![๐ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1843388077311442944/_1JgXjUm_x96.jpg)
๐
@MyahudTz007
Followers
1K
Following
24K
Statuses
4K
Activist|Tax consultant|Financial Engineer|Auditor|Chelsea Fans|Golden State Warriors Fans๐|Valley ball Player๐|Hustler๐ช|Professional Plumber ๐งโ๐ง
Pwani, Tanzania
Joined March 2021
@TherealJoker_m wachague mpira wa kugombania tu wakulia au wakushoto๐ mechi inachezeshwa na refa kipofu๐
1
0
1
@Mrzuri__606 @SharonMontana20 ila yule wa ๐ media kumtukana ni ruska, kisa sio saiko yako๐๐๐ฎ
0
0
1
"HAPANA ASANTE ILA TUTANUNUA X kwa $9B ukipenda" ๐๐๐๐๐ Mungu anijalie hiki kiburi๐ yani hizi ndio level za kiburi ninachostahili kumiliki๐๐๐ Mushi anataka kumiliki kila kitu ๐ฎ X yeye, TikTok USA anataka yeye, OpenIA. anataka tena yeye ๐๐๐๐ฎ
Kundi la Wawekezaji linaloongozwa na Elon Musk limetoa ofa ya USD bilioni 97.4 kununua OpenAI, kampuni mama ambayo imetengeneza na kumilki ChatGPT lakini Mmiliki wa kampuni hiyo amekataa ofa hiyo. Musk ambaye ni Mtu tajiri zaidi duniani na pia Swahiba wa Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni ameingia kwenye vita ya kibiashara na Mkurugenzi Mtendaji wa Open AI aitwaye Sam Altman juu ya mustakabali wa teknolojia hii mpya ya AI ambayo inatamba kwa kasi na kutumiwa na Watu wengi kutafuta majibu ya maswali mbalimbali kwenye ofisi hadi vyuo na shuleni. Kwa upande wake Altman ameikataa ofa hiyo ambapo ameandika ujumbe kwenye mtandao wa X unaomilikiwa na Musk, akisema โHapana, asante lakini tutanunua X (zamani Twitter) kwa USD bilioni 9.74 ukipendaโ .. jibu ambalo limemkasirisha Musk na akamuita Sam ni Tapeli. OpenAI inapewa sifa sana kwa kusaidia katika utengenezaji wa zana za kijasusi kwa kutumia akili mnemba na kuibua uwekezaji mkubwa katika sekta hiyo. Musk na Altman walianzisha kampuni hiyo mwaka 2015 kama kampuni isiyo ya faida lakini uhusiano wao umezorota tangu Musk alipojiondoa kwenye kampuni hiyo mwaka 2018 wakati huo ikiwa bado inajiendesha bila faida lakini kwa sasa kampuni hiyo imeanza kupata faida na inapanda kwa kasi ikiizidi hadi X kwa kufuatiliwa na kutumiwa. #MillardAyoUPDATES
0
0
1
Questionable ๐ค๐ค๐ฅน๐ฎ๐ฎ
Key news to watch (status as of 3 ET) Questionable: Stephen Curry, Anthony Edwards, Jayson Tatum, Jaylen Brown, Tyler Herro, Damian Lillard, Michael Porter Jr., Jerami Grant, Mike Conley, Max Strus, D'Angelo Russell, PJ Washington, Josh Green, Moussa Diabate, Kyshawn George, Nick Smith Jr., Max Christie Probable: Luka Doncic, LeBron James, Trae Young, Jamal Murray, Aaron Gordon, Austin Reaves, Brook Lopez Doubtful: Jalen Suggs
0
0
0
@TherealJoker_m @Steph5814 vijana hawana kazi๐๐ wakishika simu tu wanawaza kutukana watu mtandaoni๐๐๐๐ฎ
1
0
2