mtia_moyo Profile Banner
MTIA MOYO 👑 Profile
MTIA MOYO 👑

@mtia_moyo

Followers
14K
Following
13K
Statuses
12K

Health Consultant || Afya ya Mwanaume || Counselor | Medical Lab. | | Contact: +255 745 623 293.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
1 year
TRUE STORY 🥺🙌 Miaka 10 iliyopita nikiwa napitia kipindi Cha balehe, niliambiwa punyeto haina madhara, na niliingia Google kusearch faida za Punyeto tu.... Gues What!!!? Sikutafuta madhara ya kupiga punyeto kwasababu nilijua kama ningezifahamu basi ingenilazimu kuacha kupiga punyeto! What a life? 😃 To make story short! Miaka 5 ya Punyeto ikanifunza wanaume wengi wanaoisifia na kuitetea punyeto wameshaathiriwa nayo, na wana waponza vijana wengine kuingia kwenye uraibu huo! Nami kweli sikuona athari kwa miaka 5+ ila mwaka 6 wa punyeto while approaching 19yrs ndipo nilianza kupitia dhahama ya hili jambo. Sababu ya kuanza Punyeto ilikuwa nikiwa kidato Cha 2 nilipata Chunusi Kali usoni (ziliniharibu sana) nilihangaika sana, watu wakaniambia vitu vingi, moja wapo walisema nijipake manii (Semen) au shahawa zangu usoni kwa siku mara 2, na nikafundishwa namna ya kuzipata (punyeto). Miezi 7 nilipona Chunusi lakini sikujua kilichonisaidia kupona maana nilikuwa Nimeshafanya mengine sana ili nipone (sijui kama ndio suluhisho) Licha ya kupona nilikuwa tayari nipo addicted (Raha ya Punyeto) nikaendelea kwa hiari yangu kwa miaka kadhaa niliambiwa haina madhara kabisa, na kwamba hautapata U.T.I na HIV 😃🙌 Ndiposa 5yrs baadaye nakuja kujua madhara kwa kuyaona mwenyewe, haikuwa rahisi kuyapokea, uvivu mwingi, nilipenda kulala mchana, nilisahau sahau Mambo, kwenye performance sikujua kwasababu sikumjua mwanamke bado! Mwaka wa 6 ndipo nilikutana na mwanamke na kujionea nilivyomdhaifu 🥺 ilikuwa aibu ya Mwaka, mwanamke hakusema kitu lakini ilinichoma mno! Nilikataa tamaa, nilimwambia Mama sidhani kama kuoa ni lazima, ama nitaoa ila Mke achague mwamba wa kumridhisha those were my options! Ilinilazimu kukaa single 3yrs nikitafuta suluhisho, wengi walinitapeli, unatuma Pesa unakula block, Kila kulipokucha ni Maumivu na wasiwasi, hata Wana wakisimulia utamu wa wanawake naduwaa tu na kuogopa! I'm a girl's Favorite (kipenzi Cha wanawake) ila niliishia kuwazoom na kuwaacha kwasababu ya kuogopa aibu (show mbovu). Baadaye mwaka wa 4 toka niache Punyeto nilifanikiwa kulipata Suluhisho, nilimsikiliza Health Consultant vizuri na nikamuamini, Bei ya Program yake ilikuwa juu mno, nilihofia lakini nilipambana (nilikopa na kiazimia kwa watu) nilipoipata nikapewa program yangu. Niliitumia mwezi 1, chini ya muongozo wake nikaimaliza, then nikapata mwanamke, what a comeback 🙌🥺 ndipo nilijua how sex it's kwa mara ya kwanza, was very fine as well, No wonder Wanaume wanakuchapa risasi ukipita na mkewe. aliposema niendelee Phase II nilikosa Pesa ila improvement yangu ilikuwa ya juu sana. Nilipona, miaka kadhaa Sasa, I'm fine, sijawahi na sitaki Tena Masterbation, siangalii Pornography iwe XXX videos au Picha za nusu uchi! Kama nikipewa nafasi na Mungu nirudi utotoni nichague kosa moja tu nilisahihishe basi ni Kufanya masterbation (ule upele ningetafuta njia nyingine ya kupambana nao) but it's life and I'm Good now! 💪 Nilichagua kuwa balozi kwa Vijana na wanaume wenzangu kwa kutoa Elimu na kuwasaidia kutoka huko! My Take! Kama umeshapitia kupiga punyeto na Umeona madhara yake usikate tamaa huo sio mwisho, unaweza kupona, pata mtu sahihi wa kukuhudumia maana utapeli ni mkubwa sana hapa! Mungu akusaidie ufanikiwe kupona, usiingie 2024 ukiwa mdhaifu, amua Sasa kupona ili ushiriki tendo ukiwa rijali! Women needs sexual satisfication rather than how they want Money. Stay blessed you're Gentleman!! Retweet || Share || Comment. Follow @mtia_moyo for more sexual hints.
Tweet media one
56
67
390
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
12 days
MEN PROTECT YOUR SPERMS 1. Unapomaliza BAO (Ejaculate) ni wakati utagundua ulikuwa unafanya ngono na msichana mbaya. 2. Utagundua kuwa haumpendi ilikuwa hamu ya ngono ambayo ilikufanya ufikirie unampenda. 3. Utagundua kuwa una ndoto za kufukuza na ni muhimu zaidi kuliko ngono
2
3
43
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
15 days
