halali kabisa, Na 🧵👇🏿
Tweet media one
Tweet media two
76
88
794
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Siasa achia mwanasiasa! Kama Utadeal na Siasa hakikisha huna cha Kupoteza! The Cask 😭
106
44
780
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Hakikisha Siku ya kesho umekaa karibu na Page hii! Nakwambiaje Kwa uzi nitakaoachia kesho: Usipotoboa this time, i can guarantee you itakuchukua miaka kuliona Tobo>>> Kesho nitakupa SIRI bure ya Upumbavu Mkubwa ambao umekuwa ukishauriwa na unaokufanya kuwa masikini zaidi kila
Tweet media one
22
76
734
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Hii ndio inatwa "Mwanaume kuwa na Ndoto" Umeona nini kwenye hii picha?
Tweet media one
35
28
704
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Naona leo Twitter wametoa BlueTick kwa account nyingi sana zilizofanya Subscription siku za karibuni...
14
21
687
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
X- wangu tuliyekuwa tunapendana kindaki ndaki ameolewa na jamaa Mwingine wanayependana kindakindaki. Somo: anything/Anyone can be replaced! Hata upende/Upedwe vipi kuna Mtu mwingine anaweza Chukua nafasi yako na kukawa kama hakuna Kitu kilichotokea! People Change!
59
97
682
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Matukio Katika Picha yaliyotokea Leo, Kariakoo @yangasc1935 #Thread
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
36
666
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Nimekutana na Hii, Toyota imepaki hapa, Ni ile Toyota Iliyotoka juzi Kati? Nauliza Au Macho yangu yameona Maruerue 🧐
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
94
32
658
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
X101 -Naanika wazi SIRI Zote BURE - Part 01. Ukijua Siri Hizi, Unaweza Kutapeli mtu Yeyote Mtadaoni Bila kutumia Nguvu, Pia, Hizi ndio siri zinazotumiwa na Matapeli wote wa ONLINE, Wait wait: 🪡👇🏾
Tweet media one
27
117
633
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nashauri: Kama unataka ku-Subscribe usitumie card yako ya Bank kufanya malipo… Tumieni Visa card za mitandao yenu ya simu…
28
32
634
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
X wamelipa watu, Usiku huu... Pamoja na mimi... Siamini ninachokina😂
42
35
629
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ngoja nikwambie kitu, Elon aliahidi akasema ukiwa na BlueTick, Account yako wataipush kila Content utakayoweka, Yaani itaonwa na watu wengi zaidi, na hiyo itapelekea Followers Kuongezeka, Imagine ndani ya siku 6 kutoka 3500-7700!
11
20
613
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
Feza Schools Fraduation Ceremony, #pichazasimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
31
24
602
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Event Imeanza #AppleEvent Nawaletea Matukio Live! Unaweza Unani Mute kama nitakukera Kwa Notification! 😋
Tweet media one
9
9
587
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Sina uhakika na Soko la Photography na Video Mpaka kufikia 2030 Kwanini?... Kwasababu "AI" ilipofikia sasa ni Hatari sana! Version 5 ya Midjourney, it blow my Mind!🤯 ...na kwa mtizamo wangu... AI tayari imeadhiri sana Kiwanda cha "Photography na VIDEO" Ona mwenyewe👇🏾
Tweet media one
71
75
578
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
Sasa ni wakati wa zamu yetu kama @TOTBonanza Tanzania kwenda Viral. Ishu ni Moja tu ku #Retweet kila moja Aone kilichoendelea bonanzani… Anyway: Press Play 👇🏾
62
257
574
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nitaficha wapi sura yangu 😭, ka BlueTick Kangu jamani, Uwiiii!
101
15
575
@inframe_tz
Francis ❖888❖
8 months
Watoto wa kiume mnaomba sana, Pesa DM... Shida nini Wazee?
221
52
578
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kati ya wote Walio tuma DM mtu mmoja ndio kanisikitisha zaidi, Jana katoka kupigwa tukio masikini dah!
