Gregory Charles Ndaki
@Gregorycn__
Followers
1K
Following
5K
Statuses
6K
The Official account of Gregorycn
Tanzania
Joined September 2022
RT @Gregorycn__: @ambwene_ Ijapo majiji yote nayafahamu Ila mie nitajibu hivi Kwa Upande wa Majengo ya Kisasa marefu zaidi na hotel za kita…
0
1
0
RT @gunsnrosesgirl3: trencher specifically designed for digging narrow trenches in the ground, often used for laying cables https://t.co/…
0
58
0
@ambwene_ Ijapo majiji yote nayafahamu Ila mie nitajibu hivi Kwa Upande wa Majengo ya Kisasa marefu zaidi na hotel za kitalii na Kumbi za Mikutano Arusha Inaidhidi Mwanza ,Kwa Upande wa Majengo ya Kisasa na Wingi na Ukubwa au Upana wa mji au Jiji Mwanza inaidhidi Arusha mbali sana .
3
1
23
@McinikaWaLamar @NMBTanzania @VodacomTanzania @ccm_tanzania @TEC_kurasini @EWTNVatican @VaticanNews @wizara_afyatz Upande wa huduma kwa wateja yaani ubora na feedback na kushughulikwa shida yako hawa @Tanescoyetu
1
0
0
Nikweli Lakini Mpanzu anatakiwa kuongeza Utulivu wa Mpira awapo karibu na Lango la mpinzani yafuatayo yafanyike. 1.Asipige mashuti wakati ana nafasi ya kutoa pasi na kuna mchezaji mwenzake ana nafasi ya kufunga 2.Ajue wakati gani wa kupiga pasi na wakati gani wa Kupiga shuti.
0
0
0
“Wakati Africa Akipatikana Rais au Waziri mkuu au Kiongozi Imara na anasimamia vema Nchi yake na Kwa Uimara , huitwa dikteta. Wakati Mzungu akifanya vivyo hivyo, huitwa kiongozi thabiti na Aftican na wazungu hutaskia Kelele yoyote.Dunia ina mizani yake ya ajabu! Tuamke ”
Mkuu wa Ukaguzi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), Paul Martin amefutwa kazi siku moja baada ya ofisi yake kuchapisha ripoti iliyokosoa juhudi za utawala wa Trump za kulifuta shirika hilo. Ofisi yake ilitoa ripoti iliyosema kuwa hatua ya serikali ya Trump ya kusambaratisha USAID imelemaza uwezo wake wa kusimamia misaada ambayo haikutumika yenye thamani ya dola bilioni 8.2.
0
0
0
Nina imani Team ya @SimbaSCTanzania wanajua wanachofanya.Sisi mashabiki tupunguze presha, maana hata @KMbappe alipitia wakati mgumu kwenye team yangu @realmadrid @realmadriden ijapo kwa sasa kaanza kujipata mdogomdogo . Mchezaji akipewa muda na sapoti, atarudi kwenye ubora wake.
0
0
0
@nyuki_malkia Situmii kabisa hapa mafuta yoyote na Lotion nadhani mie natumia mafuta ya wakatekumeni 🙏
1
0
7
@Kweka61327798 @JamiiForums Tusichokijua ni Kwamba Kila Mtu ana Lifestyle yake na Mipango yake.Shida huwa tunataka kulazimisha tunachokiwaza kiwe Jawabu sahihi.Ukweli ni kwamba kuna watu hata awe Rais wa nchi bado anatamani kuendelea hata awe na miaka 100 ,Kuna Watu pia wanaridhika na kustafu mapema wapo.
0
0
0