PaschalSam1 Profile Banner
Paschal sam Profile
Paschal sam

@PaschalSam1

Followers
77K
Following
873K
Statuses
179K

A good heart will attract blessings.

Mwanza, Tanzania
Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@PaschalSam1
Paschal sam
2 years
Kuna ambao wameandaliwa maisha bora na wazazi wao na kuna wengine tumeandaliwa kuwatengenezea maisha bora wazazi wetu. HATUFANANI, kikubwa ni kuheshimiana tu..!
27
93
319
@PaschalSam1
Paschal sam
1 hour
RT @MediaConvergecy: ๐—ง๐— ๐—– ๐—ฃ๐—ผ๐—น๐—ถ๐—ฐ๐˜† ๐—–๐—ผ๐—บ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜†: ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฅ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฑ ๐—˜๐—ฑ๐˜‚๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ฃ๐—ผ๐—น๐—ถ๐—ฐ๐˜† ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฏ Tanzaniaโ€™s Revised #Education Policy (2023) marks a pivโ€ฆ
0
27
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 hour
RT @GiftKimaro7: Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lenye uwezo wa kutunza lita za maji bilioni 190, pindi utakapokamilika Juni mwakani, utasaidiaโ€ฆ
0
5
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 hour
RT @just_toksik: .kama hata package ya 33,000/- itakushinda basi muache tu huyo mtoto wa watu man we endelea kujitafuta.๐Ÿ˜‚. .chagua hata chโ€ฆ
0
15
0
@PaschalSam1
Paschal sam
2 hours
RT @luvandalugano47: Hii Valentine kila mwenye mpenzi aoneshe mapenzi kwa vitendo. Asipokupa zawadi ujue hakupendii. Wacheki @thegifthausโ€ฆ
0
26
0
@PaschalSam1
Paschal sam
18 hours
RT @TAMWA_Zanzibar: ๐ŸŒฟKutoka ukimya hadi sauti yenye nguvu! Wanawake wakulima wakielezea namna walivyofaidika na mafunzo ya kutumia vyomboโ€ฆ
0
11
0
@PaschalSam1
Paschal sam
18 hours
RT @TAMWA_Zanzibar: TAMWA ZNZ tupo Kisonge kwenye Maonesho ya Wiki ya Sheria! โš–๏ธ Karibu utembelee banda letu na mabanda ya wadau wengine waโ€ฆ
0
16
0
@PaschalSam1
Paschal sam
18 hours
RT @TAMWA_Zanzibar: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMWA ZNZ Kuadhimisha Siku ya Redio Duniani tarehe 12 February 2025.
0
21
0
@PaschalSam1
Paschal sam
19 hours
RT @GiftKimaro7: Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200 umefikiโ€ฆ
0
12
0
@PaschalSam1
Paschal sam
19 hours
KITUO CHA AFYA KINYEREZI CHAKAMILIKA Kukamilika kwa kituo hicho kunalifanya jimbo la Segerea kuwa na jumla ya vituo vya afya 4 ambavyo vinawahakikishia wananchi kupata huduma za afya karibu. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia
Tweet media one
1
5
7
@PaschalSam1
Paschal sam
19 hours
RT @DiraYaSamia: Tanzania inatarijiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 11 wa Maonyesho ya Mafuta na Gesi kwa chi za Afrika Mashariki (EAPCE 2025โ€ฆ
0
51
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 day
RT @EricMaswi: Muonekano wa Kabla na Baada Shule ya Msingi Izumbwe. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
17
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 day
RT @Gaspinho15: Serikali imejenga Kituo cha Kupooza Umeme wa Msongo wa KV 132 kilichopo eneo la Nguruka Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma. Ujโ€ฆ
0
4
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 day
Muonekano wa Kituo cha Afya Ikondo ambacho kipo Kata ya Ikondo, Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kilichotekelezwa na fedha za ruzuku kutoka Serikali Kuu. Kituo kimeanza kutoa huduma na wananchi hawatembei tena umbali mrefu kufata matibabu. #MamaYukoKazini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
10
9
@PaschalSam1
Paschal sam
1 day
RT @yose_hoza: Rafiki mkia wa fisi. House of the Dragon movie kali sana ina uhalisia maisha ya waajiriwa. Jioni ya leo stream Showmax uicโ€ฆ
0
12
0
@PaschalSam1
Paschal sam
1 day
Mungu akatufanyie wepesi tena katika wiki hii mpya na kuzibariki kazi za mikono yetu.๐Ÿ™.
5
8
33
@PaschalSam1
Paschal sam
2 days
VETA ZIMEKAMILIKA KATIKA MIKOA 4 Vyuo vya VETA vimejengwa mikoa ya Geita, Simiyu, Njombe, na Rukwa, na ujenzi unaendelea katika wilaya 64. Hatua hii inawezesha vijana kupata ujuzi unaowawezesha kujiajiri kwa maendeleo yao na taifa. #MamaYukoKazini
Tweet media one
0
7
10
@PaschalSam1
Paschal sam
2 days
@sonnino123 ๐Ÿ™
0
0
0
@PaschalSam1
Paschal sam
2 days
"kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakayekushambulia ili kukudhuru; kwa maana mimi nina watu wengi katika mji huu" ~Matendo Ya Mtumume 18: 10
2
6
34
@PaschalSam1
Paschal sam
2 days
@Happie_Thom Utu uzio huuu...
0
0
0
@PaschalSam1
Paschal sam
2 days
RT @BillyTronix1: Zipo nyingi sana dukani mje mzinunue bas ๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ
Tweet media one
0
20
0