Sema wanawake sometimes akili zao huwa wanazijua wenyewe. 💔😂
Haya unarudi nyumbani unamkuta amenuna, unamuuliza kwanini umenuna, Kuna shida gani? Anasema "hamna shida mi wala sija nuna hata".
Unamkomalia weee, anashikilia bomba anasema hajanuna. Na we unaona kabisa amevuta