Tanzania Embassy | China Profile Banner
Tanzania Embassy | China Profile
Tanzania Embassy | China

@UbaloziChina

Followers
26,584
Following
576
Media
1,844
Statuses
3,896

The official account of The Embassy of Tanzania to China.

Beijing, China
Joined December 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Fursa ya Kuuza Muhogo Mkavu katika soko la China (tani 500 kila mwezi) kwa miezi sita. Mwenye nia na uwezo wa kufanya biashara hiyo anaweza kuwasiliana na Ubalozi kwa njia ya barua pepe: beijing @nje .go.tz
Tweet media one
52
315
1K
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
2020年6月24日,坦桑尼亚阿鲁沙名叫莱泽(52岁)的小矿主挖掘出两颗分别重达8公斤和5公斤巨型坦桑蓝。莱泽已经从事坦桑蓝宝石开采20年,他的耐心和坚持终于换来了丰硕的回报,这是自坦桑蓝开采以来发现的最大的坦桑蓝原石。坦桑尼亚是全世界坦桑蓝的唯一产地。大家熟悉的好莱坞影片泰坦尼克号中,迪卡
Tweet media one
Tweet media two
159
100
991
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Wilderbeast walking along the Lioness at Serengeti National Park in Tanzania. This is possible when maternal instinct overides predatory instincts @TTBTanzania
48
239
743
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe Xi Jinping Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Taarifa ya hiyo imetolewa leo na Wizara ya Mambo ya Nje wa China.
Tweet media one
Tweet media two
45
107
645
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WATANZANIA WANAOSOMA KATIKA VYUO VIKUU NCHINI CHINA
18
170
539
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Kampuni ya kununua mazao kutoka Jimbo la Jiangsu inahitaji kununua tani 10,000 za ufuta kutoka Tanzania. Endapo kuna yoyote mwenye kiasi kinachotakiwa awasiliane na Ubalozi kupitia barua pepe: beijing @nje .go.tz kabla ya tarehe 20 Novemba 2018
Tweet media one
31
209
480
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
8 months
Fursa ya Ufadhili (Scholarships) wa Masomo ya Elimu ya Juu Kuanzia Shahada ya Kwanza (Bachelors), Shahada ya Uzamili (Masters) na Shahada ya Uzamivu (PhD)! Ufadhili unahusisha kulipiwa ada yote (full tuition fee), kulipiwa bima ya afya (health insurance), malazi (accommodation)
Tweet media one
27
202
466
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Kituo cha Television cha Hainan nchini China kimeingia makubaliano na Ubalozi wa Tanzania Beijing kutengeneza kipindi maalum cha kutangaza bidhaa za Tanzania, utamaduni, vyakula na utalii katika soko la China Kipindi hicho kitatengenezwa Mwezi Julai na kurushwa mwezi Novemba 2019
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
30
60
382
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Bi Maryam Salim Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Albania na Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Dk.Salim Ahmed Salim amewasili Beijing leo kushiriki katika hafla ya kupokea Nishani ya Urafiki ya Jamhuri ya Watu wa China kwa niaba ya Dk.Salim.Hafla hiyo itafanyika jumapili tar29
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
57
339
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
TANZANITE na Kahawa ya Tanzania kutangazwa nchini China kupitia kituo cha Television cha Hainan siku ya alhamisi tarehe 13 Agosti 2020. Kuanzia jana Kituo hicho kimeanza kurusha matangazo ya vivutio vya utalii vya TZ katika tovuti
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
68
335
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe Xi Jinping amtunuku Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Dk. Salim Ahmed Salim Nishani ya Juu ya Urafiki katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Great Hall of the People. Bi Maryam Salim- amepokea Nishani kwa niaba ya Dk. Salim
6
89
294
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Maonesho ya 2020 Guangdong 21st Century Maritime Silk Road International Expo yafunguliwa leo jijini Guangzhou. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki katika maonesho hayo
Tweet media one
3
38
294
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
UJUMBE KWA WATANZANIA WANAOFANYA BIASHARA NA MAKAMPUNI YA CHINA
9
73
291
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Serikali ya Mji wa Beijing imetangaza kwamba kuanzia leo tarehe 16 Machi 2020 abiria wote watakaoingia Beijing kutoka nje ya nchi watalazimika kuwekwa chini ya uangalizi kwa siku 14 (Quarantine) katika maeneo Maalum yaliyotengwa na Serikali kwa gharama za mgeni husika.
