![DIONIZ KIPANYA Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1581180730025050112/0P4ZIHiB_x96.jpg)
DIONIZ KIPANYA
@DIONIZKIPANYA25
Followers
7K
Following
4K
Statuses
4K
@Mwabuk2Boniface Mungu akutangulie, Auondoe udhalimu wawa dhalimu, Haki ikasimame, na kukureshea mastahili yako.
0
0
0
@jjmnyika Hakuna mbadala wakuitetea haki ya Kupiga kura kama sisi wenyewe hatukujiandaa kufanya hivyo, Asante sana mh. Katibu mkuu kulitupia jicho hili kwa umapema huu.
0
1
2
@kavishePb @ParokoJm Baada ya Kenya na Uganda , Sasa ni TZ, Lazima watawala wajue Ajira, Elimu, Afya, miundo mbinu, na Maendeleo ya watu, nijukumu lao la kwanza, Niko tayari kwa maslahi mapana ya Taifa langu
1
8
44
@EduTalkTz Nitampa Tundu lissu, taifa linahitaji uongozi unaozingatia sheria na utawala bora kwa sasa, maana kupitia sheria na utawala bora kila kitu kitakaa katika njia yake. Kuliko hovisasa mambo ni pararaparara tu, kila mtu anafanya lake bila bugdha yoyote.
0
2
28
@ExMayorUbungo Hahaha mi ni mvivu wa kusoma maandiko marefu ila hili nimesoma loteee! Hahahaha umetisha mwamba
0
0
2