![Robert Mng’anya Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1474326875279437824/pmI36adT_x96.jpg)
Robert Mng’anya
@RMnganya
Followers
684
Following
8K
Statuses
9K
With God nothing is impossible|Pastor|Father|Farmer|IT Enthusiast
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2014
Excellence is an attitude. Thank you leader.
Our society often struggles to differentiate between feedback, criticism, and insults. The first two are valuable—they help you grow and improve. The third one, however, tests your level of maturity. If every time someone gives you feedback or constructive criticism you feel insulted, then the issue might not be with them, but with you.
0
0
0
Habari njema sana hii. Serikali ni muwezeshaji. Wafanyabiashara wakati wanachangia 40% GDP ya Tanzania na ndio waajiri wakubwa.
“Yale mashirika ya umma ambayo tumesema yafanye biashara, yafanye biashara kweli bila kuingizia serikali gharama yoyote, lakini tusingetaka kuona mashirika ya umma yashindane na Sekta Binafsi. Tumeshakubaliana kwamba muhimili wa uchumi wa nchi hii ni uimara ya sekta binafsi.” – Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
0
0
0