@lifeofmshaba
Wanajeshi wa bongo mnadharaulika sabab mnashindana na wananchi wenu mnao walinda, iv kweli unatangaza kabisa utapitisha msako kweny nyumba ya raia kutafuta nguo zenye bakabaka,, kwani nyie n migambo had mkimbizane na wananchi? hapo c kuonesha hamna kaz ya kufanya,,Kafagien bana