SpearDgtl Profile Banner
Spear Digital Profile
Spear Digital

@SpearDgtl

Followers
1K
Following
910
Statuses
731

BUSINESS MAN | LET'S TALK ABOUT MONEY

COPIED AREA
Joined July 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SpearDgtl
Spear Digital
1 day
Katika maisha, kuna mambo muhimu ambayo kila mtu anapaswa kuyazingatia ili kuwa na maisha yenye mafanikio na furaha. Hapa ni vitu 5 vya msingi:๐Ÿ‘‡
Tweet media one
6
7
14
@SpearDgtl
Spear Digital
1 hour
@_yourBoyli4 Ah jamani kila mtu anaoa alafu me nipo tu! Mpaka wanawake wote wataisha nashangaa shangaa tu Nipeni hata namba ya mshangazi niishi nao
0
0
0
@SpearDgtl
Spear Digital
1 hour
0
0
0
@SpearDgtl
Spear Digital
1 hour
RT @ArchitectOffic2: Kama nalipia kosa langu sasa linatosha MUNGU ๐Ÿ™๐Ÿค
Tweet media one
0
1
0
@SpearDgtl
Spear Digital
2 hours
@fayet_kamami ๐Ÿ˜ ah umenishinda tabiaa... Au fanya unitumie picha nkupost me
0
0
0
@SpearDgtl
Spear Digital
2 hours
@wisdom_daniel2 Yes, love kwasababu ni muhimu sana japo pesa ni muhimu ila pesa peke yake pasipo love ni utumwa ๐Ÿค”
1
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
RT @ercurryTz: Future wife mapepo ya ugomvi yaache kwenu njoo na mapepo ya hela please.
0
4
0
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
@DenyTheDr Lazima upigwe na butwaa๐Ÿ˜
1
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
RT @DenyTheDr: .. Umeondoka umeacha wanachambua mchele unarudi unakuta vitu tofauti๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ
Tweet media one
0
11
0
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
RT @DenyTheDr: .. Tukiwa tunalewa ukiona nimeanza kukaa hivi, nirudishe tuu nyumbani๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Tweet media one
0
14
0
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
@0101DUBU Mkuu unafanyaje uzi unakuwa umejipangilia vizuri hivi?
0
0
0
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
RT @0101DUBU: Point 10 kuhusu UKWELI MGUMU WA MAISHA KWA WANAUME: Fungua Uzi๐Ÿงตโฌ‡๏ธ
Tweet media one
0
12
0
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
@DenyTheDr Tukupeleke home na wakati umeshakuwa mkali๐Ÿ˜
0
0
2
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
Hiyo ni historia ya Osama bin Laden kwa muhtasari kamili.
0
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
Urithi na Athari Baada ya kifo chake, Al-Qaeda iliendelea kuwepo lakini ilipata pigo kubwa. Mashambulizi ya kigaidi yaliendelea kufanywa na matawi yake kama ISIS, lakini nguvu yake ilipungua sana kutokana na msako wa kimataifa dhidi ya ugaidi.
0
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
..washirika wake. Hatimaye, tarehe mbili Mei mwaka elfu mbili na kumi na moja (2011), vikosi maalum vya Marekani (Navy SEALs) vilimkamata na kumuua katika maficho yake huko Abbottabad, Pakistan.
0
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
Shambulio la USS Cole mwaka elfu mbili (2000) huko Yemen. Shambulio kubwa la Septemba kumi na moja (2001) ambapo Al-Qaeda iliteka ndege nne za abiria na kuzigonga katika majengo ya Kituo cha Biashara Duniani (World Trade Center) na Pentagon, kusababisha vifovya zaidi yawatu 300k
0
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
Shambulio la mabomu kwenye balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka elfu moja mia tisa tisini na nane (1998), ambapo mamia ya watu walipoteza maisha.
0
0
1
@SpearDgtl
Spear Digital
3 hours
...mwaka elfu moja mia tisa tisini na nane (1998), ambapo mamia ya watu walipoteza maisha.
0
0
1