![π‘ π π π π π’π¦ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1778170072910995456/svsce8TG_x96.jpg)
π‘ π π π π π’π¦
@rivaldomhagama
Followers
3K
Following
42K
Statuses
27K
Wanderlust | Tech Trends | Enviromentalist | Pharma Industry | Co-Founder @86_dealers | Afrocentric.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2013
@fumbokhanJr Azam ni club ndogo fan base ndogo,viongozi wadogo, sifa ya timu ndogo ni kukamia game kubwa akikutana na underdog wenzake anacheza kama wao
0
0
2
@iamthatfemale Ni policy tu za utalii nchini ilatukisema tutangaze tourist destinations ni nyingi sana, pia kushinda kwa SENAPA na KINAPA kama best tourist destination kwa miaka 10 ya hivi karibini kunatuacha tusijibrand sana
0
0
0