Tweet media one
10
55
283
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
1 year
Kampuni ya kuzalisha mabasi ya @YutongGlobal ya nchini China kuzindua karakana yake jijini Dar es salaam ili kutoa huduma kwa ufanisi kwa wateja wao wenye mabasi ya Yutong katika nchi za Afrika Mashariki.  Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika mkutano wa Balozi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
45
287
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Mtanzania Ruth Lukwaro wa Kampuni ya NANO FILTER ashinda tuzo ya ubunifu wa teknolojia ya kuzalisha maji safi na salama katika mkutano wa "Africa Netprenuer Conference" uliofanyika leo Accra, Ghana. Mtanzania huyo amezawadiwa cheti na usd 100,000 na Rais wa Ghana Mhe Nana Addo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
19
87
273
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Vijana wa Kitanzania Amos Benjamin na Otaigo Elisha wamepata tuzo ya ubunifu wa teknolojia ya ufugaji wa samaki inayopunguza gharama ya chakula cha samaki kwa zaidi ya 30% na kumuongezea mkulima wa samaki faida zaidi.Tuzo hiyo imetolewa Hong Kong na UNLeash Innovation Lab ya UN
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
73
258
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
"I am delighted to inform you that the Government of Tanzania will open a Consulate General in the City of Guangzhou next month. It will be the first port of call to enterprises from Guangzhou, Shenzen, Foshan, Huizhou, Jiangmen, Shunde, Taishan, Zhongshan, and Zhuhai" @MbelwaK
10
80
257
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Balozi Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen @foreigntanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
30
235
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Mwalimu Nyerere is a well-known torch-bearer of the African National Liberation Movement, as well as one of the founders of the historical friendship between China and Tanzania. Mwalimu Nyerere visited China 13 times and is the most respected African leader in China- Wang Ke
5
67
231
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Katika kudhibiti kuenea kwa COVID19- kuanzia tarehe 28/3/2020 Serikali ya China imesitisha VISA zote za kuingia nchini China na Hati za Ukazi (residence permit). Watanzania wenye VISA na wanafunzi wenye hati za ukazi wasitishe mipango ya kurejea China hadi itakapotangazwa tena.
Tweet media one
10
57
220
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Tukio la kutangaza TANZANITE na Kahawa ya Tanzania kupitia kituo cha Television cha Hainan kufanyika leo kuanzia saa mbili usiku (saa za China)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
38
212
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
We have lost a great son of the soil.He was an exceptional human being,open minded,talk less& listen more.Always looking for new ideas&solutions.He had with him the art & science of making things happen.Our thoughts and prayers goes to his family,CloudsMedia. RIP Ruge Mutahaba.
