![Lastborn Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1543913573822468096/MTp_Xodu_x96.jpg)
Lastborn
@LastbornWaMama
Followers
302
Following
4K
Statuses
10K
| memeloverπ€| Proudly TanzaniaπΉπΏπΉπΏ |
Joined November 2021
Serikali ipo kazini na #mamayukokazini
0
0
0
RT @mamanafanikisha: TASAF yabadilisha maisha ya Bi Asha Simon Mganga mkazi wa Pangani Mashariki. #MamaAnafanikisha
0
22
0
Kazi iendelee #mamayukokazini
πππππππππ ππ ππ
ππ π,πππ πππππππππ Katika mwaka huu wa fedha, serikali imetoa kibali cha kuajiri wataalamu wa afya 9,483 ambao watapangiwa maeneo yenye upungufu. #MamaAnafanikisha
0
0
0
RT @mamanafanikisha: πππππππππ ππ ππ
ππ π,πππ πππππππππ Katika mwaka huu wa fedha, serikali imetoa kibali cha kuajiri wataalamu wa afya 9,4β¦
0
26
0
RT @mamanafanikisha: Rais Samia Suluhu anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 14-15 Februari, 2025 aβ¦
0
28
0
RT @mamayukokazini: πππ
ππππ ππππππ ππ ππππππππ ππ ππππ #MamaYukoKazini
0
76
0
Rais Samia Suluhu amewatibu wananchi wa Wilaya ya Pangani kwa kuwaboreshea miundombinu ya Afya katika Hospitali Kongwe ya Wilaya. Hadi sasa huduma mbalimbali zinaendelea kutolewa katika hospitali hiyo. #MamaYukoKazini
#MamaAnafanikisha
0
7
3
RT @mamayukokazini: πππππππ πππππππππππ Utoaji wa chanjo bure kwa kuku umeongeza uzalishaji wa mayai kutoka Bilioni 5.50 kipindi cha 2022/β¦
0
125
0
RT @mamayukokazini: πππππππ ππ πππππππππππ ππ πππππππππ ππ πππππ ππππππ ππππππππππ, ππππππ, ππππππππ ππ ππππππππππ ππππ #MamaYukoKazini htβ¦
0
87
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuongeza eneo la umwagiliaji. MAMA AMETEKELEZAπ Mama amefanya mapinduzi makubwa katika kilimo cha umwagiliaji. Ndani ya kipindi cha miaka 3, eneo la umwagiliaji limeongezwa kufikia 74.7%. #mamayukokazini
#mamaanafanikisha
0
1
0
ILANI ILIAGIZAπ Kujenga skimu mpya za umwagiliaji MAMA AMETEKELEZA π Skimu zimejengwa na Utekelezaji wa mipango ya kuwezesha kilimo cha umwagiliaji inayoendelea nchi nzima ni kielelezo tosha. #Mamayukokazini
#mamaanafanikisha
0
1
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuimarisha usimamizi wa maafisa ugani, kuwawezesha na kuwapatia vitendea kazi. MAMA AMETEKELEZAπ Serikali ya awamu ya sita imewawezesha maafisa ugani kwa kuwapatia vitendea kazi mbalimbali. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
0
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuhamasisha sekta binafsi kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vya kusindika mazao ya mifugo MAMA AMETEKELEZAπ Kupitia maboresho ya sera, sheria na mazingira wawekezaji wamevutiwa na kuwekeza nchini #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
1
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuimarisha mazingira ya ujenzi wa viwanda vya kimkakati kwa kufanya mapitio na maboresho ya sera. MAMA AMETEKELEZAπ Sasa kuna ongezeko la viwanda nchini. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
2
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuchukua hatua za makusudi kuwezesha ustawi wa viwanda vya ndani ili kuwa shindani. MAMA AMETEKELEZAπ Sasa kuna ongezeko la viwanda vya wazawa ambao wanawekeza nchini. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
0
0
ILANI ILIAGIZAπ Kutenga na kuendeleza maeneo maalum ya uwekezaji (EPZ/SEZ) na kuyawekea miundombinu muhimu. MAMA AMETEKELEZAπ Serikali imetenga maeneo ya uwekezaji wa kuyawekea miundombinu muhimu. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
1
0
ILANI ILIAGIZAπ Kuweka mazingira wezeshi ya biashara na kuhakikisha kwamba zinapatikana fursa nafuu za kibiashara ili kuchochea ujenzi wa viwanda na uzalishaji wa bidhaa. MAMA AMETEKELEZAπ Mazingira yameboreshwa na biashara zinafanyika. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
1
0
ILANI ILIAGIZAπ Kufanya mapitio na maboresho ya sera na mikakati mbalimbali itakayoimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na kukuza biashara ndani na nje ya nchi. MAMA AMETEKELEZA Maboresho yamefanyika na mazingira yapo vizuri. #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
0
0
ILANI ILIAGIZAπ Kubuni na kutekeleza mikakati ya kurahisisha mazingira ya ufanyaji biashara nchini kwa kuimarisha utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini. MAMA AMETEKELEZA Masoko ya kimataifa yanafunguliwa nchini #mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
0
0
0