![Mtaikuni Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1378084328287182853/IqUxBNQb_x96.jpg)
Mtaikuni
@Mtaikuni
Followers
2K
Following
17K
Statuses
10K
Love 🌹/Cryptocurrency expert/Military Expert/Business pundits
Joined March 2020
@NusratOG_88 @Thegospel4all @bosmakundi Hii hadi sisi malegendary tuliokwama na kujikwamua tena. Tunazijua hali zote maana tulishapata pesa na tulishawahi kukosa pesa pia.
1
0
1
@Weraelim @ZahirAlly Dm hadi upate hisani ya watu wa Marekani. Natania tu. Mbona Dm iko wazi mzawa? Sijafikia huko kwenye kufunga DM.
2
1
1
@ZahirAlly Kama haukuwahi kuomba Bia kwenye Bar mlizokuwa mnatumbuiza basi uwe wa kwanza kunihukumu Mzee Zoro. Wasanii wa Dansi hadi leo mnaperfom miingilio Bia moko tu Mzee.
2
1
2
@heisnabeel Daaah! Sasa nikamgongee Nani? Kama hata mtu anaenijua ananiruka? Watu hawana wema mzawa.
0
0
0
@dudukehadzabe Ishu sio kunyimwa konyagi...ishu na mtu ninaemjua kama hawezi kunipa konyagi...ataweza kweli kunipa Ugali huyu?
1
0
1