![Lupakisyo Mwakipiti Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1740887229935779840/yEPv4Zlc_x96.jpg)
Lupakisyo Mwakipiti
@IamLupakisyo
Followers
551
Following
9K
Statuses
3K
Serial Entrepreneur | Philanthropist | Co-founder & CEO at Ayya Africa | Chairman at Clements Group Holdings.
Jing’an Qu, Shanghai, China
Joined February 2012
@McinikaWaLamar Na wengi wanaumia kwa kuwa sio kila mtu Ana talanta au upepo uliobarikiwa, cha msingi ni kuweka mipango yako siri mpaka pale unapofanikisha.
1
0
0
@McinikaWaLamar Sio kutumika tu bali kunawapa wanufaika entitlement ya kuwa wanastahili msaada kutoka kwako, na ni wajibu wako kuwasaidia.
1
0
1
@ReganTesla_ A diagnosis of depression usually takes place after a health care provider has evaluated a patient's symptoms over a period of at least two weeks.
1
0
0
Building your brand means that you understand your unique features then capitalize on them to show how they can be of benefit to those around you. You can also use those features to bring the best out of the products or services you are providing. Your unique feature must demonstrate benefit or value.
0
1
5
Ukifuatilia kwa karibu zaidi utaona kwamba sio Tanzania tu, hata Marekani ambapo tumeiga vitu vingi sana ikiwemo aina ya muziki kama HipHop na mengine mengi. Toka enzi za kina 2pac kumekua na hayo mambo na skendo chafu kama hizo ambazo zimekua zikihusishwa moja kwa moja na watayarishaji wakubwa wa muziki kama yule aliyefariki akiwa anashilia record ya kuwa na Grammys nyingi kama mtatarishaji muziki na huyu mwingine ambaye jina lake linaanzia na initials za fani ya udakitari, bila kusahau Puffy pia. Lakujiuliza ni kwamba unawezaje kutenganisha tasnia na maswala ya namna hiyo ? Au tuseme tasnia bila ushetani wa namna hiyo inawezakana ? References : ,
0
0
2
Kuna ukweli ambao hawawezi kuusema hadharani kwa sababu za kibiashara, binafsi nadhani WCB bado wataendelea kuwa wanufaika wa kazi za Mbosso kwenye upande publishing rights na royalties ambazo zitakua zinatokana na kazi zake alizozifanya akiwa chini ya lebo husika. Swali ni linakuja kwenye publishing, lion-share atakua anachukua Mbosso or WCB ?
0
0
7
One of the ways I believe you can find meaning of your life is by creating a strategy that you can use through your journey. You need to keep the purpose of your life, front and center as you decide how to spend your time, talents and energy. Remember that without a purpose, life can be hollow.
0
0
1