23
13
545
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Umetoboa Mwezi Mpya, Hakika na tuseme... Mungu ni Mwema.
44
52
544
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
Hii Transformation, kuna Saa Mpaka Huwa Najishangaa🤣🤣🤣🤣 .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
45
20
529
@inframe_tz
Francis ❖888❖
3 years
WAKATI NIPO RWANDA NILIKUTANA NA WATU WENGI LAKINI HII ILIKUWA NI TOFAUTI Sikupanga kuandika #UZI huu imetokea ghafla tu baada ya kuziona hizi picha zilikuwepo ndani ya external yangu, sina kumbukumbu sahihi kama niliwahi kushare hizi picha hapa TL, #thread SHUKA NAO
Tweet media one
57
169
525
@inframe_tz
Francis ❖888❖
5 months
Kama MAMA Yako yupo HAI, Make sure, 💯% you Take Care Of Her, Fanya kwa sehemu yako, Hata kama mmezaliwa Wengi… ↳ Take care of your MAMA bro…
18
78
529
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Kama Umepokea Maokoto Juzi, Tizama Account yako Ya Stripe Something Magical Happen Asubuhi hii 😂😂 Haki ya Nani Elon 🙌🏾
36
25
524
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
"Sio kwa Ubaya Lakini" Malengo yangu, ilikuwa kufikisha, 15K Followers, Mwezi wa 8... Lakini Lengo Sikulifikia, Bado Wadau 500 tu nifike. Ili nifike Lengo... Nisaidie. - Repost Post hii - Quote Post hii - Like Post hii Thank you Buddah!
35
139
509
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kama Wewe Ni Mfanyabiashara Wa Aina Yoyote Humu Ndani, Hii Inakuhusu "February, 11" Nilipost Video Ya Fundi Akielezea Kuhusu Mambo Ya Simu, Sehemu Ya Kwanza Pekee Imeonwa Na Watu Karibia 186k Sehemu Ya Pili Imeonwa Na Watu 108k 🧵👇🏿
Tweet media one
Tweet media two
40
106
497
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Wafanya biashara wengi wa kike, kinachoonekana zaidi kwenye account zao ni wao kuliko Bidhaa za biashara zao... Au ni mimi nimeona?
55
24
493
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Hii Vlog nimeifanyia moja kwa moja Kutoka uwanja wa ndege wa Termirnal 3 -My Valentine❤️ Press play 👇🏾 & enjoy
72
60
487
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Kupata Tsh 12M per month humu "X" itakuwa kama kugusa tu/ Kama utakuwa na Content Strategy Nzuri na utajipanga! Elon ameahidi Kulipa Creators wa "X"! ...zaidi kushinda YOUTUBE! Na hii itapelekea matumizi ya mtandao wa X kuongezeka! Humu ndani mtegemee kuona wageni kutoka
23
36
475
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Hivi ndicho kinachotokea Uki Like Post hii Sasa hivi... #BrandedFeatures
12
17
478
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Xupdate: Breaking News! Like Post Hii Uone Kitakachotokea Reply umeona nini! Sasa hivi... #BrandedFeatures
50
22
472
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Nimekaaaa, Nimeshindwa Kuvumilia! Muda Si Mrefu Nashare Maokoto yangu, Ila kikubwa Sio hicho, Kikubwa Ni wewe unaweza... Toboa vipi kwenye, Huu Mchongo... Notification ON👇🏾
15
38
466
@inframe_tz
Francis ❖888❖
9 months
Hakuna Mtu hatari Kama aliyeamua, Kwa Dhati Kumtegemea Mungu... 👆🏾
19
72
461
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nimefanikiwa kupata kibali na kurekodi Vlog-Video na Fundi wa simu hapa town, "Fundi ambaye ni Very proffesianal" Amezungumza mambo ambayo kwa ujumla hautataka kuyasikia mimi mwenyewe nimeogopa!... Hii Video nikiiachia Sijui itakuaje, Dah!
