Oleshangai Profile
Oleshangai

@Oleshangai

Followers
165
Following
11
Statuses
164

Joined March 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Oleshangai
Oleshangai
1 year
Hivi adhabu ya pekee ya kuwapa wananchi wetu ni kuwafilisi, Hifadhi zetu ni Kwa ajili ya Nani? Hawa Ng'ombe tunaotaifisha ni Mali ya Watanzania waliofuga mifugo yao Kwa jasho na Damu. Hili Jambo ni kusudio la kuhujumu juhudi za Mh.Rais, Dr. Samia Suluhu Hassan.
8
8
18
@Oleshangai
Oleshangai
1 year
A very pleasant Send Off to Dr.Fredy Manongi . Kwa heri, bado tupo Ngorongoro.
0
0
2
@Oleshangai
Oleshangai
1 year
Dunia hii tunapita, waheshimu wanaokuheshimu, wanaokudharau na kukudhihaki. Watemee machoni, wadharau na kuwadogosha. Mungu ndiye mkuu na mheshimiwa kuliko wote.vyeo vitapita lakini ukuu wa mungu hautapita utaishi milele.
2
0
6
@Oleshangai
Oleshangai
1 year
@mrishogambo Hongera sana mh Gambo
0
0
0
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@OlengurumwaO Congratulations Onesmo for such fruitful meeting. I'm skeptical on the results of the meeting
0
1
4
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Leo nimetembelea shule ya sekondari ya wasichana Ngorongoro, nimekula nao chakula cha mchana. Nimewaasa wasome kwa bidii kwani elimu sasa ni bure kutoka darasa la kwanza mpaka kidato cha sita. Pia nimekabidhi viti 100 na meza 100
Tweet media one
3
0
7
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Nchi haiwezi kuendelea kila MTU akitanguliza akipatacho mbele, lazima kujinyima, kujikataa na kujitolea siyo plea za bargain zinapelekwa China. Leo waliohusika katika Hilo wanatakiwa wawe wameenda wenyewe kuleta hizo fedha ndani ya wiki moja . Shetani kabisa
0
0
0
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Sheria inaongea ndani ya Taasisi zote, inaendana na mahitaji ya nchi pamoja na mikakati ya nchi
0
0
1
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Nchi ambazo zimeendelea, ziliamua kuendelea na kuacha longo longo nyingi . Wakafanya KAZI Kwa vitendo, wakajenga uchumi imara, Taasisi imara, mifumo ya tehama imara na mifumo ya fedha imara, Sheria na Sera, taratibu na kanuni ambazo zinaendana sawia.
0
0
1
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@ExMayorUbungo Kwani umeambiwa Prof. Kitila ndiye anafundisha Darasani? Kazi ya mbunge siyo kufundisha bali kuandaa mazingira ya wanafunzi mujifunzià. Ufundishaji shuleni na malezi ya wazazi ndiyo msingi wa ufaulu wa wanafunzi wetu.
3
0
11
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@ManUnitedXtra_ The king maker, the pass and goal maker. We proud of you Casemiro.
1
0
4
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@ExMayorUbungo Huyu yupo dunia gani ? Ina maana mtajenga kisiwa cha Tanzania Chenye kila kitu ?mafuta mtazalisha wenyewe, mtakuwa nje ya mfumo wa uchumi wa dunia? Watanzania siyo watoto kiasi hicho. Tafuta kingine
0
0
0
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Siku ya Elimu Duniani. Nchi yetu tunahitajika kufanya maamuzi magumu kwenye suala la Elimu, atleast kuanzia shule za msingi ili kutengeneza jamii iliyoelimika kwa manufaa ya Taifa letu na Uchumi na maendeleo yetu.
0
0
1
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Utalii wa ndani, ndani ya nchi yetu, watoto wajue rasilimali za nchi yao ambazo zimelindwa na mababu zao miaka zote.
Tweet media one
0
0
4
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Kwa heri mwaka 2022, umekuwa mwaka wa mateso kwa Wanangorongoro lakini siyo mpango wa mungu bali binadamu. Tunaingia mwaka 2023 kwa furaha na matumaini mapya, tunaamini maumivu yetu yataponywa na kuingia katika historia mpya ya maisha yetu. Heri ya sikukuu ya mwaka mpya.
0
0
2
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@MwanzoTv @OlengurumwaO Hii haiwezekani, kinachotakiwa ni kuweka mikakati ya kisheria, kisera na kitaasisi ya kuhakikisha kuwa child abuse inatokomezwa kwa nguvu zote.
0
0
0
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
RT @MwanzoTv: #TANZANIA: Nashauri tupige marufuku shule za Bweni kwa Ngazi ya Shule ya Awali na Msingi, mtoto anze kukaa bweni akiwa sekond…
0
36
0
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Wale mnaosema MABEHEWA ni mapya, Njoo sikilizeni hapa alafu mtuambie kama mnambishia mwenyekiti wenu wa CCM.🤣🤣👇
1
1
3
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
Machozi ya Wanyonge ni laana, kwa sababu wanachoweza kufanya ni kulia kwa ajili ya machungu yao. Kuna siku watafutwa machozi yao.
3
0
5
@Oleshangai
Oleshangai
2 years
@Rechojohn5 Kuna shida gani Recho leo umetuamkia mashetani ??
0
0
0