Chrinton Mtweve Profile
Chrinton Mtweve

@ChrintonM2509

Followers
14
Following
176
Statuses
93

Joined February 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 day
@Konexon255 @ZagyGirl Sion tuleteen pisi sumbawanga
0
0
1
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
2 days
@Konexon255 @ZagyGirl Mpanda ni mkoa wa katavi alafu sumbawanga ni mkoa wa rukwa ila kila nikisearch sion watu wa sumbawanga
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
6 days
@Richard41797287 @mchache_tz Huko nshapita nikigusa inabaki ina search tu na mtandao upo full
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
6 days
@CrownMediaTZ Naww mbn simba wakilalamika hujitokezi
2
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
7 days
@deomill @mchache_tz Nilishaenda ikashindikana
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
8 days
@mchache_tz Mbna mm natumia s21 ultra lakin esim inakataa ila nikisearch naambiwa inasupport shida nn
2
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
14 days
@nulphin @EsirEid Kumbe unaongea kiswahili hasa si ungeandika tu kiswahili
0
0
2
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
16 days
@MaxTz255_ Nunua lako afu kachome
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
18 days
@Maticpol @Open_univ_tz Ndo maan ya open university kwamba unaweza kusoma nje ya chuo!
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@ChelWiz @maggy17tz Sio mikwara kaka huyo anaenda kumroga kwel
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@wasafifm Hasa kama hawana maduka waende wapi sasa🤣
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@TanzaniaOneJezi Nichek chap inbox
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@paka_mshua @iamkizyh 🤣🤣🤣🤣
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@ndilole @harakatisafi @fumbokhanJr Hata kama lakin sio uniambie ukistake milion 27 unashinda milion 30 wakat odds zilikiwa tatu
0
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@ndilole @harakatisafi @fumbokhanJr Hata ni za baba levo ndo utuambie kuwa ukiplace mil. 27 unashinda mil.30🤣🤣🤣
1
0
1
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
1 month
@MaxiAllister @chaggaking Sio kwamba ni uzushi hata aliezivujisha anasema hawa watu sahv wapo chuo ni video za muda mrefu amabazo walikuwa wamezihifadhi kwenye simu zao
1
0
0
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
2 months
@nyuki_malkia Zanzibar hakuna wanaume kuna mashoga na wanawake tu
0
0
1
@ChrintonM2509
Chrinton Mtweve
2 months
@banzamedia243 Unasikiliz maneno au beat
0
0
0