61
81
454
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kuna Raia hajui hata Visa Card ni kitu gani, Aiseee!
52
8
447
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Je, nikuulize ulishawahi pigwa tukio alafu baadae ukaja kugundua... Ilikuwaje? Usisahau ku-Retweet ifike mbali, Pengine unaweza ukaokoa Pesa ya mtu siku ya leo! Nimekaa pale, Niuweeni😂
23
87
450
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Kwa haya maokoto, Naacha kazi, Jamani😂
48
17
438
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Maisha yana Funzo kubwa sana, yaani huwezi ukajua nani atakusaidia na kwa wakati upi...
20
67
440
@inframe_tz
Francis ❖888❖
25 days
“Mwanaume Ambaye Hajazikwa Ardhini Usimkatie Tamaa”
13
85
443
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Leo Twitter Yote Ina Furaha Kwasababu Tu Nimeondolewa BlueTick!
84
10
438
@inframe_tz
Francis ❖888❖
3 months
Ulishawahi Kuwepo Sehemu, Kwa mara ya kwanza... While uko hiyo sehemu, Kuna hali ikakujia... Kwamba hiyo sehemu, Ulishawahi kuwepo? Si hivyo Tu, Kila tukio linalofanyika, Kwa wakati huo... Lilitokea Exactly na, Kinachoendelea Muda huo? Uliwahi pata jibu? Nasoma Comment..
119
39
441
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
CEO wa TikTok ameweka Kitimoto na Bunge la Marekani -Congress … Aisee kama ni falafala, huchomoki kwenye ile Carbinet😂 Hayo maswali anayopigwa! Yaani ni Left and Right… Ishu kubwa ni-Uchina kuiba Data za Wamarekani… Yupo live kwenye platform karibia Nyingi time hii.
40
27
424
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ikumbukwe Kuwa Sijajua-tack muuzaji yoyote directly! Ila zaidi nimeongea na wahanga ambao ndio wateja wenu… Waongeze umakini na Wajue nini wanataka!
32
16
418
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Za ndaaaaaaani Elon Analipa Overtime kudadadeki! Inabidi niongeze, Muda wa kuwa humu! 😂
42
31
412
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Ukiona nime Post Chochote, Ujue mwenzako Nipo Kazini... Na kazi yangu ni Kupost... Nisapotini jamani, Sina kazi ingine mjini hapa! 😌
Tweet media one
43
42
397
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Kama kijana wa Kiume mwenye Maono, Hakikisha hakuna kinachokutoa kwenye Mstari hasa hasa MAPENZI!
22
40
398
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ile Harusi ya Wazungu niliyofanya Bagamoyo, Picha zimetoka Kali hadi wazungu wamepagawa😂 Also the The OWNER of FireFly... Tayari zipo kwenye Website Yangu, Website: Ilaa Baadhi nitaweka Hapa Sambamba na Vlog...
37
23
386
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nilidhani Bongo haiwezekani, Kumbe inawezekana... 1000 Retweet, Likes 2600, tena kwa account ndogo kama yangu... Ahsanteni sana, kwa kusambaza awareness kwa watu muwapendao...
9
15
378
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 months
Huu Sio Uchawi, Chochote Utakacho Nuia, Kwa Kumaanisha Na Ukafanya, Hivi Kwa Siku Kadhaa… ( Spell ) Kinatokea. How?... Case Study: ❖Waganga wa Kienyenyi: Kafara Haiwezi Kuwa Kafara Iliyokamilika, Bila Kuitamkia Maneno (Kinuiza) Maneno Yana Nguvu Ya Kuumba Kitu Katika
36
88
380
@inframe_tz
Francis ❖888❖
9 months
Starlink Tanzania! Huyu jamaa anatengeneza, Mazingira ya kwamba... Anatusaidia tu na Hatustahiki kuipata, Kwa namna yeyote ile! We subiri Utakuja Kuona Na kusikia! Kwamba "Mama amesikia Kilio chenu" Dah!