Tweet media one
4
42
205
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Kipindi Maalum cha Kutangaza bidhaa za Tanzania katika soko la China kimerushwa leo mubashara na kituo cha Hainan Television na kufuatiliwa na watazamaji milioni 15. Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki alitambulisha madini ya TANZANITE na Kahawa ya Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
44
203
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Henan Sron Silo Engineering Ltd Ndugu WEN Peng. Kampuni hiyo iliyobobea katika uvumbuzi, utafiti na uhandisi wa teknolojia ya ujenzi wa Vihenge (Silos) ipo mbioni kufungua tawi nchini Tanzania
Tweet media one
9
35
199
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Taarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda China
Tweet media one
9
34
207
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Mwaka 1964 China na Tanzania zilianzisha mahusiano ya Kidiplomasia na mwaka 1965 zilisaini Mkataba wa Urafiki (Friendship Treaty). Mwaka huu China na Tanzania zimeadhimisha Miaka 55 ya Mahusiano ya Kidiplomasia. Wafuatao ni Mabalozi waliohudumu nchini China kuanzia mwaka 1965:
Tweet media one
21
42
201
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
今天世界银行宣布坦桑尼亚正式迈入中等收入国家之列。我在此向所有的坦桑同胞表示祝贺,是我们共同的努力才取得了这样历史性的成绩。正是因为我们的决心和坚持,让我们提前了5年实现了这一目标。上帝保佑坦桑尼亚!-坦桑尼亚联合共和国总统约翰蓬贝马古富力博士
Tweet media one
29
29
205
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Kumbukizi# Rais Benjamin William Mkapa wa Tanzania akikagua gwaride rasmi wakati wa ziara rasmi nchini China Mwezi Aprili 1998. Katika shughuli hiyo alisindikizwa na Rais Jiang Zemin wa China
Tweet media one
1
24
204
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Makampuni ya Tanzania yanayofanya shughuli za usafirishaji wa mizigo katika Ziwa Tanganyika yanaombwa kuwasiliana na Ubalozi ili yatambulishwe kwa Kampuni inayohitaji huduma zao mapema iwezekanavyo. Mawasiliano yafanyike kwa njia ya barua pepe ya Ubalozi: beijing @nje .go.tz
Tweet media one
3
57
197
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Kundi la watalii 124 kutoka Hong Kong limeondoka jana kuelekea Tanzania.Watalii hao watatembelea Mbuga ya Serengeti na Ngorongoro. Aidha terehe 2 Agosti sehemu ya watalii hao watahudhuria mkutano wa biashara jijini Arusha ambapo watakutana na wafanyabiashara wenzao wa Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
5
37
184
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
the Chinese Market is already enjoying several food products from Tanzania including coffee, cashew nuts, sesame, soybean and seafood products. In the coming few month we are hoping to start supplying to the Chinese market new food items including Fish Belly, Avocado, and spices
15
57
192
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Matayarisho ya Banda la Tanzania katika maonesho ya kwanza ya China-Africa Economic and Trade Expo yatakayozinduliwa tarehe 27 Juni 2019 jijini Changsha yamekamilika.
Tweet media one
Tweet media two
5
37
184
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Balozi Mbelwa Kairuki akiwasilisha mada kuhusu fursa za uwekezaji na biashara nchini Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji (The International Investment Forum) uliofanyika jijini Xiamen,China @OWM_Uwekezaji @InvestinTanzani @TanzaniaEpza @TanTradepage @foreigntanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
43
184
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Hivi sasa watanzania 644 wanasoma China kupitia Scholarships zinazolewa na Serikali ya China na wanafunzi 4500 wanasoma kwa udhamini binafsi. Mwaka huu litakuwepo ongezeko la asilimia 10 ya Scholarships zitakazotolewa kwa ajili ya wanafunzi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla
11
37
177
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University leo kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu Lusekelo Gwassa alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
53
180
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Ubalozi unafurahi kuwajulisha wasafirishaji wa mizigo kutoka China kwamba Kuanzia tarehe 3 Septemba 2021 shirika la Ndege la @AirTanzania litaanza kutoka huduma hiyo kutoka Guangzhou hadi Zanzibar. Wasafirishaji wanaweza kufanya 'booking' kupitia Na:+255736787721/ +86 13901223647
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
58
178
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Tanzania na China zimesaini Mkataba wa kufungua soko la China kuruhusu Bidhaa za Uvuvi na Mabondo ya Samaki kuingia katika soko la China. Mkataba huo umesainiwa leo jijini Beijing ikiwa ni sehemu ya matokeo ya ziara ya Rais @SuluhuSamia nchini China
Tweet media one
Tweet media two
12
43
180
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Wiki iliyopita ulifanyika uzinduzi wa "B737-800 Aviation Simulation Equipment" iliyotengenezwa na Kampuni ya FYASC ya Jimbo la Henan nchini China kwa ajili ya Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT). Hatua hiyo itajenga uwezo wa kutoa mafunzo katika sekta ya usafiri wa Anga nchini.
