![L.I.F.E of D.E.O๐ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1811493109106376708/EJJ2n6SD_x96.jpg)
L.I.F.E of D.E.O๐
@LifeofDeo
Followers
2K
Following
58K
Statuses
5K
โI'm here for Fun, keep your seriousness away๐ค โLIVERPOOL FC โSIMBA SC
Joined October 2020
RT @LifeofDeo: Weekend bila huyu jamaa sio Weekend ๐ฏโ Watu wa Jua Kali na Sinema zetu mkae mbali๐
๐
0
3
0
@Bwoy_Zackie Hapa ndo waje wale matahira wanapima utulivu wa wanawake kupitia bikra wajibu ๐๐ Maana wengi ni under 22 bado akili hazijakomaa kuhusu mahusiano
1
0
3
@18_caesar @Dominicksalamb1 Issue hapa ni Mwamuzi kutoa kadi 2 yaani Njano na Red kwa pamoja! Mlisema haiwezekan tukawapa hii evidence Saivi mnahamia "walipewa watu wawili tofauti"๐๐ Mnadhan alishindwa kumpa Njano Pulisic Kisha ampe Red Guenduzi? Suala ni kushika kadi 2 kwa pamoja, ndo Mada.
1
0
0
@Dominicksalamb1 Issue hapa ni Mwamuzi kutoa kadi 2 yaani Njano na Red kwa pamoja! Mlisema haiwezekan tukawapa hii evidence Saivi mnahamisha mada kwenda kwenye "walipewa watu wawili tofauti"๐๐ Mnadhan alishindwa kumpa Njano Pulisic Kisha ampe Red Guenduzi? Ukianzisha mjadala bas umalize๐ฏ
2
0
4
RT @lifeof_nono: Watoto wa miaka ijayo, wakianza kuuliza Mama ulikutana wapi na Baba au Baba ulikutana wapi na Mama๐ majibu ni tulikutana Iโฆ
0
8
0
RT @kasimuabuu98: Baada ya miezi,wiki na majuma mengi kupita leo ndio nimepata bahati ya kuifua shuka ya kujifunika aloo nashukuru Mungu liโฆ
0
27
0
RT @LifeofDeo: Ukienda Msibani halafu ukakaa nyuma ndo utajua nini kilimuua Marehemu, kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu! โ๐ฏ
0
5
0
@Thereal_taivina Hizi ndo zile mishe nilikua nawaambia wana wafata mkumbo ๐๐ Ila kama una shida kwel usione aibu tia namba huyo demu akafie mbele๐
0
0
4