NIKOambayeNIKO Profile Banner
Mtoto_wa_Mfalme12 Profile
Mtoto_wa_Mfalme12

@NIKOambayeNIKO

Followers
302
Following
10K
Statuses
5K

Special Force of Jesus; King of Kings

Salem
Joined September 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
3 hours
@zittokabwe Ila kiukweli ardhi ya Kigoma ingetakiwa ifanyiwe utafiti upya. Mazao mengi sana yanastawi Kigoma ambayo kabla yalikua yanaonekana ni mazao ya mikoa mingine.
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
3 hours
RT @ElionaKimaro: Mungu akubarikie na Kukulinda.
Tweet media one
0
61
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
3 hours
@eastafricatv Solution ni kugeuza shule zote za kata kua Vocational Training Centers (VTC). Sekondari waende wachache. Tutapunguza mikopo ya Vyuo vikuu na hiyo hela tuishushe kuboresha VTC. Tuchochee ubunifu na ugunduzi. @wizara_elimuTz
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
3 hours
0
0
1
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
12 hours
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
12 hours
@KimsureTz @kapeto98 1165.1 KM
0
0
1
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@MarekaMalili Iwe 10 yrs imetosha
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
RT @MarekaMalili: Moja ya masuala yanahitaji reforms ni ukomo wa Ubunge aisee, haiwezekani wewe upo jimboni 20 years na hakuna mabadiliko y…
0
139
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@TheRealEkiswaga Ni kawaida ya Siasa. Kuna watu kama kina Bibi Titi Mohamed, Mhe. Oscar Kambona na wengine wengi walifutika ilihali walitarajiwa makubwa. NI KAWAIDA japo "haitokei bahati mbaya"
0
0
2
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@fumbokhanJr Acha dharau. Pamba haijawahi kua team ndogo.
0
0
1
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@MabrukiRobert 1. Ndio 2. Yeye ndio njia, kweli na uzima. Mimi nikifa ninatumaini la uzima wa Milele na nitafufuliwa na Yesu kwa sababu yeye peke yake ndiye mwenye hayo mamlaka. Anafunguo za kifo na mauti. 3. Nimeshamwamini.
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@JosephJoh97 Kazini mwaka wa 4.
1
0
1
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@EsirEid Copy and Paste😁
1
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
RT @CadioArena: Say goodbye to mucus, dry cough, and congestion! Breathe easy with this simple remedy. 💨✨
0
797
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
RT @parasitedetox: Lymphatic face massage to keep your face looking young
0
2K
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@IamLyenda Time will tell
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
RT @WalkwithGod7: Amen.
Tweet media one
0
2K
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@KenyanSays Back door
0
0
0
@NIKOambayeNIKO
Mtoto_wa_Mfalme12
1 day
@Mkunga_Og Uzi mzuri. Ila ushauri wangu (sio lazima) jifunze pia hizo dawa ambazo nyie kitaalamu (scientifically) hamziamini au hazikubaliki. Zina uwezo mkubwa kuliko kawaida. Bado kuna nafasi ya kujifunza.
0
0
1