Makosa makubwa kumtumia MTU KATI kuwasiliana na Umpendaye. Ulimuagiza akufanyie Connection amemaliza kazi muweke pembeni, Songesha penzi mwenyewe. Kama mwanzo kukuambia tabia halisi za Mtu huyo hawezi kusaidia Penzi lako lisianguke leo. Achana na MTU KATI, unachezewa mchezo.
0
1
26
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
15 days
JERAHA linalokutesa ni juhudi ulizotumia kujenga Penzi leo limebomoka. Uliwekeza muda mwingi, ndoto na mipango ya kufunga Ndoa vyote vimeyoyoma 💔 Ni Msaliti kwa tamaa za muda mfupi amebomoa penzi lenu. Mpenzi amekatisha safari kikawaida na wala hajali hali yako.
1
4
25
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
15 days
Uvumilivu si jibu la Upendo wa dhati, Tatizo lako si Moyo wa Uvumilivu kwenye Penzi lako. Unajua unachovumilia? 🤔 Kuna mstari mdogo kati ya Uvumilivu na kupoteza Muda, unatumika kwa faida ya mtu. Ukijiangalia mwaka wa 3 au 4 sasa hakuna kinachoeleweka, bado umekazana tu. ✍️
1
4
29
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
16 days
FAVOURED WOMAN 2️⃣0️⃣2️⃣5️⃣ Kabla Mwanaume haujaamua kuhusu uelekeo wa hatima yako hakikisha umeshajifahamu. Usikubali kuandamana na Mwanaume asiye na hatima unayoweza kuipa support mpaka mwisho wa uhai. Usiache Mwanaume aliyekutongoza aamue wewe upite wapi, uishije na kufaje.
1
0
23
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
16 days
Kuna kipindi kigumu unapitia kwenye Mapenzi mpaka unakonda 💔 Una mfollow kila Mshauri, kila mchungaji, kila Shekhe na watangazaji wa redio Kama unapitia kipindi hiki tuliza kichwa, usiongee na kila mtu, chagua kwa umakini. Si kila mshauri anakufaa, unaweza kupoteza zaidi 😔
0
5
41
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
16 days
0
0
1
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
19 days
Tatizo lako unaongea sana kama redio, unabwatuka kama mlevi, Unaropokwa, unajimaliza kwa kigezo cha hasira. 😠 Umeshapoteza heshima, hauna nguvu ya ushawishi, kila siku kuomba radhi kwa maneno unayoropoka. Kuongea sana kuna kugharimu wewe na heshima yako imeshuka.
2
8
29
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
24 days
G E N T L E M E N - T E C H N I Q U E Unapopata Rafiki wa KIKE. Miezi 3 ya kwanza epuka kumuita majina ya Boss, Dada, Madame, muite Jina lake Rehema, Anna nk. Epuka majina ya kimapenzi (My, Dear, Love) muite Rafiki au Jina lake. Majina unayomuita yataamua muishie wapi!!
1
5
36
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
24 days
@charlesmalekel2 Tumia pesa yako ya ziada na ni miezi 3 - 6 tu inatosha
0
0
1
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
26 days
@JeffArosha Sawa sawa
0
0
0
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
27 days
@ms_tebbe Haha 😄
0
0
0
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
27 days
Kidhani haustahili kukemewe hicho ni KIBURI. Kuwakataa wengi dhidi ya uamuzi wako uliosahihi - ni Msimamo Kupinga kawaida ya jamii yako kinyume na sifa zako - KIBURI Kudhani kutopangiwa majukumu na Mwanaume ndiyo Ushindi - kiburi Kuna Mstari mdogo kati ya Msimamo na Kiburi
0
6
20
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
28 days
FAVOURED WOMAN 2️⃣ 0️⃣ 2️⃣ 5️⃣ MWANAMKE never Act Superficial kwa Mwanaume aliyekutongoza. Usimfundishe kuwa GENTLEMAN, Usimpe mtaji ukamfundisha na uwekezaji.🚮 Usiwekeze kwenye kumtengeneza Mwanaume wa KUKUOA, you're lost. Usimsimamie kutimiza ndoto Usimhimize kuwa GENTLEMAN
0
2
17
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
28 days
G E N T L E M E N T E C H N I Q U E 1. Kumuoa Single Mother sio Dhambi 2. Usimsimange vibaya 3. Usimuoe kwa kumuonea huruma, ni bora usimuoe ikiwa haujaridhika. 4. Msaidie kujifanyia siku za vicheko usimtoneshe vidonda. 5. Anzia kwa mwanaye kisha yeye💍 ❤️ atakuheshimu maradufu
2
5
31
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
28 days
G E N T L E M E N T E C H N I Q U E Ukimpata MAMA N'TILIE anayekuwekea nyama nyingi 1. Sifia chakula chake baada ya kula 2. Anza tabia ya "Keep change" 3. Mshukuru baada ya kula (Kushukuru ni kuomba tena) 4. Usiwaambie marafiki zako kuhusu hizo nyama, waconnect uteja inatosha.
1
3
34
@mtia_moyo
MTIA MOYO 👑
28 days
RT @AMOU_JERRY: @mtia_moyo Asante kwa maelekezo haya muhimu. Yamejaa busara na yana manufaa mengi kwa kukuza nidhamu na heshima wakati wa i…
0
1
0