NjiwaFLow Profile Banner
James Munisi Profile
James Munisi

@NjiwaFLow

Followers
191K
Following
52K
Statuses
111K

Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NjiwaFLow
James Munisi
5 years
πŸ’¨ Karibu ujisomee Nyuzi 20 MaTaTa za teknolojia. ✴ Naomba RT yako mtu wangu wa Nguvu, kisha bonyeza hii picha πŸ‘‡πŸ‘‡ utiririke nazo. #FLowMaTaTa by @njiwaflow
63
867
2K
@NjiwaFLow
James Munisi
41 minutes
@spana_Konki πŸ’¨ Jamaa tapeli wa michano πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
1
@NjiwaFLow
James Munisi
4 hours
πŸ’¨ Huyu mtoto ana tabia chafu 😁 muda huo kamuambia Trump kuwa "Wewe sio Raisi unatakiwa uondoke"
@iam_smx
SMX πŸ‡ΊπŸ‡Έ
8 hours
President Trump to Elon Musk's son, Lil X: "This is X, and he's a great guy, a high IQ individual."
5
2
18
@NjiwaFLow
James Munisi
5 hours
@NifferMainoo πŸ’¨ Naam πŸ”₯
1
0
0
@NjiwaFLow
James Munisi
5 hours
RT @NifferMainoo: Mpelekee hata hii mpenzi wako 😻
Tweet media one
0
40
0
@NjiwaFLow
James Munisi
5 hours
@huncho_smile @Issa_Ally_Mdoe @bonifacejoseph_ @OriginoZee17 πŸ’¨ Issue ni kuwa na magroup mengi ndiyo inayosababisha hivyo.
0
0
1
@NjiwaFLow
James Munisi
5 hours
@Issa_Ally_Mdoe @bonifacejoseph_ @OriginoZee17 πŸ’¨ Ndio cheki hii iPhone huwa hazina uwezo wa kurun app background ukitoka inajifunga tofauti na android unakuta apps zote ulizozifungua bado zinaendelea kufanya kazi kwa wakati mmoja.
2
0
3
@NjiwaFLow
James Munisi
6 hours
RT @DullahTheking2: CEO na Co- Founder wa jukwaa la komediii la WATU BAKI ni mtu noma sana katika upande wa "StandUp Comedy" πŸ™ŒπŸ½ Katika upa…
0
46
0
@NjiwaFLow
James Munisi
6 hours
@DullahTheking2 πŸ’¨ Jamaa anajua πŸ”₯
0
0
3
@NjiwaFLow
James Munisi
8 hours
@Trader_NAStz @gabyconscious πŸ’¨ Wana Michezo hao πŸ˜‚
0
0
0
@NjiwaFLow
James Munisi
9 hours
@anuskills3 @imdior01 @bonifacejoseph_ @OriginoZee17 πŸ’¨ Watu wenye magroup mengi huwa wanakutana na hii hali.
1
0
2
@NjiwaFLow
James Munisi
9 hours
@IbRaH_ShEbY @bonifacejoseph_ @OriginoZee17 πŸ’¨ Anaonaga hekaheka nayo pitia πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
1
@NjiwaFLow
James Munisi
9 hours
@imdior01 @bonifacejoseph_ @OriginoZee17 @anuskills3 πŸ’¨ Ni kweli iPhone ukiwa na magroup mengi ukitoka nje ya WhatsApp hata nusu saa tu ukirudi simu inaganda haifanyi chochote hata upigiwe WhatsApp call haipokei mpaka messages zote ziingie.
1
0
4
@NjiwaFLow
James Munisi
9 hours
@bonifacejoseph_ @OriginoZee17 πŸ’¨ Fala unanisema πŸ˜‚πŸ˜‚
3
0
3
@NjiwaFLow
James Munisi
12 hours
Hatua 06: Pata taarifa za kadi yako papo hapo (Namba ya Kadi, CVV, na Expiry Date). Hatua 07: Tumia kadi yako kufanya manunuzi mtandaoni mara moja.
1
0
2