Tweet media one
4
43
178
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Balozi Mbelwa Kairuki akitambulisha bidhaa za Tanzania katika kipindi maalum kilichorushwa mubashara na kituo cha Televisheni cha Hainan na kufuatiliwa na watazamaji milioni 15 @foreigntanzania @TBCOnlinetz @azamtvtz @TTBTanzania
9
43
177
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Jumuiya ya Mabalozi wa Afrika nchini China imefanya hafla ya kumpongeza Mhe Dk Salim Ahmed Salim jijini Beijing. Kiongozi wa Mabalozi wa Afrika ambaye pia ni Balozi wa Cameroon Mhe Martin Mpana ameeleza kwamba tuzo aliyopatiwa Dk Salim ni heshima kwa Bara la Afrika
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
46
178
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Mkutano kuhusu Ushirikiano wa Kimataifa katika sekta ya Kilimo umefunguliwa leo katika mji wa Luoyang  uliopo katika Jimbo la Henan. Pembezoni mwa mkutano huo yamefanyika maonesho ya teknolojia mbalimbali za kilimo. Balozi Mbelwa Kairuki ameshiriki katika hafla hiyo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
27
160
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Taarifa ya Kituo cha Televisheni ya Taifa ya China kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe @SuluhuSamia Nchini China
10
49
153
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Makampuni 16 ya Tanzania yapata kibali cha Serikali ya China kuuza Maharage ya Soya katika Soko la China.  Hatua hiyo inafanya idadi ya Makampuni ya Tanzania yenye idhini ya kuuza Maharage ya Soya kufikia 65 @foreigntanzania @Hakingowi @millardayo @HabariLeo @tzagriculture
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
72
155
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Balozi Kairuki akisalimiana na Rubani wa ndege aina ya Airbus A350 itakayosafirisha kundi la kwanza la watalii 314 watakaokwenda Tanzania siku ya jumapili. Kufuatia makubaliano ya Bodi ya Utalii (TTB) na kampuni ya Touchroad Group watalii 10,000 watatembelea Tanzania mwaka huu
Tweet media one
4
40
156
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Kampuni China Africa Barter ya Hunan, China ina mahitaji ya tani 500 za karafuu kutoka Zanzibar. Makampuni yenye bidhaa hiyo yanaweza kuwasiliana nao kwa barua pepe: yuen_fook @163 .com. @TanTradepage @Hakingowi @millardayo @foreigntanzania @salahzhang
Tweet media one
11
60
155
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
7 years
Naibu Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe Dk Qu Dongyu atafanya ziara ya kikazi nchini Tanzania tarehe 25-27 Januari 2018. Dk Qu atakuwa na mazungumzo rasmi na Waziri wa Kilimo Mhe Dk.Charles Tizeba (Mb) juu ya kukuza ushirikiano katika sekta ya kilimo
26
28
150
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
@AirTanzania imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baiyun jijini Guangzhou
10
32
154
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Serikali ya Jimbo la Hunan imenzisha Mtaa Maalum wa Kuuza kahawa kutoka Barani Afrika katika soko Kuu la Gaoquiao jijini Changsha. Hafla ya uzinduzi wa mtaa huo imefanyika leo na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mawili yanayozalisha Kahawa Tanzania na Ethiopia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
44
154
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK afanya mahojiano na Kituo cha Televisheni katika Jimbo la Hubei ambapo ametumia fursa hiyo kuelezea fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
5
20
150
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
China imeipatia Tanzania msaada wa Shilingi Bilioni 90 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ahadi hiyo imetangazwa leo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe Xi Jinping alipokutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
Tweet media one
8
40
152
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Rais wa China Mhe Xi Jinping atembelea Banda la Tanzania katika maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje. Rais Xi alifuatana na Waziri Mkuu wa Greece, Serbia na Jamaica na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa.
