
Jackson JM๐น๐ฟ
@Jacksonmajengo
Followers
4K
Following
509
Media
225
Statuses
13K
Father || Creative&Adaptive minded|| Supporter @manutd & YANGA AFRICA||
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2013
Vijana wengi tukipewa dhamana na cheo na tukawa tuna aminika na alietupa dhamana , huwa kuna dhana ya KUJISHAU. Yaan unaona uneshapatia kila kitu. Ghafla mwenye kakupa dhaman anagundua unafanya madudu. Akikutoa unaanza lalamika hakupendi ooh majungu. Kumbe shida n ww mwenyewe
0
0
5
Alafu kuna mlevi mmoja anasema yanga wana Roho mbaya kwa mzize. Hiviiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
0
0
0
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ #CRDBBankFederationCupFinal 2024/2025 #TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
5
95
1K
Hii ya kubadili uwanja nimeipenda sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Na mtuambie kwann hamtak Zanzibar๐คฃ, tunaomba sababu za kimpira sio uchawi
0
0
0
This is important
1
2
2
Ila pombe inaletaga raha flan iviii unasahau kila kitu
0
0
1
Sema wakili na mwanasheria wa Yanga anapaswa kufukuzwa bila kulipwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
0
0
0
Simba ikifanya rotation hata ya wachezaji watatu tu inapata shida sana. Ni ishara tosha kuwa kikosi chao hatari ni kile kinachoanza tu, benchi lina watu wepesi sana. Wakimkosa Mpanzu na Kibu tu shughuli imekwisha.
29
6
232
Unaendaje na dem sehem za Starehe kavaa kijoraaa, how??
0
0
0
Ila watu
0
0
0
Hamna kaz ngumu kama kumkunalia mwana muonane Bar alafu umwambie hutumii kileviii, yaan anakuona aje sijui๐คฃ๐คฃ
0
0
0
Pacome akiwa anacheza Mpira unaweza kuhisi Mpira ni Mchezo Rahisi Mpaka pale utakapo muone Kibudii Rasta man.!!๐
48
57
1K
No Penalty No Red Card No kuingia kinyumenyume No kuahidiwa milion 50 No Jabza kwa mpiga filimbi Mapigo Namwendo 0-5 mabingwa wa muda wote Tz na ndio timu bora kwasasa.
150
84
1K
Mpaka simba ashinde hata kwa fimbo
0
0
0
Hamna timu imewah ongezewa dk 9 tanzania ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
0
0
0