MSalimu Profile Banner
Mwanahamisi Singano Profile
Mwanahamisi Singano

@MSalimu

Followers
70K
Following
2K
Statuses
49K

Global Citizen PanAfrican Feminist. Informed and Concerned Citizen. Gender, Governance and Climate Justice Expert. Opinionated woman & mother of 3

Tanzania
Joined December 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Wanasiasa na viongozi wanapoamua kutunushiana misuli inayoumia ni demokrasia na sisi wananchi. Tujifunze kuachiana nafasi kila mtu afanye yake. Sisi watanzania, hatutaki kurudi kule tulikotoka. Tunatamani, tuishi kwa amani na uhuru wa kufanya yale tuliyo na haki nayo.
13
26
232
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 hours
@rutaraka Ha ha ha ha
0
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 hours
@rutaraka Ha ha ha. Zangu haziliwi kwa design hiyo
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 hours
Tofauti ya dunia ile na hii, ile wenzetu walijua kuwa wanatawaliwa na kunyanyaswa na wakaamua kupambania haki zao, dunia hii hatuna tunalolijua na hatutaki kujua, tupo tupo tu, ayenyanyaswa ndio anajiona mjanja basi ilmradi mambo yamechangamana.
2
3
22
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 hours
@mangileweri Ukitaka ufanyiwe majukumu ya mke nawe timiza majukumu ya mume. That simple
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
10 hours
@TanzaniaAbm Shukrani karibu
0
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
10 hours
@XXY2092 Mabadiliko yapo ila kwa Mecca kwa kweli sikuchunguza wala kuzurura safari zangu zilikuwa msikitini na hotelini
0
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 hours
@K255Leo 😂😂😂
0
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 hours
@K255Leo @YOUNGIBIS Usiende peke yako
1
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 hours
@MdeePaschal @tycoon20s @jaliluzaid @ashraf_kambenga Bado tuna wiki mbili, hili linawezekana kabisa
2
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 hours
1
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 hours
@bwaya @Udadisi Ha ha ha. Usinichonganishe
1
0
1
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
13 hours
Wiki ya Valentine ndio imeanza Happy Valentine’s Week y’all
0
1
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@Baricklyaruu Mnoooo
0
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@babajide_itunu @zittokabwe Kaka tafuta kombe la maji unywe,
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@YOUNGIBIS Mie huyo? Kisa?
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@tutla7 Hutaki au huamini?
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@tutla7 Swala lako si tumelimaliza au?
1
0
0
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 day
@tycoon20s @MdeePaschal @jaliluzaid @ashraf_kambenga Ha ha ha. Hawa nawataka mkakati
2
0
1