![Blessed Trice✝️🙏 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1858461118366183424/wDCKceke_x96.jpg)
Blessed Trice✝️🙏
@trice_blessed
Followers
7K
Following
36K
Statuses
33K
really eyes realize really lies 📌 without God i’am nothing,God forever grateful for me ,pray each day,let God light,stay positive, stay humble ❤️🙏🤎
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
@_edy03 Nilisema hicho hapa😹👇
@Ugeniaconso Hii kitu kwa wanawake haina anaetafuta au anaeomba nakuhakikishia wanawake kama neema ya Mungu haijakutembelea akawa na hofu ya Mungu haijalishi anapesa au hana pesa akiamua kuyaharibu maisha ya mwanaume ni dakika O tu hapa nikuomba tu wanaume Mungu awape wanawake sahihi basi🙏
1
0
0
@_edy03 Ila hata najua moyoni unasema mmmh🌚ukiona ako na unyenyekevu na ako na pesa basi ujue hiyo pesa kwa aslimi 90% ni ya mwanaume👏ila 💯 iwe yake weeee😹🤦♀️
1
0
1
@Ugeniaconso Ukiona anaunyenyeki ujue hiyo pesa kwa asilimia kubwa umetokana na huyo mwanaume 😹
0
0
0
@Ugeniaconso Tena hao watafutaji kwa sasa ndo hawafai kabisa nakwambiaje omba Mungu akupe mtu mwenye hofu ya Mungu ndani yake nje ya hapo ni mateso tumwanamke anaweza akawa anaingiza 1m week na mume wake anaingiza chini yake na anatoa kila kitu kwa mke wake ila week moja tu akikosa 💔🥹🤦♀️
0
0
1