The_TruthView Profile Banner
The Truth_View 🔭 Profile
The Truth_View 🔭

@The_TruthView

Followers
484
Following
562
Statuses
3K

Hard Talk | Writer | Unapologetic | Cynic Thinker | Spanner 🛠️ | 🌴

Tanzania
Joined February 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
8 months
Ukitaka kuupata UWAZI wa jambo kuhusu Nchi, basi fuatilia taarifa kutoka Kwa Wapinzani wa Serikali Lakini ukitaka kuupata UKWELI wa jambo, basi fuatilia taarifa za wale wasioegemea upande wowote. UWAZI sio UKWELI, ila UKWELI ni UWAZI.. ✍️
Tweet media one
0
0
9
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
4 hours
BitCoin inaanza kupoteza Ushawishi nini?! Mbona Spread imekuwa kubwa sana? 😲😯
Tweet media one
0
0
2
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
5 hours
@LilianLevelian Kanuni za kuhudumiwa na Mwanaume wa kweli kwa jitihada na moyo wote, ni pale nitakapokukuta BIKRA tu! Hapo ndio unakuwa ubavu wangu Kwa asilimia 💯 Kama huna Bikra unaweza kudhani sina Pesa 😁😁 Kumbe ni Msimamo tu kwamba siwezi kuhudumia Mke wa mtu, a.k.a Malaya
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
5 hours
@millardayo Aje nimuuzie Mkoa wa Iringa Niende zangu Goma au Kivu. Raia mtajua mtakapoenda
0
0
7
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
8 hours
@mwanangu23 Aise! Unadhani kina nani watamfanya nini?
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
8 hours
@MsigwaPeter "Eat more fruits" the slogan says! "more milk, more Vegetables" But am on unemployment 🙇 How would I do exercise whilst hunger? You 'Waheshimiwaz' are milking the civils left them with no single drop of water in their flesh, and you a pastor navigating yourselves all together
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
12 hours
"You will understand well and be good in Forex, when you do not have any other source option of income" 📈... 🚀🚀
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
18 hours
0
0
1
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
22 hours
Yah, Huo ndio Ukweli. After one year of struggling, now am a full time Forex trader 📈 -Sihitaji Mahala pa kufanyika kazi -Sihitaji mteja yeyote -Inyeshe Mvua, mimi najifungia ndani tu naTrade Silipi kodi, labda makato ya Bank. Siku ikiwa mbaya sana sikosi $120 sawa na Tsh 300k
Tweet media one
0
0
1
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
23 hours
@simbamkuu @godbless_lema Yah bro 🤝
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@G_E_Msyaliha @godbless_lema Useless words artist
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@coko_king67743 @godbless_lema Sio Mfano Mzuri, Uzazi una heshima yake, kufanyika Kwa tendo linalosababisha mimba sio jambo la aibu kiasi cha kutumiwa kama kielelezo cha aibu flani
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@G_E_Msyaliha @godbless_lema Unless you translate on word to word, but if you take by the actual inclined meaning you would type such. You are the one who didn't catch!
1
0
2
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@Professionature @godbless_lema What do you mean?
1
0
1
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
Both TP 1 & 2 on BTC Smashed!! 💯 🚀🚀🚀🚀📈📈📈 This is how we do!!
Tweet media one
0
0
0
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@ChademaTz @TunduALissu Mzee Warioba hana makuu Mzee wetu, kwenye picha utafikiri hayupo, utamtafuta wewe 😅
0
0
9
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
@MwananchiNews Huyu ndiye Pastor, kuwa mtumishi wa Mungu ni Kusimama kwenye kweli bila kujali gharama zake @MsigwaPeter ni Pastor, japo anajua kwamba swala la fomu Moja ya Urais ni "UPUMBAVU & UPUUZI wa Kidikteta ndani ya chama chake kipya, lakini KIMYAAAA! Pastor, You have done your best!
0
0
5
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
Unaambiwa kwasasa Elon ndiye anafahamika kama Raisi wa USA, Trump ni kama kivuli tu Niliwahi kusema lengo la huyu tajiri ni "Presidential aspiration" kwamba, kama anavyoongoza duniani kiuchumi basi anataka aiongoze pia Jumla! Ana ajenda ya Siri kuhusu mageuzi ya kiulimwengu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
2
@The_TruthView
The Truth_View 🔭
1 day
Trading is skills & Patience! 📈 Here we go now 🚀🚀🚀
Tweet media one
Tweet media two
0
0
0