26
27
378
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Anayetaka Niiulize Artificial intelligence kuhusu yeye, Comment hapo chini... Nitaiuliza then nitakuwekea majibu yako uone kama inakujua! 👇🏾
98
16
372
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Usiifanye hii Mistake Niliyoifanya Mimi, 2 Year Ago, Hiili Kosa nilikuwa nalirudia, Over and Over! Mpaka nilipokuja Kubaini, Siri inayotumika kwenye Upande wa... "Content Creation" Kama umekuwa ukinifuatilia kwa ukaribu, ...nimeanza kutengeneza content humu Tangia nina
Tweet media one
49
59
370
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kuna mchizi wangu Kipindi hatuna kitu, Majalala! Alikuwa na Ndoto za Kwenda China! Yaani ilikuwa kama wimbo wake, ananiambia.. "We Fala Iko siku nitaenda China na Hutaamini" Guess What!... Muda huu unaposoma hii Post, Yupo China inaenda Wiki ya tatu, And this👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
32
29
365
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
TOP SECRET... Jana Usiku Elon, Amelipa "Wa-Tanzania" Hii Imekaaje... - Je, na wewe unaweza lipwa? Kwanza nikuhakikishie, "This is the BIG Deal" Na kazi yangu ni kukusogezea Hizi za Moto ili na wewe, uachane u-jobless💰... Ok, ili uwe Qualified, Kulipwa na @elonmusk Chukua
Tweet media one
45
155
359
@inframe_tz
Francis ❖888❖
4 months
Mzee Wao ni Multibillionaire Ila watoto wake Mpaka wnakuwa Watu wazima hawajui kuhusu Ela, Za mzee Wao zinatoka Wapi. Mzee anafariki, Anaacha karatasi za Urithi. Kwa Mwanasheria wa Familia... Uridhi unagawanywa. Kwenye maandishi ya Mali, Mzee alisema, Nyumba na Biashara
Tweet media one
29
68
361
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Dah!😩😩😩
Tweet media one
14
9
354
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nilikuwa sielewi chochote kuhusu Manifestation But Now, it’s Works 100 percent of the Time! You might ask me, what’s is Manifestation? Manifestation is the process of bringing something desired to reality by focusing your attention and energy on it. 🙌🏾
8
34
353
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
ChatGPT has been a life server,🙌🏾 Aliyetengeneza huu mchongo namuombea azidi kuwa tajiri...😂 kumpita Uncle Elon Mushi...
48
19
350
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ingia kwenye website hii, Nyuma ya box la iPhone utakalopewa kuna IMEI number, au Serial Number... Chukua hizo namba then ziandike kwenye Box utakayokuta kwenye link hiyo hapo juu, alafu bonyeza Check, 👇🏾 Angalia Frame namba 2... Ukishabonyeza... 👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
11
136
349
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Tangia nimeanza kushika camera kwa mara ya kwanza mpaka leo hii ni Miaka 9 imepita sasa... Ndani ya miaka 9 hii, Nimefanya kila aina ya Niche kwenye hiki kiwanda cha picha, Kwanini? 🧵 #ElimikaWikiendi 👇🏿
Tweet media one
20
63
348
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kuna jamaa alisema 125K nawatapeli! asa Nimepanda Dau up to 349K! Monitazition inaanza after 72hrs! Wanaofanyiwa Testing huko nasikia mtu keshalamba $25K 😂
18
9
346
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Ukitaka kununua ↳iPhone 15 ↳iPhone 15 + Bei zao Hizi hapa. Size inaanzia 128GB #AppleEvent
Tweet media one
32
30
340
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ikumbukwe Kuwa kila mtu humu anasehemu yake ya kutoa mawazo yake na kile na expirience zake alizopitia kwenye haya maisha, kwenye Thread zote, nimeeleza na kutoa Solution kwa wanunuzi, na zaidi kuongeza umakini.. Sasa kama nimekukera na labda umeona Elimu niliyoitoa
