LikombeSr Profile Banner
Mr. Gesi asilia (CNG) Profile
Mr. Gesi asilia (CNG)

@LikombeSr

Followers
2K
Following
26K
Statuses
8K

God is my Shepherd🙏 CNG conversion technology|| Huduma bora ya kufunga mfumo wa gesi asilia(CNG) kwenye magari ya petrol na bajaji| https://t.co/OKAAigN1Rk

Ubungo riverside
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
9 months
Kazi yetu ni kuhakikisha unafurahia matumizi ya gesi asilia CNG kwenye gari au bajaji yako. Karibu ujumuike na familia ya gesi asilia CNG . Okoa pesa yako kwa kuweka mfumo wa gesi asilia na kuacha kutumia mafuta mara moja! kwenye gari au bajaji. Tunakujali. Tunajali Chombo chako. Tunajali Pesa yako Tel 0687627393
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
25
46
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
26 minutes
LBL
Tweet media one
Tweet media two
0
0
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
2 hours
@filjames79 Asante na karibu sana mkuu.l, ila crown haifungiki gesi kwa sasa inacomplication flani hivi
1
0
1
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
2 hours
1
0
1
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
2 hours
RT @filjames79: @LikombeSr Oohh Bei reasonable Means mpaka mbeya unajaza Mara 4 hivi???
0
1
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @immaculatepet14: Ukitaka mipango yako mingi iweze kufanikiwa Lazima ujifunze kufunga kinywa chako,kinywa chako ni mlango ambao utaamua…
0
8
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
@Elparton112 inabidi akawasilishe🤣
0
0
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
@filjames79 23500 kwa 26500
1
0
1
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
Kila nikiamka asubuhi namuomba Mungu anijalie siku njema na ikifika usiku muda kama huu natafakari kama siku yangu ilikua njema. La! haikwenda kama nipendavyo lakini Afadhali ninapumua na afya ninayo namshukuru tena Mola namuamini kesho atanipa nafasi nyingine tena Nalala nikitabasamu
0
3
4
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @Mrs_Pappi: ValentineSET 70,000 tu Inakua na Saa Cheni Hereni Bracelet Bronch Card Na Valentine Packaging with ribbons
0
19
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @Master_plan9: Wazee Wa Njombe Wanasema.... Haijalishi Hali Ya Maisha Uliyonayo Amka Kila Asubuhi Na Umshukuru MUNGU Bado Unaishi.
0
60
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @KingPablotz: Haikuwa ajali ya kawaida, makosa ya kibanadamu zaidi ndio yasababisha ajali hii Msiba uliotikisa Dunia, kuanguka kwa Tita…
0
91
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @INFLUENCERjr: Bodaboda ili awe sehemu ya kijiwe awe ana paki na kula vichwa anatakiwa alipie 300k hahaha hii nchi ina mengi ya kushanga…
0
37
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @Njamasi__: Kila mmoja amfollow mwenzake 👊👇
Tweet media one
0
20
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @Jay_Electrician: Siku ya leo ikawe njema kwenye utafutaji wetu, Mungu atusaidie vipato vyetu viimarike na atunusuru na majanga, turejee…
0
20
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @Mwenyekit_i: Pressure na kutafuta validation mtandaoni mshajinunulia maua na kesho mtapost mkiwa mmeyaweka mezani hapo restaurant au kw…
0
14
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
📌📌📌
@zizujo01
HATUSHINDWANI BEI STORE.
4 hours
Wewe kama unapata milo mitatu, usimuone anayepata mlo mmoja ni mzembe. Muhimu mshukuru tu Mungu kwa baraka zake juu yako ✍️
0
0
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @MishitaW: Unamkazia msichana wa kazi ukidhan unamkomoa ukienda job anabaki anawalisha mavi wanao na kuwanywesha mkojo na anatenga mahar…
0
3
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @zizujo01: Wewe kama unapata milo mitatu, usimuone anayepata mlo mmoja ni mzembe. Muhimu mshukuru tu Mungu kwa baraka zake juu yako ✍️
0
46
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @PCNGInitiative: Today, Alhaji Yakubu Maishanu, Chairman of AYM Shafa Holdings, paid a courtesy visit to PCNGI, accompanied by Mr. Teryi…
0
2
0
@LikombeSr
Mr. Gesi asilia (CNG)
3 hours
RT @DullahTheking2: 👉🏽 Ama kwa hakika nyota njema huonekana Ahsubuh, na Dalili ya Mvua siku zote ni Mawingu........Dalili zote zinaonesha k…
0
58
0