![Icon Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1827650833338564608/ykKBLS0J_x96.jpg)
Icon
@VitusLukebo
Followers
1K
Following
87K
Statuses
5K
| Yanga | Liverpool fc.
Morogoro, Tanzania
Joined August 2011
@Labella_Mafia95 Simpo angereceive huo mpira hao wachezaji wenzike wangesogea katika position inayofaa angepeleka sehemu nzur tu
0
0
0
Nimekumbuka game ya Simba ya Yanga. Kaseja kapewa mpira alageukia golini akaanguka
Najaribu Kufikiri ni Kitu gani Kilikuwa Kinaendelea Kwenye Kichwa cha Chasambi Pale? A winger ,upo katikati ya Kiwanja bila presha yoyote kutoka kwa Fountain gate. Mnasaka bao la pili ili Kuimaliza Kabisa Mechi Kwanini idea iwe ni kugeuka nyuma na Kurudisha mpira kwa Camara?
0
0
0