24
27
336
@inframe_tz
Francis ❖888❖
6 months
Hata kama nisingekuwa Mtu wa kaskaz, Bado ningekuwa inspired sana na hii jamii ya Kichaga. Am really Proud aisee,
Tweet media one
Tweet media two
25
18
343
@inframe_tz
Francis ❖888❖
3 years
HIZI NDIZO NJIA TANO ZA KUTENGENEZA PESA KUPITIA PHOTOGRAPHY, #UZI Kwanza Photograhy nini? Unaweza ukajiuza hilo swali na usiwe umajipatia majibu sasa leo nipo hapa nikikuletea uzi maridhawa kabisa, leo nitazungumzia kinaga ubaga namna ambavyo unaweza uka inverst 👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
30
142
331
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Wiki chache zilizopita nilifanya moja ya maamuzi Magumu sana kuwahi kutokea! Which is nafikiri na wewe leo unatakiwa yafanye hayo maamuzi bila kufikiria Mara mbili! Kama... Una rafiki ambaye Haoengezi chochote kwenye maisha yako... I highly Advice you to Cut him/Her
Tweet media one
60
34
334
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
Nipo na Nabii wa watu @GpixelP 😂 leo Kanitabiria Makubwaaaa.
Tweet media one
Tweet media two
15
18
319
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Hivi Humu Ndani, kuna Content Creator, "KUNGWI?" hapa namaanisha, Mwenye Content, za KIKUNGWI... Yupo?
45
28
327
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
⚡Kuna Kipindi Nilidhani 150K ni Nying Sana Kumcharge Mteja Kwa Picha 10, ✅Hizi ni Siri 5 Ambazo Mentor Wako Hataki ujue 99% . #Uzi 👇🏽
Tweet media one
26
78
313
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 years
Sapport yenu ni Kubwa Sana, ahsanteni sana. Nafikiri mmeniachia BluePrint ya nini natakiwa nikifanye kwenye Phase yangu ya Transition inayofuata. Anyway: Gongo la Mboto to Mlimani City = Black Panther Vlog😂 Part 1 Part 2
24
59
320
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
Walaahi Humu ndani kumeanza Kunoga! Mtaninyima Hizo 15M impression kweli wakuu 😄 Nipeni Bhana! Alafu Bado kiduchu tu
5
13
322
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kwenye Treding Page ya Twitter, ni aibu kinachotredi Bongo🙄 yaani ndio tumefikia huku... Dah!
43
7
315
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Lakini ukweli ni kwamba, simu inakuwa ilishatumika ama kurekebishwa kabisa! Sasa je, utajuaje simu uliyonunua ni mpya kabisa kama ulivyoambiwa na muuzaji?, Mpya kwa maana ya kwamba 1. Haijawaji tumika na mtu yoyote, 2. Bado ipo kwenye warranty ya apple
Tweet media one
1
27
316
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kipindi maalum cha #ElimikaWikiendi kesho kitaletwa kwako na @inframe_tz . Kubwa ni kuhusu aina ya upigaji picha utakaobadilisha maisha yako. @ElimikaWikiendi Weka Notification ON!
Tweet media one
15
52
313
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Nafahamu watu wengi wanakusanya pesa zao kwa taabu sana ili kununua walau simu inayoeleweka, Lakini tofauti na matarajio wanakutana na mikasa mingi, kama kuuziwa simu zilizotumiaka tayari, Kuuziwa simu zilizofunguliwa bila wao kujua... Sasa basi...
3
27
307
@inframe_tz
Francis ❖888❖
2 months
Swala La Pertnership kwenye Biashara... Sijawahi Kuelewa kwann, Kibongo Bongo. Ni Swala moja Gumu Sana! Naamini Sana Kwenye Pertnership Ila,.. Kwa Matukio NiliyoPigwa, Bado Sikomi. 🙌🏾 Ubaya I have realized,.. Kutoboa Lazima unahitaji Watu... Au ni Mimi tu?
