Mtaya IS
@Mtaya_IS
Followers
119
Following
6K
Statuses
2K
'' Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake, ni muongozo kwa wachamungu'' 02:02 Qur'an
Joined May 2021
RT @NjiwaFLow: #UZI 💨Je umekuwa mmoja wa watu wanaopoteza WhatsApp message/data unaponunua simu mpya kutoka ya zamani? Jambo hili limekuwa…
0
55
0
...
#TajiriLaKihaya Ewe kijana ulieajiriwa Ofisini…. Kaa kimya kwenye WhatsApp Group la ofisi. Zungumza tu unapoulizwa swali au kutoa maoni. Haijalishi mjadala ni mzito vipi kwenye Group lenu, jizoeze kukaa kimya na mbali.
0
1
2
RT @NjiwaFLow: #UZI 💨Watu wengi wamekuwa wakijiunga kwenye website nyingi kupitia google account zao wakidhani kwamba wakiifuta applicatio…
0
300
0
RT @EsirEid: #TajiriLaKihaya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa)Anasema; Nao wake wana haki kama ambayo (ya waume zao) iliyo juu yao kwa muj…
0
71
0
RT @msouthherbs: Usifanye ibadah kwaajili ya watu, na wala usiache kufanya ibadah kwaajili ya watu.
0
10
0
RT @EsirEid: #TajiriLaKihaya Hili swala la ndoa nafikiri tulishalijadili tukamaliza ila kama umeamua kulirudisha tena mezani…. Basi hatu…
0
85
0
Bei nafuu mwenye ujuzi hapo sasa...
Mambo 4 kufanikisha ujenzi huu ��️Tumia Fundi wa bei nafuu lkn wenye ujuzi. ✅ Nunua vifaa kwa jumla badala ya kununua kidogo kidogo kupata punguzo ✅ Usitumie vifaa vya gharama kubwa kupita bajeti yako ✅ Simamia ujenzi mwenyewe kwa 100% Ukitulia 15M hadi 18M unatoa combo.
0
0
1