Saumu Yanga Profile
Saumu Yanga

@SaumuYanga

Followers
1K
Following
2K
Statuses
4K

Joined August 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SaumuYanga
Saumu Yanga
6 hours
@kalage_jr Mpimbwe .....
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
7 hours
@Nyonyoma1 Paje/bwejuu/michamvi .....sky.πŸ‘Œ
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
7 hours
@SharifaSabrina @Ngedereee @MrossoArobogast Humu ni kwa kiishi kimasta sana 😁😁 how could he knows those stuff πŸ™†β€β™€οΈ
1
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
7 hours
@Ngedereee @MrossoArobogast @SharifaSabrina Mwanachama huyo 😁😁
1
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
7 hours
@Jizzlewantandu Angalia huo muandiko 😁😁 sio kana kwamba hawajui kuandika vizur la hashaaa
1
0
1
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@lewis_keny Kuna mmoja amesema yy ilimbidi awashe fegi ili atolewe nje na security😁😁 pasina hivyo asingetoboa
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
RT @swahilitimes: Aliyekuwa Gavana wa Kiambu nchini Kenya, Fredinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela au faini ya Ksh milioni…
0
20
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@WemaKako Mungu akutie nguvu mkuu....i fell you
0
0
1
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@NiwowaJr Sasa hivi kila kitu ni udalali tu ..ukiweza kulishika soko tu sio lazma hata kua na mtaji..mwengine yy anadalalia mitungi ya gesi anavijana wanasambaza then wanagawana hela kila ukipeleka mtungi mmoja anakulipa 700 na yy anabaki na 1,800πŸ’ͺ
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@Adventure_36 Watanzania c kwa ghusi yaani kila kitu ni wizi wizi tuuuu na hao wakulima wakijipindua wanaibiwa hapo kwenye kipimo
0
0
1
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@TOTTechs Tutalizwa sana now 😭😭 na tulivyo vilaza
1
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@Jogoo_Msomi 😁
0
0
1
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@azizi_nantubwi What a lovely post .....hili ktazo linawahusu muslims only nyie wengine mnaweza endelea tu na huu upuuzi
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
@Ireneigora Kama ndoa ndio kipaombele chao basi hayo mahusiano yaishie hapo ila kama ni hizi za town tu ........πŸ‘Œ sijui nilitaka kusema nn .....
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
9 hours
RT @chapo255: Niamini mimi hujaangalia movie nyingi masta!
0
25
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
10 hours
@majizo_jr Yule wa kilimo cha vanila je ? Sio tapeli kweli yule
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
10 hours
0
0
0
@SaumuYanga
Saumu Yanga
12 hours
@bullzozojr1 @EddoLalika Zilipigwa marufuku hizo pale matarumbeta na kwa alinato/alimsha..muembe madafu /danger jan'gombe ..ilibaki πŸ‘Œ tu nitest hizo ndubwana alikuja nazo brother ang home mm sikujua nikangangana nataka kuzila akaniambia achana nazo mdogo angu hizo sio kashata ni dawa😁😁
2
0
3
@SaumuYanga
Saumu Yanga
12 hours
@samatimemagari Sasa ustadh anaenda wapi 😁😁 anaikimbiza au
0
0
1