![Ibrahim Nditi Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1818891041312854016/PmW3hTPf_x96.jpg)
Ibrahim Nditi
@kingnumbo
Followers
518
Following
844
Statuses
3K
Politician. Member of Political Group Hizb ut Tahrir. Geopolitical Commentator and Historian. وَمَنْ يُؤْتَ الْحِكْمَةَ فَقَدْ أُوتِيَ خَيْرًا كَثِيرًا ۗ
Indian Ocean regions
Joined August 2022
RT @Hizb_tanzania: TANGAZO LA TRUMP LA KUIPORA GAZA; UMMAH WA KIISLAMU UKO WAPI? Masjid Bab L-Kher, Beit l-Ras Mchochani- Zanzibar Shekh Ab…
0
16
0
@KingPablotz Kwa mujibu wa John Perkins jasusi wa zamani wa Amerika huko Asia amesema USAID, Kampuni za Filamu, Nike na kampuni za ujenzi ni vyombo vya kutimiza mikakati ya kunyonya nchi changa. Mashirika haya huwaingiza mkenge mataifa machanga kuomba mikopo mikubwa ya kinyonyaji.
0
0
0
Amerika ina hofu sana ikiwa sarufu ya BRICKS itatumika na mataifa mengi. Amerika kwa muda mrefu inatawala uchumi wa dunia kwa sababu ya dollar yake. Siku dunia ikiacha kutumia Dolla basi uchumi wa Amerika hauwezi Kuwa sawa na muda huu.
JUST IN: 🇺🇸 President Trump issues warning to BRICS and threatens "100% tariffs" if they attempt to replace the US Dollar. "The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar, while we stand by and watch, is OVER. We are going to require a commitment from these seemingly hostile Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another sucker Nation. There is no chance that BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, or anywhere else, and any Country that tries should say hello to Tariffs, and goodbye to America!"
0
0
1
@CrownMediaTZ Nchi za Afrika zitaendelea kuwa ombaomba milele ikiwa bado wanatukuza mahusiano yao na Mabepari ambao wanawaita washirika wa uchumi. Viongozi wa Afrika hawataki kusema ukweli tu. Wanatamani litokee taifa kubwa ambalo litaweza simama kuwatetea dhidi ya Mabepari.
0
0
1
Nchi za Afrika zitaendelea kuwa ombaomba milele ikiwa bado wanatukuza mahusiano yao na Mabepari ambao wanawaita washirika wa uchumi. Viongozi wa Afrika hawataki kusema ukweli tu. Wanatamani litokee taifa kubwa ambalo litaweza simama kuwatetea dhidi ya Mabepari.
“Wengi wafanyabiashara ndogo ndogo wanakimbia kulipa Kodi, lipa Kodi kwa nchi yako wajibika kwa Serikali yako na kwa kufanya hivyo unailinda nchi yako na kuwa omba omba na kuinusuru nchi yako na Mikopo”, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
0
0
3
I wish the downfall of America and western Empires in every area.
🚨🇨🇳🇺🇸 BREAKING: CHINA HAS DEFEATED AMERICA 🇨🇳 DeepSeeak BEATS OpenAI 🇺🇸 🇨🇳 BYD BEATS Tesla 🇺🇸 🇨🇳 Huawei BEATS Apple 🇺🇸 🇨🇳 Huawei BEATS US Telecoms 🇺🇸 🇨🇳 Alibaba BEATS Amazon 🇺🇸 🇨🇳 CATL BEATS US lithium-ions 🇺🇸 🇨🇳 TikTok BEATS Instagram 🇺🇸 🇨🇳 DJI BEATS all US drones 🇺🇸 🇨🇳 Temu/Shein BEAT US ecomm 🇺🇸 🇨🇳 BRI BEAT Build Back Better World 🇺🇸 🇨🇳 China is also BEATING the US in infrastructure, high speed rail, healthcare, education, space technology, manufacturing, defense technology, gold production, energy, housing affordability & annual GDP PPP.
0
0
0
@mwalukon @millardayo Wewe ndio unatakiwa kurudi nyuma. Unakuwa kama hujui ngoma ya siasa za kidemokrasia inavyochezwa? Kwani umesahau jinsi vyama vya upinzani vilivyokataa Tamisemi kusimamia uchaguzi!? Nini kilifanyika hata baada ya kupeleka shauri mahakamani?
0
0
0
@millardayo Hakuna mwanasiasa wa kidemokrasia anaeamini katika uchaguzi huru na haki ndio utamfanya ashinde dola. Manuva ndio mtindo wa siasa hizi. Usipochanga karata vizuri huna kitu. Yale mambo ya Uchaguzi huru na haki yapo katika vitabu tu ila huku kwenye uhalisia ni dirty work tu
0
1
3
RT @Phbhimself: Mpaka leo operation hii ni moja ya operation iliyofanywa na majeshi ya nchi za Afrika yenye kuheshimika sana, pamoja na mam…
0
28
0
RT @Phbhimself: Mnamo mwezi september 1998, Makomandoo wa kitutsi (Rwanda, UG na Burundi) walivamia Eneo la Zombo de maquela huko Angola am…
0
17
0