Aziz mwatika Profile
Aziz mwatika

@mwatikaoo1

Followers
290
Following
1K
Statuses
2K

Teacher, medical attendant and self employed. Likes literally works,Music and Football⚽️🎧📚

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
2 days
Nimemiss kufundisha nakumbuka last time niilishia kweny📚📚 " passed like a shadow" 😴😴😴
0
1
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
Yanga kuna mchezaji bishoo kumshinda musonda📷⚽️
Tweet media one
1
2
4
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
@nyuki_malkia Siku nyinge nauli tu mdada anatulea mungu tu
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
@BinHassan65370 We acha kujibu uachwe🤣🤣🤣
1
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
@ElimikaWikiendi 1. Tuache kuisifia serikali. Kupongeza sio dhambi ila kusifia kuonesha kua wako sahih kila kitu inatutesa vijana. 2. Tupaze sauti kwa kuonesha changamoto zinazotukabir 3. Kama serikal inavotoa mikopo kwa watumish itoe mikopo kwa vijana kupitia serikali kuu sio halmashaur
0
0
1
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
Familia zinataka tuajiriwe serikali inataka tujiajir mchuano ni mkali watanguliz wawil wanatuchanganya
Tweet media one
0
0
2
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
1
0
3
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
Mpaka leo nimeamini hakuna mchezaj wa yanga anaeweza pata namba pale lunyasi
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
@ed_INSTRUCTION @Deo18Tarimo Ayaaa tengeneza gari langu mnipe mi ata sina shida na ela zenu apo sura imebqdilika si unajua nguvu ya hela tena
2
0
2
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
@singidabssc Mwambie baba enu apige simu
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
15 hours
Maskini wenzangu amani mnaitoaga wapi?
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@Mwabuk2Boniface Xhida ya taifa hili ata wanaojua kusoma wengi wao wanatatizo la kukosa uelewa. Na hawa ndo wale walikua wanapata alama1 au 0 kati ya alama 5 za ufahamu ...........✍️
0
0
1
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@Dr_DGwajima Wew ndio mama angu mimi husifiw ila unaonesha hatua unazopiga. Mungu akubarik sanaa. Kwa pamoja tupinge ukatili🤝🇹🇿
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@Mwabuk2Boniface Exactly.......✍️
0
0
1
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@BinHassan65370 Yeah wapo
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
RT @fumbokhanJr: Jana nilisema hamisa kachumbiwa watu wakazani utani, kishika Uchumba Azizi Ki kambiwa 30M kalipa kwanza 15M. https://t.co/…
0
17
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@BinHassan65370 Ongea likutoke
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@BinHassan65370 Nawatafutia ela afu mnanicheleweshea kula nikawa nafunga pharmacy yenu natafuta pesa zangu😞
0
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@eastafricatv @Blessing_teba 1. Exposure 2. Knowledges 3. Temporary jobs
0
0
1
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@BinHassan65370 No risk no gain
1
0
0
@mwatikaoo1
Aziz mwatika
16 hours
@BinHassan65370 Nikua nakula bata pharmacy wadogo zangu mnakula msosi home nikajikuta nakua baba wa familia gafla tu
1
0
0