![SiasaZetu Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1795404303932293120/BN38KSw6_x96.jpg)
SiasaZetu
@ZetuSiasa
Followers
3K
Following
427
Statuses
641
Jukwaa Linalojadili Maendeleo, Siasa, Diplomasia na Yanayojiri nchini Tanzania. #SiasaZetu
Tanzania
Joined April 2024
#SiasaZetuTakeOver ni jukwaa ambapo tunawaleta wataalamu mbalimbali kutupa maarifa, ushauri, na vidokezo muhimu kuhusu masuala ya siasa na maendeleo. Kupitia hashtag hi, utaweza kujifunza mambo usiyoyajua na kupata ufahamu zaidi kuhusu uchaguzi, sera, na kanuni zinazotawala. Leo saa 12 kamili jioni, tunaye @thomasjkibwana akitupa nondo 10 kali kuhusu Siasa, Uchaguzi na Kanuni zake. Usikose! #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
1
7
26
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Julius Kambarage Nyerere . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
5
23
50
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
2
4
13
Kama hukupata fursa ya kufuatilia mjadala kuhusu athari za mgogoro unaoendelea DRC katika ukanda wa Afrika Mashariki na Tanzania, sikiliza hapa upate muhtasari wa historia yake, maazimio ya mkutano wa dharura wa EAC na SADC ulipfanyika Dar es Salaam Terehe 8/02/2025, na mafunzo muhimu kutoka kwenye mjadala huo. Karibu tena, na hii ni #SiasaZetu
0
2
3
Mgogoro wa DRC unasababisha ongezeko la changamoto za uchumi katika Afrika Mashariki. Jiunge nasi Leo katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kwa mjadala wa X-spaces kuhusu ATHARI ZA MGOGORO WA DRC KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI,Tukiwa pamoja na wazungumzaji wetu π[08/2/2025] β°[18:00-20:00] #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
3
8
10
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
0
7
13
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe Freeman Aikaeli Mbowe. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
4
21
73
Kama ulipitwa na X-space ya Jumamosi ya 11Januari 2025 haya ni machache yaliyokuwa yakijadiliwa na waongoza mada Thomas Kibwana na Najjat Omar ,kuhusu Ukomo Wa Madaraka na Mustakabali wa Taifa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
0
4
4
Mgogoro wa DRC unasababisha ongezeko la changamoto za uchumi katika Afrika Mashariki. Jiunge nasi siku ya jumamosi katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kwa mjadala wa X-spaces kuhusu ATHARI ZA MGOGORO WA DRC KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI,Tukiwa pamoja na wazungumzaji wetu π[08/2/2025] β°[18:00-20:00] #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
3
10
18
Jiunge nasi jumamosi hii katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kwa mjadala kuhusu βATHARI ZA MGOGORO WA DRC KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI.Tukiwa pamoja na waendesha mada @thomasjkibwana & @NajjatOmar π[08/2/2025] β°[18:00-20:00] #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
0
4
6
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Seif Sharif Hamad . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
5
24
47
Uongozi si cheo, bali ni dhamira ya kutumikia wengine kwa uadilifu na upendo. Episode ya 10 inayohusu Nafasi Ya Mwananchi Katika Siasa ,ipo hewani unaweza tazama kupitia channel yetu ya YouTube π #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
1
3
10
Uhuru wa kupata taarifa ni msingi wa jamii iliyo huru na yenye uwazi. Episode ya 10 inayohusu Nafasi Ya Mwananchi Katika Siasa ,ipo hewani unaweza tazama kupitia channel yetu ya YouTube π #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
2
9
13
Je, unafahamu haki na wajibu wako katika ujenzi wa taifa? Episode ya 10 inayohusu Nafasi Ya Mwananchi Katika Siasa ,ipo hewani unaweza tazama kupitia channel yetu ya YouTube π #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
2
4
8
Episode ya 10 inayohusu Nafasi Ya Mwananchi Katika Siasa ,ipo hewani unaweza kutazama kupitia channel yetu ya YouTube π #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
1
9
9
Je upo tayari kwa mjadala mwingine? Episode ya 10: NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA. Leo tunakuletea episode maalum kuhusu nafasi muhimu ya mwananchi katika siasa! Humu kuna mijadala mbali mbali kuhusu ushiriki wa mwananchi kwenye uchaguzi, mijadala ya kisiasa, na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali. Usikose! Tazama kupitia YouTube yetu. π πIjumaa , 31 januari 2025 β°Muda : Saa 10:00 jioni #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
0
6
7