Tweet media one
3
37
153
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Kampuni ya Shandong Zurk Ltd ya China kufanya uwekezaji wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbao za MDF nchini Tanzania. Uwekezaji huo utakaofanyika katika Wilaya ya Mafinga unatarajiwa kuzalisha ajira kwa Watanzania 400.Ujenzi wa kiwanda hicho unatarajiwa kuanza Mwezi Novemba 2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
41
147
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
1 year
Katika utekelezaji wa makubaliano ya kukuza biashara kati ya Tanzania na China yaliyofikiwa wakati wa ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt @SuluhuSamia Nchini China, mkataba wa kuruhusu Asali kutoka Tanzania kuingia katika soko la China utasainiwa hivi karibuni na kufungua fursa kwa
Tweet media one
Tweet media two
10
32
149
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Hainan kuzungumzia bidhaa za Kilimo na Madini za Tanzania zinavyoweza kuuzwa katika Eneo Huru la Biashara la Hainan (Hainan Free Trade Area) lililoanzishwa na Serikali ya China hivi karibuni
Tweet media one
Tweet media two
5
33
144
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK akutana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huaxin Cement Ndugu LI Yeqing leo jijini Wuhan. Kampuni hiyo imewekeza nchini Tanzania katika uzalishaji wa saruji mkoani Tanga. Balozi ameishukuru kampuni hiyo kwa kuwekeza nchini @ViwandaBiashara @millardayo @Hakingowi
Tweet media one
1
19
148
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Kongamano Maalum la kuadhimisha siku ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere litafanyika nchini China katika Chuo Kikuu cha Peking tarehe 14 Oktoba 2019. Viongozi wa Chama na Serikali, Wanadiplomasia, wanazuoni na wanafunzi watashiriki katika kongamano hilo.
Tweet media one
Tweet media two
8
47
144
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Baadhi ya Majimbo ya China yametangaza tarehe za kufungua Vyuo Vikuu. Watanzania wanaosoma nchini China wanashauriwa kuwasiliana na International Office za vyuo vyao ili kupata tarehe ya kufungua vyuo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
42
142
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere imeadhimishwa leo jijini Beijing katika Chuo Kikuu cha Peking na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na viongozi wa Serikali; Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia, wanazuoni na wanafunzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
33
143
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Mabalozi wanaozikilisha nchi za Afrika nchini China wamefika katika Ubalozi wa Tanzania Beijing kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia msiba mkubwa uliotokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
25
138
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Tweet media one
2
35
146
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Mzee Joseph Kazembe was among the first students from Tanzania to study in China 46 years a go. He got Chinese Government Scholarship in 1972 to study at the then Beijing Institute of Languages.He travelled From Dar es Salaam to Guangzhou by ship for 30 days.
Tweet media one
Tweet media two
8
34
137
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
A widely recognized champion for environment and economic empowerment, Mzee Mengi was a pioneer in advocating self-empowerment and caring for people with disability. At this time of sorrow, let us remember the remarkable contributions of a remarkable compatriot. RIP Mzee Mengi
Tweet media one
1
22
137
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
China imeahidi kufungua zaidi fursa za elimu na biashara kwa Watanzania ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano baina ya wananchi wa TZ na China.Ahadi hiyo imetolewa leo na Rais wa taasisi ya Chinese People's Association for Friendship with Foreign Countries Balozi Lin Songtian
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
27
137
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
A team of 4 students from Tanzania won the Outstanding Performance award at Huawei's global competition related to Cloud Channel, Networking Channel, and Innovation Channel). 147 students from 30 countries participated at the competition
Tweet media one
Tweet media two
2
31
139
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wananchi na wadau Serikalini na Sekta Binafsi kwa ushirikiano walioutoa katika kufanikisha majukumu mbalimbali ya Ubalozi katika mwaka 2018. Kupitia ushirikiano huo malengo ya kutafuta fursa za mafunzo,uwekezaji,masoko & utalii yalitekelezwa.
