TanzaniaTari Profile Banner
TARI Tanzania official page Profile
TARI Tanzania official page

@TanzaniaTari

Followers
5K
Following
126
Statuses
855

TARI is an institution responsible for all agriculture research activities in Tanzania

Dodoma, Tanzania
Joined August 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
16 days
Heri ya siku ya kuzaliwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia @ikulumawasliano @HusseinBashe @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
0
2
4
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
1 month
Heri ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar @HusseinBashe @ikulumawasliano
Tweet media one
1
3
14
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
1 month
Makala fupi ya Majaribio ya sampuli kifani ya kupandia Alizeti kutoka TARI Ukiriguru yaliyofanyika katika maeneo mbalimbali nchini @HusseinBashe @ikulumawasliano @WizaraKilimo @TZMsemajiMkuu
0
1
1
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
1 month
Heri ya mwaka Mpya 2025 mdau wetu wa Kilimo, TARI tunaendelea kukuhakikishia kazi za Utafiti wa Kilimo inakuletea matokeo yanayojibu hamu ya mdau wa Kilimo katika mnyororo mzima wa thamani wa Kilimo lengo ikiwa ni kuongeza tija. @WizaraKilimo @HusseinBashe @ikulumawasliano
Tweet media one
0
6
12
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
TARI Tunakutakia heri ya Sikukuu ya Krismas
Tweet media one
1
3
12
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Utekelezaji wa Aliyopata kwa Watafiti wa TARI, inavyomsaidia Mkulima kusomesha mwanaye Chuo kikuu bila Mkopo @HusseinBashe @WizaraKilimo @ikulumawasliano
0
0
1
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
TARI yaendelee kutoa Mafunzo ya Kilimo shadidi cha Mpunga kwa Wakulima na Maafisa ugani Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro @HusseinBashe @WizaraKilimo @ikulumawasliano
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha TARI Uyole imetoa Mbegu za pareto kilogramu 400 kwa Serikali ya Mkoa wa Songwe ili kuwagawia Wakulima wa zao hilo. Kiwango hicho cha mbegu kilichogawiwa kinaenda ekari mpya 1600.@HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenani Kihongosi amepongeza juhudi za Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika kubuni teknolojia mbalimbali za kilimo zenye lengo la kuinua sekta ya kilimo nchini. @WizaraKilimo @HusseinBashe @simiyu_region
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Wadau wa Kilimo na wakulima Mkoani Singida wameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI ) kwa ubunifu wa zana rafiki ya kupandia Alizeti. @HusseinBashe @ikulumawasliano @WizaraKilimo @rcsingida @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
TARI Ukiriguru leo Desemba 12, 2024 imefanya majaribio ya utendaji kazi wa sampuli kifani ya kupandia mbegu za alizeti (Sunflower rafiki Planter prototype) katika shamba la Jenga kesho iliyo bora (BBT) lililopo chinangali II-Dodoma. @HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
0
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha TARI Tengeru iko hatua za mwisho za usajili wa Mbegu mpya bora aina 19 za mbogamboga zinazolenga kuongeza tija katika mnyororo mzima thamani wa Kilimo cha mbogamboga. @WizaraKilimo @HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Madiwani kaunti ya Eligeyo-Marakwet nchini Kenya Leo Desemba 02, 2024 wametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha TARI Tengeru kwa lengo la kujifunza shughuli za Utafiti zinazofanywa kituoni hapo. @HusseinBashe @WizaraKilimo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
3
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
2 months
Wakulima wa zabibu wameshauriwa kujikita katika Uongezaji wa thamani wa zao hilo ili kujiongezea tija kwa kuepuka hasara inayoweza kutokana na kukosekana soko la kutegemea kuuza zabibu kama tunda. @HusseinBashe @wizarayakilimo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
Watafiti wa TARI kwa kushirikiana na kituo cha uzalishaji wa zana za kilimo, CARMATECH wametengeneza zana kifani ya kupandia mbegu za alizeti (Sunflower rafiki planter prototype) ambayo inalenga kumsaidia Mkulima kurahisisha shughuli za upandaji zao hilo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
TARI kwa kushirikiana na chuo cha Stadi za Kilimo na Misitu cha Jiangsu (JSAFC) cha China imepanga kuanzisha Taasisi ya Kilimo ya Shennong hapa nchini (Shennong Institute of Agriculture, Tanzania) ikiwa ni sehemu ya ushirikiano baina ya TARI na JSAFCS.@WizaraKilimo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
Mkurugenzi Mkuu wa TARI) Dkt. Thomas Bwana amezieleza kampuni za mbegu kulipia mirahaba ya mbegu wanazotumia zinazotokana na kazi za watafiti wa TARI ili kutoa motisha kwa wagunduzi wa mbegu bora wanazouza kwa wakulima.@HusseinBashe @WizaraKilimo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
13
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
Uzalishaji tija wa Mazao ya Muhogo na viazi vitamu @HusseinBashe @WizaraKilimo
0
1
1
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) inaendesha mafunzo kwa watafiti yanayolenga kuongeza tija katika mazao ya Muhogo na viazi kwa kuongeza uzalisha wa mbegu bora zinazostahimili mashambulizi ya virusi katika mazao hayo. @WizaraKilimo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
2
@TanzaniaTari
TARI Tanzania official page
3 months
0
0
0