![Mikail Kapi Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/888835913316540416/7CewBK99_x96.jpg)
Mikail Kapi
@milkail
Followers
1K
Following
74K
Statuses
26K
A Contender & Novelty Seeker, Take up the gauntlet, Pertinent & Fitting, Meek, Sage n' Casuist, unfazed, non partisan, Modest, Down-to-earth.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2011
RT @Advocate_Jebra: Wakati tunapambana kupata tume huru ya uchaguzi, tunahitaji pia kupata mahakama huru na yenye kutenda haki sio kukandam…
0
68
0
RT @OleMtetezi: Hivi Huyu Mwamba, Shadrack Chaula “Mlimpoteza” Mazima Kwasababu Tu Alichoma Picha Ya Rais? Kwenye Hili Taifa Picha Ya Rais…
0
119
0
RT @JumaAbdukarim: Kila tunapokumbuka maisha yako mdogo wangu @DEUSDEDITHSOKA tunasama na kuanyanyua silaha za mapambano dhidi ya watesi w…
0
49
0
🙏🏿🙏🏿
UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI •Unapoingia Kanisani, chovya maji ya baraka na kusema: "Unitakase Ee Bwana uovu wangu wote, ili nipate kushiriki ibada takatifu: Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina! •Kama Kanisani kuna Ekaristi Takatifu iliyohifadhiwa katika Tabernakulo, piga goti huku ukisali: "Bwana wangu na Mungu wangu". Haya ni maneno aliyotamka Tomaso baada ya kumwona Yesu Mfufuka (Yoh 20:28). •Ukiinuka sali: "Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu" •Nenda mpaka kwenye kiti, piga magoti huku ukitoa nia yako ya kusali Misa siku hiyo, mfano: "Ee Mungu, ninaungana na jeshi la mbinguni, pamoja na Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani. Kwa Sadaka hii ya Misa Takatifu, mponye mama yangu, leta uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani" NB: KILA MISA UNAYOSHIRIKI HAKIKISHA UNA NIA YAKO NA UINGANISHE NA SADAKA HIYO YA MSALABA. USISHIRIKI MISA KAMA MTAZAMAJI BILA KUWA NA NIA YAKO MOYONI. •Endelea na ibada ya Misa na Kushiriki Litrujia kikamilifu. NB: Hakikisha unashiriki kikamilifu kwa kuimba, kuitika kwa sauti, kusimama, kupiga magoti nk kwa uchangamfu. Misa huwa tunashiriki wote kwa pamoja lakini MATUNDA YA MISA kila mmoja anapokea tofauti kulingana na jinsi alivyoshiriki. Kama ni kwa asilimia, basi sio wote huwa tunapata asilimia zinazolingana za neema kwenye Misa. Kuna wanaopata neema nyingi zaidi, wanaopata kidogo nk kulingana na maandalizi ya moyo na ushiriki hai katika kupokea matunda ya adhimisho lenyewe. Kama ni bomba linalotiririsha maji, basi kila mmoja wetu ni mtekaji akiwa na chombo chake. Wingi wa maji (Neema) utakaoingia ndani ya chombo (Roho/moyo) utategemea: 1. Chombo chako kipoje wakati unateka hayo maji 2. Nafasi (kama ndani ya chombo nafasi ni ndogo, ndivyo na maji yatakavyoingia machache. Kama nafasi ni kubwa, ndivyo na maji yatakavyoingia mengi. Kama moyo umejaa hauna nafasi, ndivyo na Neema hazitaingia kabisa kwasababu hazina sehemu ya kuingia) 3. Umekiwekaje bombani ili maji yaingie ndani (hapa sasa ndio USHIRIKI HAI katika adhimisho. Hivyo, tuliza akili na moyo wakati wa Misa, na shiriki kikamilifu Liturujia hatua kwa hatua. Ndiposa kila mmoja anapokea neema za Misa kwa kadiri ya maandalizi aliyofanya na ushiriki anaoonyesha wakati wa adhimisho. NB: Utofauti wa kupokea matunda ya adhimisho la Misa haupo kwa mtoaji (Yesu) bali kwa mpokeaji (Anayeshiriki). Utofauti wa maji tunapoenda bombani kuteka, haupo kwa bomba linalotoa maji, bali kwa aina ya chombo na utayari wa mhusika kuteka maji hayo. Tuendelee •Wakati wa Kupokea Ekaristi (Komunyo) ukikumbuka kuwa una dhambi kubwa (ya mauti), komunika kwa sala ya tamaa. Usithubutu KAMWE kupokea Ekaristi ukiwa na dhambi ya mauti. "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo. Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana. Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa, HULA NA KUNYWA HUKUMU YA NAFSI YAKE, KWA KUTOKUUPAMBANUA ULE MWILI. Kwa sababu hiyo wako WENGI KWENU WALIO HAWAWEZI NA DHAIFU, NA WATU KADHA WA KADHA WAMEKUFA." (1 Kor 11:26-30) Hivyo, usipokee Ekaristi ukiwa na dhambi. Baki upokee kwa tamaa ya moyo. Jisikie wivu Mtakatifu wakati huo, na jitahidi ujitakase kwa kuungama ili adhimisho lingine usikae tena bila kupokea. •Mwisho, wakati wa kuondoka chovya maji ya baraka na ujibariki. Kwa kuwa baada ya adhimisho huwa tunapaswa kwenda kuishi kile tulichoadhimisha, waweza kusali sala ya binafsi "Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu" Hapo unachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya Msalaba "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina" Tumsifu Yesu Kristu. Mungu akubariki.
0
0
0
Ndiyo maana anaitwa YUDA ISKARIOTE, Je umewahi kufuatilia huyu Yuda Iskariote ukoo aliotoka? Akina Simon Petro na Kaka yake Andrea, Yohane Mtume na Kaka yake Yakobo et al Baba zao wanafahamika na wametajwa katika Bible, Je, Yuda Iskariote? Hauoni kuwa Yule alikuwa Satan?
0
0
0
📌📌
ROZARI TAKATIFU MATENDO YA UTUKUFU (Jumatano na Jumapili) 1. Yesu anafufuka. Tumwombe Mungu atujalie kugeuka watakatifu. 2. Yesu anapaa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kwenda mbinguni. 3. Roho Mtakatifu anawashukia Mitume. Tumwombe Mungu atujalie bidii katika dini yetu. 4. Bikira Maria anapalizwa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kufa vizuri. 5. Bikira Maria anawekwa Malkia mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kudumu katika njia njema
0
0
0
Unakuta jitu limeshiba ubwabwa maharage wa kupewa Lumumba kisha linakuja hapa bichwa kubwa kama redio za national, ni redio kubwa betri moja.
Wapuuzi 🚮🚮 dawa yao ni kuwapuuza! Machawa mko VERY DESPERATE! Haya sambazeni kwa nguvu hiyo hiyo mliyosambaza fake news 👊🏽 Alafu watawala wetu bana wajinga sana - hapa utakuta kuna mijitu inalipwa kufyatua fake news kila siku Mnajishushia tu heshima na kuonyesha mmedata! #TutaelewanaTu
0
1
8
RT @MariaSTsehai: Machawa acheni kulia lia Mliitwa chawa na Bi Kizimkazi mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kasema ye ana chawa wake! Nyie ni CHAWA 👊🏽 A…
0
55
0
RT @lifeofmshaba: Uhuru wa kufanya maamuzi ya kisiasa kwa wananchi wenye sifa, ambayo unajumuisha haki ya kuunda chama cha kisiasa, kushiri…
0
6
0