4
20
130
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
TBT: Unforgettable Tanzania- Land of Kilimanjaro
2
36
137
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Makubaliano hayo yamefikiwa leo Beijing katika mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na Mkurugenzi na Mtengenezaji wa Kipindi cha Travel Channel cha Hainan Television Bi Xie Xiao na timu yake. Bi Xiao ameeleza kwamba Televisheni hiyo ina watizamaji milioni 200 nchini China
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
27
129
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Makampuni 49 ya Tanzania yaidhinishwa na Mamlaka ya Forodha ya China kuuza Maharage ya Soya (Soybean) kutoka Tanzania katika soko la China. Hatua hiyo infungua fursa ya soybean kutoka Tanzania kuanza kununuliwa nchini China @foreigntanzania @tzagriculture @HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
58
133
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Tanzania's Serengeti National Park named by 27th World's Travel Awards Panel as 2020 Africa's leading National Park
2
42
136
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Tanzania na China leo zimefikia makubaliano ya kuruhusu Maharage ya Soya kutoka Tanzania kuingia nchini China. Hatua hiyo inafungua fursa mpya kwa wakulima wa Tanzania kupata soko la uhakika la bidhaa hiyo @foreigntanzania @WuPeng_MFAChina @ChineseEmbTZ @TanTradepage
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
39
133
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Mkutano wa Balozi @MbelwaK na Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini China umefanyika leo
Tweet media one
2
20
128
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Mabalozi wa nchi mbalimbali washiriki kwenye Hafla ya kuadhimisha Miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China katika viwanja vya Tianamen Square jijini Beijing @Hakingowi @ccm_tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
23
129
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Maonesho ya Utalii ya China Outbound Travel and Tourism Market yamefunguliwa jana Beijing. Tanzania inashiriki katika maonesho hayo kupitia wawakilishi kutoka TTB, TANAPA,Tour Operators na wamiliki wa mahoteli kutoka Tanzania Bara na Zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
4
29
129
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK akiwa katika mahojiano na kituo cha televisheni cha @CGTNOfficial kuzungumzia mahusiano kati ya Tanzania na China leo jijini Beijing
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
28
127
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
UJUMBE WA TAHADHARI KWA WAFANYABIASHARA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
86
131
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Kampuni ya Greenland Group ya China imesaini Makubaliano ya kuagiza Container 10 za Mvinyo wa Tanzania kwa ajili ya majaribio katika soko la China. Mkataba huo umesainiwa leo katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje @ciieonline yanayoendelea jijini Shanghai. @TanTradepage
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
28
132
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Watanzania 252 wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baiyun kwa ajili ya maandalizi ya kuanza safari ya kurejea nchini Tanzania na Shirika la Ndege la @AirTanzania
4
22
129
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Tanzania - Minister for Foreign Affairs Addresses General Debate, 74th Session
6
27
124
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WATANZANIA WANAOSOMA NCHINI CHINA Tarehe 20 FEBRUARI 2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
43
126
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Filamu ya Tanzania Royal Tour imeanza kuoneshwa jana nchini China na @globaltimesnews kupitia akaunti yake yenye "followers" 750,000 katika mtandao Maarufu wa BILIBILI . Kwa mujibu wa takwimu za mtandao huo hadi leo watu 10,000 wametizama filamu hiyo.
