![Silver Fox Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1749546420116353025/ISM-MWLP_x96.jpg)
Silver Fox
@JustMeku
Followers
4K
Following
804
Statuses
33K
I'm just here to establish an alibi...
Lost In Translation
Joined July 2009
#HappyFathersDay to all men whose efforts go unnoticed and whose children will never know the real story... never give up!! β
0
13
16
RT @robbystarbuck: Truth about the halftime show: β’ 75% of Super Bowl viewers have no idea what he said except for "a minooor" and "turn tβ¦
0
3K
0
@MarekaMalili Wapigakura wapewe nguvu za kumuondoa mbunge wao hata katikati ya kipindi chake iwapo ataenda kinyume na matakwa yao. Hii mambo ya kusubiri hadi miaka mitano inatupotezea muda sana
0
0
2
@JoelNtile Ila Iβm sure kwenye WhatsApp group la pembeni wanampiga majungu sana ππππ
1
0
1
RT @denhope26: @AganzeRafiki First of all, this video is in no way related to the burial of Tanzania brave men who died in Congo. Second,β¦
0
1
0
RT @Mwitah_tz: 2011 TZ ilikua na electrification rate ya 7% kwa mujibu Cooking Energy Action Plan ya mwaka 2022 kisha hadi kufikia 2020 ratβ¦
0
20
0
Aikande you need to let go, it wasnβt meant to be. Mtaanza kudhoofisha chama mkidhani mnamdhoofisha Lissu
Kwani maridhiano yalikuwa βvalidβ? mpaka unafanya reference? Mbona mli msulubi mwenyekiti mstaafu @freemanmbowetz kwa kufanya maridhiano? Nilifikiri uongozi mpya wa chama hautambui mazungumzo/maridhiano yale. Kwa sasa agenda sio tena mapambano ya wananchi? #NoReformsNoElections ? Mhe. Katibu Mkuu tunaomba ufafanuzi - maana hapa mnatuchanganya. Mliaminisha umma maridhiano yalikuwa dhambi ya usaliti na kulamba asali.
0
0
0