HoyceTemu Profile Banner
Ambassador Hoyce Temu, PhD Profile
Ambassador Hoyce Temu, PhD

@HoyceTemu

Followers
19K
Following
10K
Statuses
4K

Deputy Permanent Representative, Tanzania Mission to the UN in Geneva. Retweet not endorsement. Views are my own.

Tanzania
Joined August 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
3 days
Thankyou Nwatam🙏🏽. As you are returning back to Nigeria 🇳🇬, Tanzania 🇹🇿 Mission wishes you all the Best in your next Post heading the Multilateral docket. Your support during the IPU and WHO Campaigns will always remain in our hearts! Go well my sister with our Yellow Maasai Shuka from #arushatanzania Looking forward to welcoming you in Zanzibar #thespiceisland and Kilimanjaro #theroofafrica With me bidding farewell is: Malawi 🇲🇼, Kenya 🇰🇪, Zimbabwe 🇿🇼, Uganda 🇺🇬 and Sudan 🇸🇩
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
5
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
4 days
RT @rutaraka: 📍JNICC, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi @mahmoudkombo akizungumza wakati…
0
2
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
4 days
Tanzania 🇹🇿 na China 🇨🇳 ni nchi zenye historia ya muda mrefu katika ushirikiano katika Nyanja mbalimbali toka Enzi za Mwalimu Nyerere. Pleasure meeting with the DPR of the People’s Republic of China to the Uan and Ambassador Disarmament Affairs His Excellency Shen Jian. Asante sana for a warm reception at the Mission. #multilateraldiplomacy
Tweet media one
1
13
49
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
5 days
The United Republic of Tanzania’s statement at the #WHOEB in Geneva. RIP Dr. Ndugulile
0
1
4
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
6 days
Mganga Mkuu wa serikali Dr. Grace Magembe akifanya wasilisho katika eneo la Kuimarisha mikakati ya Afya kwa wote ikiwa ni siku ya tatu ya Mkutano wa 156 wa Bodi Tendaji ya Shirika la Afya Duniani unaofanyika Geneva-Uswisi. Katika wasilisho Lake,alianza kwa kuwashukuru Nchi wanachama kwa kutoa pole kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt.Faustine Ndugulile na kuahidi Tanzania kuendelea kutoa mchango wake katika kuimarisha utekelezaji wa mikakati ya Shirika la Afya Duniani. Aidha aliweza kuainisha mikakati mbalimbali ambayo Tanzania inatekeleza katika kuimarisha Afya kwa wote ikiwemo; 1.Kutekeleza Sheria ya Bima ya Afya kwa wote 2.Kuwekeza kwenye Afya ya msingi ambapo wastani wa asilimia 70 ya wananchi wanapata huduma za Afya ya msingi ndani ya umbali wa Kilomita 5. 3.Kuwajengea uwezo wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ili kutambua magonjwa kwa haraka na kuimarisha afua za kinga. 4.Kuwekeza katika rasilimali watu, vifaa tiba na teknolojia za kisasa kwa lengo la kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za kibingwa na bobezi
Tweet media one
0
19
60
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
6 days
Mganga Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 @wizara_afyatz Dr Grace Magembe akutana na WHO Chief @DrTedros katika mkutano wa WHO Executive Board hapa Geneva. Maendeleo ya sekta ya afya Tanzania as per Health Sector Strategic Plan V, approval of the UHC act 2024 to increase access and affordability of Health services especially at primary level, good progress on preparedness, response and Prevention of disease outbreaks including the outbreaks of Murburg which is now controlled. Tanzania committemnt to continue working with WHO and other partners to improve the health of its citizens and the globe at large
Tweet media one
5
11
54
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
7 days
RT @ikulumawasliano: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeepers Award iliyofanyika katika Hote…
0
72
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
13 days
RT @HamisUniversal: Hatua kubwa sana hii kwetu kama Taifa #LiveLongSamia #PoweringTanzania #Summit300 #PoweringAfrica
0
1
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
13 days
Hongera sana sana Mh Rais kwa kufanikisha mkutano huu mkubwa kwa Afrika na Kimataifa. Indeed a great event. #mission300 #poweringAfrica #poweringTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
22
85
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
14 days
RT @ikulumawasliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine w…
0
132
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
14 days
Pleasure meeting with my brother H.E. @HassaniMwamweta Tanzania Ambassador to the Federal Republic of Germany with accreditation to Poland, Switzerland, Czech Republic, Vatican, Hungary and Liechtenstein at the Africa Energy Summit held in Dar. #mission300 #PoweringAfrica #PoweringTanzania @UbaloziGermany
Tweet media one
6
33
119
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
14 days
RT @HassaniMwamweta: Nimepata heshma ya kualikwa na kuweza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu masuala ya Nishati (M…
0
21
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
15 days
RT @SuluhuSamia: Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake leo ninapotimiza umri wa miaka 65. Sifa njema zote ni…
0
534
0
@HoyceTemu
Ambassador Hoyce Temu, PhD
15 days
RT @LastbornWaMama: #HappyBirthdayMama #Miaka65 Balozi wa Tanzania Geneva, @HoyceTemu akituma salamu za heri ya kumbukizi ya kuzaliwa k…
0
1
0