Tweet media one
5
29
127
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Jimbo la Henan utafanyika Mwezi Novemba 2020 kwa njia ya mtandao.Kupitia mkutano huo fursa za kuuza bidhaa za Tanzania katika soko la Henan zitawasilishwa na taasisi ya China Council for the Promotion of International Trade Henan SubCouncil
Tweet media one
Tweet media two
4
31
119
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Bidhaa mbalimbali za Tanzania zikioneshwa katika Mji wa Wehai nchini China. Bidhaa hizo zimepata soko katika Jimbo la Shandong
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
36
123
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Mahusiano ya Tanzania na China katika Siku 100 za Uongozi wa Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia
3
41
124
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Made in Tanzania products available in China
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
31
121
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Kampuni ya Qianmu Grain and Oil ya Qingdao China inahitaji kununua pamba kutoka Tanzania. Makampuni yenye kuzalisha/kuuza pamba yanaweza kuwasiliana moja kwa moja na Kampuni hiyo kwa barua pepe: 370495067 @qq .com @foreigntanzania @tzagriculture @Hakingowi @millardayo @TanTradepage
Tweet media one
4
56
118
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Chuo Kikuu cha Tsinghua nchini China kinakaribisha maombi ya kozi ya International Master of Public Health (IMPH) chini ya programu ya YOUTH EXCELLENCE SCHEME OF CHINA. Ufadhili (Full scholarship) wa kozi hiyo utatolewa na Serikali ya China.
7
34
117
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Mjumbe Maalum wa Rais wa China ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la China Mhe.CAI DAFENG amefika Ubalozi wa Tanzania Beijing kuwasilisha salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe @SuluhuSamia na watanzania wote kufuatia Msiba wa Taifa wa Hayati Dk.John Pombe Magufuli.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
26
118
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Bidhaa za Tanzania ikiwa ni pamoja na Madini ya Tanzanite; Kahawa na Mvinyo vitauzwa nchini China kupitia LIVESTREAM PROGRAM ya Hainan Television ikiwa ni hatua ya kukuza biashara kati ya China na Afrika kupitia Hainan Free Trade Zone.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
39
118
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
TBT: Jiang Yiyan, a Chinese actress and singer introducing Africa's beautiful scenaries to the chinese audience after her tour in Africa which included Tanzania @TTBTanzania @foreigntanzania @visitngorongoro @SerengetiParkTz
5
50
115
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Waziri wa Biashara na Viwanda na Viwanda Mhe. Innocent Bashungwa @innobash akizungumza katika banda la Tanzania
2
33
111
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
China-Tanzania relations have been enriched by exchange of visits of National Leaders since 1960's begining with the visit of by the founding President of Tanzania Mwaliku Julius Kambarage Nyerere @ChenMingjian_CN @ChineseEmbTZ @HabariLeo @PDChina @cgtnafrica @dailynewstz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
39
115
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Amb.Kairuki introducing Tanzania's trade and investment opportunities at the Belt and Road Sustainable Development Exchange Luncheon attend by companies from The Guangdong-Hong Kong-Macau Greater Bay @ZanzibarInvest @InvestinTanzani @foreigntanzania @dailynewstz @Hakingowi
Tweet media one
Tweet media two
4
20
117
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
3 years
Balozi @MbelwaK akitoa salaam kwa niaba ya Jumuiya ya Mabalozi wa Afrika katika Mkutano Maalum wa Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China uliofanyika jijini Shanghai
2
35
117
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
5 years
Zanzibar Tourism Promotion Video in China
0
42
111
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
4 years
Waendeshaji wa kipindi cha kutangaza Bidhaa za Tanzania katika Hainan Television wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Kairuki kabla ya kuanza kurusha matangazo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
27
115
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
6 years
Mkutano wa kuvutia watalii na uwekezaji umefanyika leo katika Jiji la Hong Kong na kuhudhuriwa na tour operators, travel agents, airlines, media kutoka Hong Kong, Macao na Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
29
109
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Fursa ya soko: Kaa na kamba wa baharini wanahitajika katika soko la China. Makampuni ya Tanzania yaliyosajiliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa ajili ya kuuza nje (China) bidhaa hizo - yanaweza kuwasiliana na mnunuzi kupitia anuani ya barua pepe: kaholey @163 .com
Tweet media one
Tweet media two
3
40
116
@UbaloziChina
Tanzania Embassy | China
2 years
Happy Nyerere Day
Tweet media one
1
19
112