ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
@LuganoEdomm
Followers
38K
Following
275K
Media
5K
Statuses
47K
Daddy, Husband,Brother ,Teacher 🇹🇿 , Entertainer🎤|| C. E. O @naonavyema And Lugano kids shop 🏪👕 || #ASIYEBADILIKA VIDEO 📹 CLICK 👇To view my YouTube
Tanzania
Joined July 2015
Tanzania nchi nzuri ya uoto wa kuvutia karibuni wageni @UtaliiTz @HKigwangalla. Walio wahi kufika au kupita hapa ni location ya wapi?. Kama hujui Retweet wengine wataje.
100
32
253
HUKU TWITTER UKIWA NA FOLLOWER WACHACHE UKIPOST KITU KIZURI KINAIBWA NA WENYE FOLLOWER WENGI. HAHA 😂 hua nashangaa sana. Kama wewe unakwazika na katabia kawizi wa post Retweet hii iwafikie wote wenye tabia za Wizi wa tweets za wengine. 😄 😁 #UPEPOwakisulisuli.
11
34
154
Karibuni Mbeya Wadau. MBEYA. MBEYA kuna chakula cha kutosha bei rahisi.Matunda usiseme.Hali ya hewa ina change kila dakika.Mboga mboga usiseme yaani. #amazingMbeya.
14
11
161
Hivi Mbeya hakuna mwenye mtaji aanzishe kiwanda cha Juice ya Embe?. Eti kaka @LusakoWaKwanza unasemaje?.
6
2
142