![Tanzania Meteorological Authority Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1646472504503050240/SZibp37H_x96.jpg)
Tanzania Meteorological Authority
@tma_services
Followers
37K
Following
785
Statuses
30K
Tanzania Meteorological Authority is the designated National Met Authority with the task of providing and regulating weather and climate services
Tanzania
Joined October 2012
HALI YA JOTO NCHINI. Dar es Salaam, 12 Februari, 2025: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya hali la joto katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa taarifa zaidi tembelea: @changa601 @WizarayaUC @TZWaziriMkuu @ortamisemitz
0
1
5