ChademaHai Profile Banner
CHADEMA Jimbo la Hai Profile
CHADEMA Jimbo la Hai

@ChademaHai

Followers
11K
Following
8K
Statuses
6K

Official Account For Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hai Constituency. #HaiKwenyeRamani #SeraZaChadema

Kilimanjaro, Tanzania
Joined April 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
3 days
Kwa masikitiko makubwa, #CHADEMAHai tunatoa salamu za pole kwa familia, ndugu, viongozi na wanachama wote kufuatia msiba mzito wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Mkoa wa Manyara Mhe. Derick Magoma, aliyefariki dunia asubuhi ya leo 09/02/2025 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Tweet media one
0
4
17
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
6 days
RT @ChademaTz: Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Mhe. @HecheJohn atapokelewa nyumbani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuchaguliwa Januari 21,…
0
49
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
6 days
RT @ChademaTz: Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. @TunduALissu atapokelewa nyumbani Ikungi, Mkoa wa Singida baada ya kuchaguliwa Januari 21,…
0
70
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
7 days
RT @ChademaHai: Hii ndio misingi ya CHADEMA ambayo Kila mwanachama anatakiwa kuishika. #SeraZaChadema
0
57
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
7 days
RT @ChademaTz: Wenyeviti wa Kanda wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Chama baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoke…
0
81
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
7 days
RT @ChademaTz: Viongozi wa Mabaraza ya Chama (Bavicha, Bawacha na Bazecha) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Chama baada y…
0
70
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
7 days
RT @ChademaTz: Matukio katika picha kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #Stronge
0
67
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
8 days
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #StrongerTogether
Tweet media one
0
6
25
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
8 days
Hii ndio misingi ya CHADEMA ambayo Kila mwanachama anatakiwa kuishika. #SeraZaChadema
3
57
262
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
12 days
RT @KumbushoDawson: What a moment!!! Nimepata fursa ya kukutana na Mwenyekiti wa awamu ya tatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADE…
0
42
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
12 days
RT @WisemanNtele: "Wananchi wana njaa, kwasababu ya uongozi mbovu wa ccm unaopora mali za Nchi na nyingine kugawia wageni… Kila kona wizi…
0
9
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
13 days
#StrongerTogether #NoReformsNoElection Leo tarehe 30 Januari 2025 Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu amekutana na viongozi wa Bawacha kutoka Kanda ya Pwani Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
0
8
31
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
13 days
RT @ChademaTz: Leo tarehe 30 Januari 2025 Mwenyekiti wa Chama Taifa Wakili @TunduALissu ataongoza jopo la Mawakili wa upande wa utetezi kum…
0
58
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
14 days
"Kiporo tulichonacho ni kumshitaki Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi CP Awadhi Juma Haji kwa matukio ya kupigwa na kuumizwa kwa viongozi Mbeya, niutaarifu tu umma tayari kesi ile imekwisha andaliwa bado tu kuingizwa mahakamani" @jjmnyika
1
7
17
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
14 days
"Kuna wizi wa kutisha kwenye nchi hii, katika hatua zinazofuata tutafumua mambo yanayotendeka." Mhe. @HecheJohn #StrongerTogether
0
7
27
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
14 days
"Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi." Mhe. @TunduALissu #StrongerTogether
1
12
36
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
15 days
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
Tweet media two
0
4
25
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
15 days
RT @WisemanNtele: Taarifa kwa Umma
Tweet media one
0
15
0
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
16 days
Jeshi la Polisi limepaki gari nje ya lango la Makao Makuu ya Chama. Waandishi wa Habari wanaofika kwenye press conference ya Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika wanafukuzwa na Jeshi la Polisi. Press hiyo ilipangwa kufanyika leo saa tano Asubuhi #StrongerTogether
0
7
20
@ChademaHai
CHADEMA Jimbo la Hai
16 days
Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar Es salaam. Hii ni muda mchache kabla ya kuanza kwa press conference ya Katibu Mkuu wa Chama, saa tano asubuhi. #StrongerTogether
Tweet media one
0
12
28