TFSAgency Profile Banner
Tanzania Forest Services Agency Profile
Tanzania Forest Services Agency

@TFSAgency

Followers
8K
Following
54
Statuses
502

Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and services

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
16 days
TFS tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakushukuru kwa mchango wako mkubwa katika kuhifadhi mazingira na rasilimali za misitu, ambayo ni urithi wa kizazi hiki na kijacho.
Tweet media one
0
0
3
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
1 month
Hon. Dr. Pindi Chana Unveils TZS 2.6 Billion Equipment for Forest Conservation procured by the Tanzania Forest Services (TFS). The equipment includes tractors, a motor grader, and trucks, aimed at enhancing forest conservation efforts.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
1 month
Tweet media one
0
0
3
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
2 months
TFS inashiriki Kongamano la Kimataifa la Kisayansi Arusha! Tunatoa asali, nta, vipodozi vya asili na huduma ya Apitherapy BURE! 🐝🍯 Karibu kwenye banda letu hadi Dec 13! #TFSInAction #Apitherapy #UhifadhiNiMaendeleo
0
0
2
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
2 months
RT @urtupdates: Kamishna wa Uhifadhi @TFSAgency Profesa. @SilayoDos, ameshiriki katika mkutano wa kutiliana saini mikataba minne (4) yenye…
0
1
0
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
2 months
Tunapojitahidi kuhifadhi rasilimali za asili, tunajenga kesho bora kwa vizazi vijavyo. Jiunge nasi Jumamosi hii saa 12:30 jioni kwenye Tanzania ya Kijana kupitia TBC 1, tukijadili juhudi za wananchi wa Kizimkazi Zanzibar katika uhifadhi wa mazingira.
1
1
3
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
3 months
dont miss it
Tweet media one
0
0
3
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
3 months
RT @urtupdates: "Twenzetu Rungwe" yafana, wadau wa utalii mkoa wa mbeya & mikoa jirani wakoshwa na kijani ya mazingira asilia ya Mlima Rung…
0
2
0
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
4 months
NYUKI MARATHON A BIG SUCCESS The Nyuki Marathon in Arusha was a key event as participants prepared for the 2027 Apimondia Congress. With over 500 runners from various countries, it celebrated athleticism and emphasized the vital role of beekeeping in environmental conservation.
0
0
1
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
4 months
Exciting news from the Nyuki Marathon in Arusha! Over 500 runners from around the globe gathered to celebrate athleticism and the vital role of beekeeping in environmental conservation. Let’s keep the buzz going! #NyukiMarathon #Beekeeping #Apimondia2027 🐝🎉
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
12
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
4 months
"It’s about to go down! The warm-up session is kicking off for the Nyuki Marathon at General Tyre, Arusha. Get ready to feel the energy as we gear up for an amazing day with Dahid Mukomana and all our participants! Let’s do this!
0
2
2
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
5 months
1
2
4
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
5 months
Misitu ni hazina yetu! Tunapaswa kuzilinda dhidi ya moto. Kuepuka kutupa taka, kuripoti moto mara moja, kujifunza kuhusu hatari, na kushiriki katika shughuli za usafi ni hatua muhimu. Tuwe na dhamira ya pamoja kulinda mazingira yetu!
0
0
2
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
5 months
Tweet media one
0
0
5
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
6 months
Complete your Selous Marathon experience with a visit to the stunning Hululu Waterfalls in Morogoro! Add it to your bucket list and immerse yourself in the beauty of nature. Book your space now with Tanzania Forest at +255 713 877 787 or visit
Tweet media one
0
1
4
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
6 months
Doto Magari @dotto_magari na Utalii wa Nyuki @tanzania_forest ambao kwa Dar es Salaam unatolewa @tfs_vikinduecotourism hii ni kuelekea Siku ya Utalii, tarehe 21/08/2024 katika tamasha linaloendelea la Kizimkazi @kizimkazifestival_. Unaanzaje kuikosa #visitzanzibar @TTBTanzania
0
0
7
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
6 months
KARIBU MOROGORO! KARIBU HULULU WATERFALLS
0
3
12
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
6 months
Tweet media one
0
0
8
@TFSAgency
Tanzania Forest Services Agency
6 months
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1