54
28
312
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Its Official sasa Twitter imeanza kulipa Creators! Lakini.. Huu mchongo haukusu kama wewe ni Consumer, ...na kama Haujatimiza Vigezo Twitter wanavyotaka! Kwanini Twende pamoja... 🧵👇🏾
Tweet media one
34
90
308
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Niliwahi kutana na muuza iPhone mmoja,... Kitu alichoniambia jamaa, - nanukuu "Wateja wengi wanapokuja kununua Simu wanakuwa very Excited, mteja anakuwa anahamu ya kushika simu yake mpya, na hiyo ndio nafasi tunayoitumia kuwapiga" Mwisho wa kunukuu!
Tweet media one
3
27
303
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Wizi wa simu uliyotokea ndani ya daladala nikiwa nashuhudia Live Kaa Mkao wa Kupata kisa hiki cha Kweli! Turn Notification ON! (Video) 👇🏾
5
12
297
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
1. Video niliyoipost mda c mrefu nimeifuta kutokana na sababu zilizo nje ya uweza wangu, Ukiitaji njoo Private 2. Nimeshatoa mwongozo kwenye Thread, Kama hujasoma basi * Thread naifuta muda c mrefu 3. Kuanzia sasa Sitazungumzia Issue za Blue, Ukihitaji njoo maelekezo njoo
15
11
301
@inframe_tz
Francis ❖888❖
8 months
Miaka mitano iliyopita, Nilikuwa nanuka Umasikini kila pahala! Ashukuriwe Mungu kwa kunifikisha Hapa nilipo, Alhamdulilah. Sikia, Stay Loyal your Vision & Mission... Mungu atajalia tu, Amini kwamba🙌🏾
32
51
299
@inframe_tz
Francis ❖888❖
11 months
X101 -Naanika wazi SIRI Zote BURE - Part 3 Unaweza kutengeneza Mpaka $6000 kwa mwezi hapa Twitter! Iko Hivi 🪡👇🏾
Tweet media one
9
79
293
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Hivi ndivyo Gugo inavyokusanya Data zako hata kama hutaki… Nenda kwenye Link hii👇🏾🧵
Tweet media one
38
82
300
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ndani ya sekunde 30, Nitaenda kukusanua namna gani unavyo uziwa mbuzi kwenye Gunia! Kabla sijaendelea, Naomba uni Follow nahitaji kufikisha 10 Followers! Na wewe ndio msaada pekee..
Tweet media one
3
18
295
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Cha kwanza inabidi ujue Box za iPhone karibia zote zinauzwa... sasa wanachokifanya, ni hivii... Unapoenda kununua simu yako (Unaambiwa ni mpya) yaani iko Full Boxed, Na ukipewa kwa haraka haraka unaona ni kweli iko full boxed! (Hapo chini utajua kwanini)?
Tweet media one
Tweet media two
3
34
298
@inframe_tz
Francis ❖888❖
10 months
Hii inaogopesha Sana! Kati ya kitu Hatari zaidi, ↳kukifanya mtandaoni, Ni kuwazindua watu, kutoka Usingizini... Nimeiona hii Hata kwa Watu nisiowategemea! Yaani, By giving Free Educative Content! Kuna watu hawapendi Kabisa... People Will rather, Let you Die na ujinga
Tweet media one
53
38
293
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Ngoja Nikwambie Ukweli... BlueTick Ni Ilikwa Moja Ya Kitu Ninachokihitaji Sana Kama Creator! Nakumbuka Nilikuwa Namwona Bro @kennedymmari Kipindi Hicho Ana U-blue🔵! Nikawanaona Gele Kinoma, Sasa🧵👇🏿
Tweet media one
Tweet media two
28
30
295
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 year
Kama unahitaji kujifunzaa Video Editing, Anza kujifunza kutumia CapCut, CapCut ina feature nyingi sana, hasa kwenye kipindi hiki Ambacho "Vertical Video" ndio mchongo... CapCut ni FREE, kuanzia kwenye Simu hadi Pc na Mac...
10
74
293