AzamPesa Profile Banner
AzamPesa Profile
AzamPesa

@AzamPesa

Followers
5K
Following
3K
Statuses
4K

Tuma pesa BURE AzamPesa kwenda Azampesa Makato ni madogo mno kwa miamala mingine. Okoa hadi 10% Pakua App ufurahie unafuu wa AzamPesa https://t.co/N1ivy8Vm5u

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AzamPesa
AzamPesa
2 months
Kwa maswali yoyote ya AzamPesa tupigie 0800 785 555 bure tutakujibu. Kujisajili Huduma zetu Umekwama mahali AzamPesa Unahitaji taarifa zaidi TUPIGIE! Jiokoe na makato makubwa ukifanya miamala na AzamPesa. #AzamPesa
7
2
11
@AzamPesa
AzamPesa
22 hours
@pixel0174415359 Bofya link hii kupakua App ya Azampesa ujisajili mwenyewe
0
0
2
@AzamPesa
AzamPesa
22 hours
Jiokoe na Azampesa kwa kutuma pesa kwa unafuu zaidi kwenda mitandao mingine. Kujiokoa muhimu, tumia Azampesa sasa #jiokoenazampesa #uhuruniwako
0
0
2
@AzamPesa
AzamPesa
2 days
@YusphH 🤣🤣🤣
0
0
0
@AzamPesa
AzamPesa
2 days
@tibyabo56308 Mambo yasiwe mengi. Mzawadie
0
0
0
@AzamPesa
AzamPesa
2 days
@BrightonEm2001 Saa saba mchana Hermano
0
0
1
@AzamPesa
AzamPesa
2 days
UNAFUU MPAKA BASI! Fanya miamala kwa unafuu zaidi ukiwa na Azampesa, Tuma pesa BURE Azampesa kwenda Azampesa na kwa unafuu zaidi utaweza kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine pamoja na kufanya miamala mingine yote kwa unafuu zaidi. Makato yanachosha, Hamia Azampesa sasa! #jiokoenazampesa #uhuruniwako
Tweet media one
0
1
6
@AzamPesa
AzamPesa
2 days
@stillbless08 Wote mnaruhusiwa kufika, karibu sana.
0
0
0
@AzamPesa
AzamPesa
3 days
@OllomyJustine Habari Justine Tunao wengi. *Machinga Complex* Rashid Mkanza Fatma Eva *Barabara ya 6* Kazimoto *Sango* Chami *Majengo* Jonas Aman *Nyerere Square* Sospeter Kongola
0
0
0
@AzamPesa
AzamPesa
4 days
Mtaa kwa mtaa! Azampesa tunawasogezea huduma mtaani kwenu, Tunafika kuwaelimisha kuhusu huduma zetu, kuwasajili na kuwaacha mkifurahia huduma bora kwa Gharama nafuu zaidi unapofanya muamala wowote. Ukituona mtaani kwako tuulize chochote kuhusu Azampesa tutakusaidia papohapo. #azampesa #tupomtaani
0
4
8
@AzamPesa
AzamPesa
4 days
Mtaa kwa mtaa! Azampesa tunawasogezea huduma mtaani kwenu, Tunafika kuwaelimisha kuhusu huduma zetu, kuwasajili na kuwaacha mkifurahia huduma bora kwa Gharama nafuu zaidi unapofanya muamala wowote. Ukituona mtaani kwako tuulize chochote kuhusu Azampesa tutakusaidia papohapo. #azampesa #tupomtaani
0
3
8
@AzamPesa
AzamPesa
4 days
RT @AzamPesa: Wazo La Leo. Kutuma Pesa ni Bureee.
Tweet media one
0
29
0
@AzamPesa
AzamPesa
5 days
RT @ahmadfirask: Last month I posted on our salary advance scheme: No interest No cost to the employer No cost to the employee Now you se…
0
4
0
@AzamPesa
AzamPesa
5 days
@INFLUENCERjr @chapo255 KWA KUTUMIA USSD 1.Piga *150*08# 2.Chagua namba 4 Lipia bili 3.Chagua 1 LUKU/Umeme 4.Chagua 1 Kununua Luku 5.Weka kiasi 6.Ingiza namba ya mita 7.Hakiki taarifa kisha thibitisha muamala"
0
0
1
@AzamPesa
AzamPesa
5 days
@INFLUENCERjr @chapo255 KWA KUTUMIA USSD 1. Piga *150*08# 2. Chagua 4 (Lipia Bili) 3. Chagua 7 (Bili za Maji) 4. Chagua 1. (Dawasco) au 2. (E- water) 5. Ingiza namba ya malipo 6. Hakiki malipo, kisha ingiza kiasi 7. Ingiza namba ya siri (Tuma) 8. Muamala wako umekamilika "
0
0
1
@AzamPesa
AzamPesa
5 days
LIPA KWA UNAFUU! Ukiwa viunga vya Forodhani Zanzibar pata huduma ya kulipa kwa unafuu kwa Lipa namba ya Azampesa. Kutana na mmoja wa wafanyabiashara wenye lipa namba ya Azampesa Mr.Fadhili Shawarma, anafurahia malipo kidijitali kutoka kwa wateja wake. #azampesa #lipakwaazampesa
0
1
6
@AzamPesa
AzamPesa
5 days
@cont_aquatics1 @CarolNdosi Huduma Bora na haraka zaidi!
1
1
2