![KhalidChukuchuku93๐น๐ฟ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1702351255958331392/fvZlLMer_x96.jpg)
KhalidChukuchuku93๐น๐ฟ
@Khalidchukuchuk
Followers
365K
Following
10K
Statuses
19K
Football Correspondent , Son of Ligi Kuu โฝ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , @kmcfc_official MCO
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Njia za kuongeza Thamani yako โ๐พusiwe mtu wa kupatikana kirahisi โ๐พjaribu kuwa busy hata kama hauko busy โ๐พUsijibu vitu kwa haraka , Tafakari โ๐พUsijali kuhusu maisha ya wengine โ๐พJifunze Kusema hapana sio kila kitu ndio โ๐พTafuta Furaha yako mwenyewe Good Morning ๐๐พ
35
153
999
@kmcfc_official Vs Singida Line up. Ismail ๐น๐ฟMorogoro Stoper๐น๐ฟ Mabibo Lanso๐น๐ฟ Zanzibar Shemvuni ๐น๐ฟTanga Hance ๐น๐ฟMwanza Pipino ๐น๐ฟMagomeni Fred ๐น๐ฟGeita Kenny ๐น๐ฟMbeya Oscar ๐น๐ฟMbeya Saliboko๐น๐ฟ Kigoma Redmtus ๐น๐ฟMwanza Wazawa Vs Wageni ๐๐๐
0
0
1
Kikosi cha Singida Vs @kmcfc_official Masalanga ๐น๐ฟ Koffie ๐ฌ๐ญ Trabi ๐จ๐ฎ Malonga ๐จ๐ฌ Damaro ๐ฌ๐ณ Kennedy ๐น๐ฟ Pakou ๐จ๐ฎ Tchakei ๐น๐ฌ Arthur ๐จ๐ฎ Sowah ๐ฌ๐ญ Rupia ๐ฐ๐ช Wageni 9 ๐คช ila wamelala Yoo ๐๐
7
5
215
Mpira wa Miguu ni mchezo wa watu majasiri ๐๐๐
@Khalidchukuchuk @hasheem_ibwe Football is not for weak people's
1
1
30
Nimesikia ndugu yangu @hasheem_ibwe leo amelia Kirumba , Football inaumiza , Football haikupi Furaha kila siku , leo unafurahia kesho unaumia , leo unacheka kesho unalia , that is football . Mimi Binafsi niwahi kuwa Muhanga wa hili jambo , imenitokea mara nyingi .
8
11
384
RT @azamtvtz: "Massanza hana pakukimbia" - Afisa Habari wa KMC, @Khalidchukuchuk akitamba kwa Afisa Habari wa Singida Black Stars, @massanzโฆ
0
1
0
@George_Ambangil kesho kaka ukiamka uwaelezee watu wajue hiki ya Pressing Trap and Pressing Trigger . Na hii Statement ya Touch line kuwa mlinzi wa kwanza kabla ya watu kumuua sana kijana wa Morogoro .
Touch line always is best defender.. Kabla ya kumlaumu Kijana kwa maamuzi aliyoyafanya , Mmetoa credit kwa wachezaji ambao walimfanya yeye kuwa Trigger ya kurejesha mpira kwenye Imaya yao ?
0
0
3
Vita ya mwezi February .. mechi 6 Ndani ya siku 28 ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ Letโs go kino boys . Allez @kmcfc_official
10
8
232