![Tito Zenda Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1868622750111133696/mVuPtr1Y_x96.png)
Tito Zenda
@IamZolanda
Followers
106
Following
2K
Statuses
2K
I help busy professionals and travelers book seamless domestic and international flights, saving you time and eliminating stress—
Tuma Ujumbe →
Joined July 2023
Les Wanyika anakuvutia uendelee kuisikiliza nyimbo yake inayoitwa 'AMIGO' Ni kwasababu yule jamaa kwenye ile story hakua perfect mwanzo mwisho analeta shida na anamatatizo kibao its interesting story haiboi. Les Wanyika-Amigo🎶
Here’s a little secret. "Readers don’t like reading about perfect heroes (Main character of your story) who have all their sh*t together. Perfect heroes without any flaws or problems whatsoever are bo-o-oring."
0
0
2
Uwanja wa Nduli, Iringa kwa asilimia zaidi ya 93% umekamilika... AirTanzania na Precision air wametangaza kuanza safari rasmi kuna promotion na offer nyingi sana katika route hii msimu huu ukihitaji tiketi ya kuelekea Iringa bofya hii link
Dar kwenda Iringa kwa direct flight hua ni dakika 90 tu. Na mashirika ya ndege yanayofanya safari ni Auric na Flexflight Wengi huisi hakuna ndege zinazofanya masafa pande hizi. Kwa mahitaji ya tiketi za ndege, kindly njoo whatsapp👉
0
0
1
RT @IamZolanda: Nikiwa nataka kwenda Songea kwa bus, huwa napiga simu moja tu kwa wakala. Rahisi sana! Napata nafasi ya kuchagua seat nin…
0
1
0
@GillsaInt Nashukuru sana kaka🙏🏿. Naanza kuyafanyia kazi haya. Pia ntajisajili kwenye hii kozi ili nijinoe zaidi
1
0
0
quality time is giving someone your undivided attention. Ila hawa wapendwa wako busy na simu zao…
Ifanye Valentine Yako Iwe Maalum na yakipekee ndani ya Mac and Jak Getaway! Jisikie wa kipekee katika mandhari ya mapumziko ya kimapenzi, Ukifurahia chakula kitamu na ujenge kumbukumbu zisizosahaulika. BEI: Wawili 150,000/- na Singles 70,000/- 📍 Mahali: Mapinga/Kerege, Bagamoyo 📞 Reservation: +255768364583 Hakikisha una piga simu kuweka nafasi yako mapema kufurahia Valentine day na mpendwa wako.
1
0
1
kuna fact nyingi sana humu, huyu mzee ana logic na anachambua mziki pasipo hisia
The Super-bowl performance ya Kendrick Lamar was absolutely brilliant!! The vocal performance, The storytelling, The symbolism, The Messaging, Subliminals, The Choreography, Unique Set-up (As a stage play with Samuel L Jackson narration), The Cameos (Mustard, Serena Williams).
0
0
0
Attention: Kwa Wasafiri Wote Wanaoelekea Mtwara… AirTanzania imetangaza kuanza safari rasmi tarehe 17 February 2025. Ambapo nauli ya: . Kwenda na Kurudi ni 199,000 TZS . Kwenda tu ni 122,200 TZS Fanya Booking yako sasa kwenda 0741300300 #mtwara #airtanzania
0
0
1